Hivi ni jpm aliagiza jamaa akiuke masharti ya dhamana?View attachment 970050
Kwani makosa gani sasa hadi kuwekana ndani asee...
Mr.Presdent you still have a second chance, punguza hasira zisizo kuwa na umuhimu bwana sisi wote watanzania tunapenda ukistaafu tuwe tunakuja kuchota busara zako kilimani
Sioni mpinzani hata mmoja mwenye lengo la kukudhulumu au kukuhujumu
Take them as a plan B and not maadui
Hivi ni jpm aliagiza jamaa akiuke masharti ya dhamana?
Aliagiza hakimu amnyang'anye dhamana ndio maana mwakibinga alitumwa na makonda aseme yale aliyoyasema sio siri mbowe juwa ndani ni magufuli kuingilia mahakama what goes around comes around ayafanyayo kwa wapinzani kuna siku atafanyiwaHivi ni jpm aliagiza jamaa akiuke masharti ya dhamana?
Soma hiyo reply neno kwa neno..hakuna shaka..yake kabisa hiyoHivi hiyo account ni yake? Nilimfuata twitter bado nikajiondoa nahisi sio yake kabisa
Ili kondoo wasamabaratike, hukumbuki?Kwani makosa gani sasa hadi kuwekana ndani asee...
Hii imekaaje bado sijaielewa?
Kujiburudisha japo kidogo baada ya matibabu si kosa..apewe dhamana akale bia ulaya huku hapa bongo zimejaa
Kukaa mle ndani hakuwasaidii wapiga kura kwa namna yoyote..kumbuka kuna mambo mengi mazuri huenda angekuwa anafanya jimboni kuliko kuwekwa ndani.Hasira zisitawale katika hili swalaAna uzee gani huyo mruka majoka!
Akitoka huko na wanae atajua jinsi ya kuishi na utawala huu.hapa kazi tu
Sheria ni msumeno, acha wawe funzo kwa jamii kuheshimu dhamana na kutoidanganya mahakama, wakitoka huko watakuwa na adabu hata kama nje watajionyesha hawajali.
Na wengine wenye kosa kama lao unashauri wafanywajwe nao?Ndugu wadau hususan wale wataalam wa sheria..
Mimi raia mwenzenu nahisi kama kuna haja ya hawa watuhumiwa kuachiwa tena kwa dhamana.
Kitendo cha kuendelea kukaa kule kunawaongezea nguvu kuelekea Uchaguzi kwa maana moja raia huenda wanahisi wanaonewa.
Pili kama walikiuka utaratibu wa dhamana siku hizo walizokaa ndani,tayari ni fundisho watajitahidi kuzingatia utaratibu wa mahakama..isitoshe Mh.Mbowe ni mzee inabidi mahakama itazame hili swala..