Mahakimu na kupata Ujaji (Baadhi, sio wote please)

Mahakimu na kupata Ujaji (Baadhi, sio wote please)

Labda hii itakutsha kwa leo!
Our judiciary has sank so low that shamelessly is allowing itself to be intimidated, its independence and impartiality to be interfered with, and its integrity has been pulled down to a public shame

It is now no secret any more that the people of Tanzania are increasingly viewing the judiciary with increased suspicion, scepticism and even scorn. The reputation of the judiciary has been damaged irreparably by judicial dishonest, court “jokers” and shyster lawyers from the prosecution machinery!
hata mama yako anajamba hivyo kujamba ni jambo la kawaida sana!@
Upupu wa kabendera unatuletea humu
 
sasa nakwambia hivi, and this is shared among the public with a rational mind.
Our judiciary has sank so low that shamelessly is allowing itself to be intimidated, its independence and impartiality to be interfered with, and its integrity has been pulled down to a public shame

It is now no secret anymore that the people of Tanzania are increasingly viewing the judiciary with increased suspicion, skepticism, and even scorn. The reputation of the judiciary has been damaged irreparably by judicial dishonest, court “jokers” and shyster lawyers from the prosecution machinery!
Sawa. We endelea kuandika tungo za Kiingereza.

Kama hamjui jukwaa sahihi la kupambana na matatizo yenu ya kisiasa, basi endeleeni kuyapeleka mahakamani.

Hatutaki kusikia vilio baadae!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa utawala huu, awamu ya tano, lazima kila mmoja ajitahidi kutimiza beuracratic competition! Kila mmoja (sio wote) anajitahidi kumfurahisha fulani hata kama kuvunja sheria/kutotoa hukumu ya haki etc!
Ya Meya wa DSM ndio matokeo ya hiyo! Ya Kabendera na hakimu huyo huyo!
Ukiishi kwa mihemko utateseka sana,maamuzi ya kisheria si ya uanaharakati, unashindwa kutofautisha sheria na uanaharakati.
 
sasa nakwambia hivi, and this is shared among the public with a rational mind.
Our judiciary has sank so low that shamelessly is allowing itself to be intimidated, its independence and impartiality to be interfered with, and its integrity has been pulled down to a public shame

It is now no secret anymore that the people of Tanzania are increasingly viewing the judiciary with increased suspicion, skepticism, and even scorn. The reputation of the judiciary has been damaged irreparably by judicial dishonest, court “jokers” and shyster lawyers from the prosecution machinery!
You deserve my pat on the back!
 
Fine, sijaweka hukumu lkn hakimu akisema kufutwa umeya hutapata hasara yoyote hapo ni wazi huyu hakimu aidha akili ndogo au amepata maagizo!
Muulize kwani rais akipinduliwa anapata hasara gani? Mbona kuna kosa la kupindua serikali ? In the same token kama Rais ana hasara, basi na meya ana hasara!
Jaribu kumpindua rais tukuone kama utaendelea kutoa upupu wako hapa!
 
Huyu dada ana stress za kufa mtu ndiyo maana wakamfutia uwakili wake TZ!! Anatakiwa apunguze mihemuko anaweza kuwa na hoja kama atapunguza mihemuko ataweza kujaona mambo kwa uhalisia wake wa nchi za dunia ya tatu na wala kidunia ya kwanza!
 
Mkuu huyo Retired ni kilaza wa.sheria mzee wa makamo inasemekana yupo kwenye taasisi moja hivi alizoea kupiga pesa za taasisi hiyo ya serikali sasa amebanwa na serikali ya awamu ya tano yeye ni kupinga tuuuu!!
Jibu hoja hizi hadisi za mzee wa makamo hazituhusu
 
Huo muhemuko ni hulka yake binafsi tuongelee hoja aliyoijenga mbona mnapenda kurukia maisha binafsi ya mtu badala ya hoja zake
Ndiyo maana nikasema akipunguza mihemuko ataiona issue kwa mlengo wa nchi za dunia ya tatu siyo kidunia ya kwanza. Kwenye kesi nyingi za dunia ya tatu kuna sababu nyingi sana ambazo zinasababisha kesi kuchelewa ukilinganisha na nchi za dunia ya kwanza ikiwemo infrastructure na umasikini anashangaa mahakama kuwa na bajeti ndogo lakini haongelei uwezo wa nchi yaani mapato ya nchi. Changamoto ni nyingi sana wakati mwingine hekima na busara ndiyo hutakiwa kutumika la sivyo nchi haiwezi kwenda. Hata kuendesha mji wako tu kuna wakati unatumia hekima na busara la sivyo mji utakushinda. Huyu amekulia ikulu hajui uhalisia wa maisha na mifumo ya maisha ya watz hivyo kumtegemea awe na hekima na busara za maisha ya nchi ya dunia ya tatu wakati maisha yake ya awali ameyafanya ulaya utajidanganya tu. Huyu ni kumsikiliza na kuchukua mchele kidogo na pumba zake unamuachia yeye mwenyewe!
 
Back
Top Bottom