Mahakimu na kupata Ujaji (Baadhi, sio wote please)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,933
Reaction score
101,463
Kwa utawala huu, awamu ya tano, lazima kila mmoja ajitahidi kutimiza beuracratic competition! Kila mmoja (sio wote) anajitahidi kumfurahisha fulani hata kama kuvunja sheria/kutotoa hukumu ya haki etc!
Ya Meya wa DSM ndio matokeo ya hiyo! Ya Kabendera na hakimu huyo huyo!
 
Ha ha ha ha ha, Wanaserengeti mnafurahisha Sana.Mkishinda kesi humu ndani hakukariki, mnawasifia Mawakili wenu na kuwaita wale wa Serikali vilaza. Hapa huwezi kusikia Hakimu aliyeamua akisifiwa.
Mkipigwa K.O sasa, Lawama zote kwa Hakimu na Mahakama, hapa Mawakili wenu hamuwasemi Kama ni vilaza.
Kiufupi Mahakama inatenda haki pale Mnaposhinda tu, Mkishindwa nyinyi hamna. Sasa nyie ni nani hadi kila siku mshinde.
Halafu ungekuwa Mjanja ungeweka hiyo Rulling humu na ukatuonyesha ni wapi huyo Hakimu amekiuka sheria, tofauti na hapo wewe nawe utakuwa wale wale!
 
Achana na hizi ngonjera za mavuvuzera,nenda kwenye hoja kwakutumia common sense
 
Ha ha ha ha ha, Wanaserengeti mnafurahisha Sana.Mkishinda kesi humu ndani hakukariki, mnawasifia Mawakili wenu na kuwaita wale wa Serikali vilaza. Hapa huwezi kusikia Hakimu aliyeamua akisifiwa.
Mkipigwa K.O sasa, Lawama zote kwa Hakimu na Mahakama, hapa Mawakili wenu hamuwasemi Kama ni vilaza.
Kiufupi Mahakama inatenda haki pale Mnaposhinda tu, Mkishindwa nyinyi hamna. Sasa nyie ni nani hadi kila siku mshinde.
Halafu ungekuwa Mjanja ungeweka hiyo Rulling humu na ukatuonyesha ni wapi huyo Hakimu amekiuka sheria, tofauti na hapo wewe nawe utakuwa wale wale!
Mkuu huyo Retired ni kilaza wa.sheria mzee wa makamo inasemekana yupo kwenye taasisi moja hivi alizoea kupiga pesa za taasisi hiyo ya serikali sasa amebanwa na serikali ya awamu ya tano yeye ni kupinga tuuuu!!
 
Huyo Mstahiki Meya alikosea kwenda mahakamani kabla ya ushahidi muhimu wa kesi ambao ni ule mkutano wa jana haujafanyika.

Nadhani sasa ndio wakati muafaka wa kwenda mahakamani kwa sababu ushahidi anao. Kama ataweza kutetea hoja vizuri au la hilo ni jambo jingine.
Kwa utawala huu, awamu ya tano, lazima kila mmoja ajitahidi kutimiza beuracratic competition! Kila mmoja (sio wote) anajitahidi kumfurahisha fulani hata kama kuvunja sheria/kutotoa hukumu ya haki etc!
Ya Meya wa DSM ndio matokeo ya hiyo! Ya Kabendera na hakimu huyo huyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasiasa acheni kuitumia mahakama kama kichaka cha siasa zenu uchwara.

Mnalo bunge na majukwaa ya kisiasa. Nendeni huko mkapigane vikumbo.

The court is not a battleground for politics.

Mmeshindwa siasa, mmeamua kuivamia mahakama.

Mara wakurugenzi sijui wamekuaje, mara spika sijui kafanyaje. SIASA TUPU.

Acheni huo upumbafu!

Mahakama zenyewe ndizo zinazokili kutotoa hukumu kisheria, zinasema zinashinikizwa kutoa hukumu kwa matakwa ya wanasiasa! Sasa wewe unawakatalia, hatuwezi kukuamini wewe tutawaamini wahusika wenyewe wanaokili mahakama kuingiliwa.
 
Ha ha ha ha ha, Wanaserengeti mnafurahisha Sana.Mkishinda kesi humu ndani hakukariki, mnawasifia Mawakili wenu na kuwaita wale wa Serikali vilaza. Hapa huwezi kusikia Hakimu aliyeamua akisifiwa.
Mkipigwa K.O sasa, Lawama zote kwa Hakimu na Mahakama, hapa Mawakili wenu hamuwasemi Kama ni vilaza.
Kiufupi Mahakama inatenda haki pale Mnaposhinda tu, Mkishindwa nyinyi hamna. Sasa nyie ni nani hadi kila siku mshinde.
Halafu ungekuwa Mjanja ungeweka hiyo Rulling humu na ukatuonyesha ni wapi huyo Hakimu amekiuka sheria, tofauti na hapo wewe nawe utakuwa wale wale!
Fine, sijaweka hukumu lkn hakimu akisema kufutwa umeya hutapata hasara yoyote hapo ni wazi huyu hakimu aidha akili ndogo au amepata maagizo!
Muulize kwani rais akipinduliwa anapata hasara gani? Mbona kuna kosa la kupindua serikali ? In the same token kama Rais ana hasara, basi na meya ana hasara!
 
Mkuu huyo Retired ni kilaza wa.sheria mzee wa makamo inasemekana yupo kwenye taasisi moja hivi alizoea kupiga pesa za taasisi hiyo ya serikali sasa amebanwa na serikali ya awamu ya tano yeye ni kupinga tuuuu!!
Kilaza ni mama yako hawala yangu
 
The court is not a battleground for politics.
sasa nakwambia hivi, and this is shared among the public with a rational mind.
Our judiciary has sank so low that shamelessly is allowing itself to be intimidated, its independence and impartiality to be interfered with, and its integrity has been pulled down to a public shame

It is now no secret anymore that the people of Tanzania are increasingly viewing the judiciary with increased suspicion, skepticism, and even scorn. The reputation of the judiciary has been damaged irreparably by judicial dishonest, court “jokers” and shyster lawyers from the prosecution machinery!
 
Kwa utawala huu, awamu ya tano, lazima kila mmoja ajitahidi kutimiza beuracratic competition! Kila mmoja (sio wote) anajitahidi kumfurahisha fulani hata kama kuvunja sheria/kutotoa hukumu ya haki etc!
Ya Meya wa DSM ndio matokeo ya hiyo! Ya Kabendera na hakimu huyo huyo!
Ungejitahidi uwe inasoma hukumu badala ya kuwadhalilisha mahakimu,haikusaidii
Nyie watu mnaposhinda kesi,mnaruka ruka mpaka mnajamba,kuwa mahakama imetenda haki,mkibwagwa tu,nongwa inaanza
 
Labda hii itakutsha kwa leo!
Our judiciary has sank so low that shamelessly is allowing itself to be intimidated, its independence and impartiality to be interfered with, and its integrity has been pulled down to a public shame

It is now no secret any more that the people of Tanzania are increasingly viewing the judiciary with increased suspicion, scepticism and even scorn. The reputation of the judiciary has been damaged irreparably by judicial dishonest, court “jokers” and shyster lawyers from the prosecution machinery!
hata mama yako anajamba hivyo kujamba ni jambo la kawaida sana!@
 
Kuna mambo ambayo huwa yako wazi kabisa kwamba kuna uonevu, hayo ni lazima yalalamikiwe. Wewe usiyejitambua na mpiga vigelegele kwa kila uonevu huwezi hata siku moja kuyaona . labda mpaka siku wakikugusa. Endelea kupiga vigelegele tu, maana nyie ni watoto wa ibilisi

Back
Top Bottom