Mahakama za Bongo: uchawi umetamalaki

Mahakama za Bongo: uchawi umetamalaki

naomba ni kurudishe nyuma kidogo kwenye uzi wako fulani hivi, hivi chumvi ambayo imegeuzwa na wa tumishi wa Bwana kama sehemu ya uponyaji, inauhusiano gani na Mungu? Je inaweza ikawa na nguvu kama jina la Bwana Yesu ambalo walipewa walitumie katika maombi yao? Je ni kitu gani kilichowafanya waiamini chumvi na kuanza kuitumia kwenye ibada zao?.
Nitakurejea
 
Mbona kwenye mabenki hii kitu sijawahi isikia na ndo kwenye ulaji kabisa wachawi tuna kwama wapi kwa sekta hiyo
 
Kama kuna sehemu imeathiriwa kwa kiwango cha kutisha na ushirikina basi ni mahakama zetu, kumefukiwa madude kule si mchezo
Vifo vingi vya mahakimu wazee wa baraza na watumishi wa mahakama vingi vimejaa utata na vina mahusiano ya moja kwa moja na eneo lao la kazi na kesi wanazozisimamia
Pamoja na watu kufanya makosa mbali mbali kwenye jamii lakini hawako tayari kuukubali mkono wa sheria pale inapotokea wakakamatwa na ndio matatizo huanzia hapo
Watu wanabeba madubwana yao na kwenda kuyafukia pale wengine wanabeba na kuingia nayo kwenye vyumba vya mahakama na kwenda kuwadhuru wasiohusika
Ingekuwa serikali yetu inatambua uwepo wa uchawi ingeweka sheria ya kukagua watu kabla session za mahakama hazijaanza na kwenye vyumba vya mahakama kwakuwa wanaumizwa hata wasiohusika
Ingependeza sana Kama wachawi wote wangewamaliza wabunge wa CCM ambao kimsingi ndo mkosi na nuksi ya Tanzania
 
Mbona kwenye mabenki hii kitu sijawahi isikia na ndo kwenye ulaji kabisa wachawi tuna kwama wapi kwa sekta hiyo
Bank hata wakiibiwa hawawezi kutangaza ili kulinda uaminifu wa wateja wake...
 
Ingekuwa serikali yetu inatambua uwepo wa uchawi ingeweka sheria ya kukagua watu kabla session za mahakama hazijaanza na kwenye vyumba vya mahakama kwakuwa wanaumizwa hata wasiohusika
 
Ingekuwa serikali yetu inatambua uwepo wa uchawi ingeweka sheria ya kukagua watu kabla session za mahakama hazijaanza na kwenye vyumba vya mahakama kwakuwa wanaumizwa hata wasiohusika
Ila nasikia nao watumishi wa mahakama wapo njema jamaa akasema kama upo legelege hutoboi pale utakuwa unaona maruweruwe
 
Ila nasikia nao watumishi wa mahakama wapo njema jamaa akasema kama upo legelege hutoboi pale utakuwa unaona maruweruwe
Ni kweli kabisa.. Kumbuka yule hakimu wa Ilala kilichompata
 
Sasa ndg wachawi wakitambuliwa si nawewe unaweza kupata nafasi ya Waziri wa Uchawi na Urogi[emoji1][emoji1][emoji1]
Niombee[emoji1545][emoji1752][emoji2]
 
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi.
Credit: Get Rich
 
kuna jamaa alileta uzi namna alimyomfanya hakimu aweweseke mbaka akashindwa kusoma hukumu na kuamua kujitoa kwenye kesi,anasema alienda kwa mtaalamu
 
kuna jamaa alileta uzi namna alimyomfanya hakimu aweweseke mbaka akashindwa kusoma hukumu na kuamua kujitoa kwenye kesi,anasema alienda kwa mtaalamu
Yule mwingine aliahidi kumfanya kitu kibaya na hakimu kweli akafa
 
Back
Top Bottom