Nipo.mahakamani miaka 10 sasa sijashuhudia huo uchawi zaidi ya kusimuliwa na wengine, kigoma kunapoogopeka nimekaa pia sijawahi.kudhurika
nimeupenda mfano wa ukimwi.Kwahiyo umefanya kazi katika mahakama zote Tanzania kuanzia za mwanzo mpaka za rufaa? Ukimwi upo Tanzania zaidi ya miaka 40 sasa na umeua wengi sana lakini wewe uko hai je hii itaondoa uhalisia kuwa ukimwi kuwepo???
Mkuu bado uko juu?Nipo.mahakamani miaka 10 sasa sijashuhudia huo uchawi zaidi ya kusimuliwa na wengine, kigoma kunapoogopeka nimekaa pia sijawahi.kudhurika
Nikishalitafiti hili usijali nitakuja na mada yake hapa
Ukileta hii kitu,uni cc,mkuu@mshana jr,maana niliwahi kusikia mfungwa akikanyaga kiambaza cha kuingia au kutoka gerezani ,atapigwa na kurudishwa nyuma aanze upya,yaani aruke kile kiambaza na si kukikanyaga..Naomba kujua kuhusu magereza!! Nasikia yamezindikwa uchawi, je ni kweli? mshana jr
Kwahiyo mahakimu wawe wanakuja na kinga zao maana invisbles wamezid kuwa wengi mahakamani.Kama kuna sehemu imeathiriwa kwa kiwango cha kutisha na ushirikina basi ni mahakama zetu, kumefukiwa madude kule si mchezo
Vifo vingi vya mahakimu wazee wa baraza na watumishi wa mahakama vingi vimejaa utata na vina mahusiano ya moja kwa moja na eneo lao la kazi na kesi wanazozisimamia
Pamoja na watu kufanya makosa mbali mbali kwenye jamii lakini hawako tayari kuukubali mkono wa sheria pale inapotokea wakakamatwa na ndio matatizo huanzia hapo
Watu wanabeba madubwana yao na kwenda kuyafukia pale wengine wanabeba na kuingia nayo kwenye vyumba vya mahakama na kwenda kuwadhuru wasiohusika
Ingekuwa serikali yetu inatambua uwepo wa uchawi ingeweka sheria ya kukagua watu kabla session za mahakama hazijaanza na kwenye vyumba vya mahakama kwakuwa wanaumizwa hata wasiohusika
jamaa yangu yupo arusha ndio ameanza kazi mwaka jana, nimesikia ameparalize upande mmoja kijana mdogo tu, ngoja tusubiri yatakayojiri ila hali yake mbaya kwakweliKama kuna sehemu imeathiriwa kwa kiwango cha kutisha na ushirikina basi ni mahakama zetu, kumefukiwa madude kule si mchezo
Vifo vingi vya mahakimu wazee wa baraza na watumishi wa mahakama vingi vimejaa utata na vina mahusiano ya moja kwa moja na eneo lao la kazi na kesi wanazozisimamia
Pamoja na watu kufanya makosa mbali mbali kwenye jamii lakini hawako tayari kuukubali mkono wa sheria pale inapotokea wakakamatwa na ndio matatizo huanzia hapo
Watu wanabeba madubwana yao na kwenda kuyafukia pale wengine wanabeba na kuingia nayo kwenye vyumba vya mahakama na kwenda kuwadhuru wasiohusika
Ingekuwa serikali yetu inatambua uwepo wa uchawi ingeweka sheria ya kukagua watu kabla session za mahakama hazijaanza na kwenye vyumba vya mahakama kwakuwa wanaumizwa hata wasiohusika
Mahakimu wanayafahamu vizuri sana haya mambo na baadhi yao wamezindikwa hasaKwahiyo mahakimu wawe wanakuja na kinga zao maana invisbles wamezid kuwa wengi mahakamani.
ahaaaa....ntaanza kufatilia kwa case study ya kesi ya kina masamaki nione uhalisia wa hoja yako.Mahakimu wanayafahamu vizuri sana haya mambo na baadhi yao wamezindikwa hasa
Fuatilia kesi nyingi unazoambiwa kuwa kesi imeahirishwa hakimu ni mgonjwa sio kweli kwenda kujikoki
kwahiyo kimbunga catrina cha kina invissible wa mahakani kime mkumba jamaa yako.jamaa yangu yupo arusha ndio ameanza kazi mwaka jana, nimesikia ameparalize upande mmoja kijana mdogo tu, ngoja tusubiri yatakayojiri ila hali yake mbaya kwakweli
sad news ndugu,ni kuomba mungu tuTrust utapata mrejesho wa kushangaza mno
Mie kn jamaa alikua na kesi ya kubaka,alibaka mtt wa jirani ,jirani akaapa lzm amfunge kesi ikaenda mahakamani,baba wa mbakaji naye akaampa mwanae afungwi,sheria ikachukua mkondo wake jamaa akafungwa jela miaka 30,kipindi anafungwa baba mtu alikua kasafari,akapata taarifa akarudi akakata rufaa,yule baba wa mbakwaji aka juu,hakimu km wawili hivi waliikataa kesi,hakimu wa mwisho akamtoa yule mtoto mbakaji,kilichofuata nje ya mahakama ni vifo vya yule baba wa mbakaji,na baba wa mbakwaji...hii inaweza kuwa ina mahusiano na hii MADATrust utapata mrejesho wa kushangaza mno
Duu Phantom zilikutana angani, watu wanaumizana sana kwenye haya mambo... Ni kwa vile tu serikali haiwezi kuweka kumbu kumbu na takwimu za Vifo vya namna hiiMie kn jamaa alikua na kesi ya kubaka,alibaka mtt wa jirani ,jirani akaapa lzm amfunge kesi ikaenda mahakamani,baba wa mbakaji naye akaampa mwanae afungwi,sheria ikachukua mkondo wake jamaa akafungwa jela miaka 30,kipindi anafungwa baba mtu alikua kasafari,akapata taarifa akarudi akakata rufaa,yule baba wa mbakwaji aka juu,hakimu km wawili hivi waliikataa kesi,hakimu wa mwisho akamtoa yule mtoto mbakaji,kilichofuata nje ya mahakama ni vifo vya yule baba wa mbakaji,na baba wa mbakwaji...hii inaweza kuwa ina mahusiano na hii MADA
Kila tukikaa hitma ya huyu mzee wa baba mbakaji,story huanza upyaaaaDuu Phantom zilikutana angani, watu wanaumizana sana kwenye haya mambo... Ni kwa vile tu serikali haiwezi kuweka kumbu kumbu na takwimu za Vifo vya namna hii
Saf sana naona uneileta hii Thread uko makini na shighuli zako boss!