Mahakama za Bongo: uchawi umetamalaki

Mahakama za Bongo: uchawi umetamalaki

Kama kuna sehemu imeathiriwa kwa kiwango cha kutisha na ushirikina basi ni mahakama zetu, kumefukiwa madude kule si mchezo
Vifo vingi vya mahakimu wazee wa baraza na watumishi wa mahakama vingi vimejaa utata na vina mahusiano ya moja kwa moja na eneo lao la kazi na kesi wanazozisimamia
Pamoja na watu kufanya makosa mbali mbali kwenye jamii lakini hawako tayari kuukubali mkono wa sheria pale inapotokea wakakamatwa na ndio matatizo huanzia hapo
Watu wanabeba madubwana yao na kwenda kuyafukia pale wengine wanabeba na kuingia nayo kwenye vyumba vya mahakama na kwenda kuwadhuru wasiohusika
Ingekuwa serikali yetu inatambua uwepo wa uchawi ingeweka sheria ya kukagua watu kabla session za mahakama hazijaanza na kwenye vyumba vya mahakama kwakuwa wanaumizwa hata wasiohusika

Kwani mshana ni mganga wa kienyeji
 
Kwani mshana ni mganga wa kienyeji

1451223195874.jpg
 
Mi ni miongoni mwa wenye imani haba ya uchawi. Sina uhakika na utafiti wako wa uchawi mahakamani. Vifo ni kawaida. Tufikirie mazingira ya watumishi wa mahakama zetu. Uadirifu ni mdogo hivo wana ishi kwa hofu. Wanapata ziada hivo kula haina shida. Nenda migahawa eneo la mahakama kajionee. Mwisho hawana mazoezi licha ya kazi zao muda mwingi wamekaa, na ulaji wao na unywaji usio na mgogoro. Hata hivo haya ni maoni binafsi.
 
Nayaheshimu maoni yako umekuwa muwazi lakini hukutumia lugha ya kukera, napenda kukushauri kama utapenda kujirishisha na hili fanya ziara binafsi kwenye hizi mahakama nina uhakika utakuja na maoni tofauti
 
Ogopa sana mtu anaekwambia haamini katika uchawi. wengi ni wanga waliokubuhu

ogopa sana anaejifanya mwema sana na mtakatifu

vijana nao siku izi tumekuwa wanga hatari. kama imani yako ya kuunga unga lazima uisome namba .
 
Sema wewe unaamini uchawi na sio kila mtu.

Mimi siamini uchawi wala shetani wala mungu, hivyo vitu havipo.
 
Kuna watu watabisha ila huo ndo ukweli. Kuna mzee najua kabisa hzo ndo biashara zake za kuuza hizo dawa yan hata kama ukiwa na kesi ukienda kuoga hzo dawa wew hufungwi.
Note.. Sijawah kujaribu kwani mm sio muharifu
 
Msijifungie kwenye Mlango mmoja bila kujua ufunguo wake ni UPI siku za Mbele, yamkini elimu unayoidharau leo ndo ufunguo wako mbeleni, Kuna aina nyingi za elimu na hutumiwa pale inapobidi hata hili la uchawi mahakamani baadhi ya watu huona ni ufunguo wao, na kama wangekua na elimu zaidi ya moja wanakua na option ya kuchagua na wasaa wa kuitumia busara na kuchagua elimu ipi imuokoe,
 
Sema wewe unaamini uchawi na sio kila mtu.

Mimi siamini uchawi wala shetani wala mungu, hivyo vitu havipo.

Unakumbuka nisaangapi ilitungwa MIMBA iliyopelekea wewe hadi kuzaliwa
 
Back
Top Bottom