Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,650
Kah mdau yupi??Mdau...!!!
Kah mdau yupi??Mdau...!!!
Ukileta hii kitu,uni cc,mkuu@mshana jr,maana niliwahi kusikia mfungwa akikanyaga kiambaza cha kuingia au kutoka gerezani ,atapigwa na kurudishwa nyuma aanze upya,yaani aruke kile kiambaza na si kukikanyaga..
jamaa yangu yupo arusha ndio ameanza kazi mwaka jana, nimesikia ameparalize upande mmoja kijana mdogo tu, ngoja tusubiri yatakayojiri ila hali yake mbaya kwakweli
Nikishalitafiti hili usijali nitakuja na mada yake hapa
Ha haaaWa dunia iliyo nyuma ya pazia
Rip hakimu wa Ilala yule mra lushwaKuna watu wana maKESI MABAYA akitiwa Hatiani aidhi anafungwa MAISHA au Kunyongwa ndio maana hizo Kamati zinachukua Jukumu nahasa ikionekana Hakimu mnoko...lazima wenyewe wanaita kumsemea kwa Babu
Mmh.... Ya lini hii... Ningependa kufahamu zaidi...
naomba ni kurudishe nyuma kidogo kwenye uzi wako fulani hivi, hivi chumvi ambayo imegeuzwa na wa tumishi wa Bwana kama sehemu ya uponyaji, inauhusiano gani na Mungu? Je inaweza ikawa na nguvu kama jina la Bwana Yesu ambalo walipewa walitumie katika maombi yao? Je ni kitu gani kilichowafanya waiamini chumvi na kuanza kuitumia kwenye ibada zao?.Kama kuna sehemu imeathiriwa kwa kiwango cha kutisha na ushirikina basi ni mahakama zetu, kumefukiwa madude kule si mchezo
Vifo vingi vya mahakimu wazee wa baraza na watumishi wa mahakama vingi vimejaa utata na vina mahusiano ya moja kwa moja na eneo lao la kazi na kesi wanazozisimamia
Pamoja na watu kufanya makosa mbali mbali kwenye jamii lakini hawako tayari kuukubali mkono wa sheria pale inapotokea wakakamatwa na ndio matatizo huanzia hapo
Watu wanabeba madubwana yao na kwenda kuyafukia pale wengine wanabeba na kuingia nayo kwenye vyumba vya mahakama na kwenda kuwadhuru wasiohusika
Ingekuwa serikali yetu inatambua uwepo wa uchawi ingeweka sheria ya kukagua watu kabla session za mahakama hazijaanza na kwenye vyumba vya mahakama kwakuwa wanaumizwa hata wasiohusika