Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

Tusijaribu kuchanganya siasa na mambo ya msingi. Mahakamani iwe umeshitakiwa kwa kuonewa au namna nyingine yoyote,hauna option zaid ya kutii na kusubiri hukumu. Na km kweli utakuwa umeonewa,utashinda tu. Kutoitii mahakama ni dharau kwa mahakama na hakuna namna,reaction yake lazima ikudhuru tu. Katika akili hata ya chekechea,hao watu waliona ugumu gani kuomba ruhusa ya mahakama ilihali wakijua wako nje kwa ridhaa ya dhamana?
Nitakosea nikiamini kitendo hicho ni " kuijaribu mahakama"? Na hawa si ndiyo wanaomba waongoze nchi,sasa incase wataaminiwa, huko kwenye serikali yao wataziondoa mahakama au watazipa jukumu gani.....
"Wavune walichokipanda"
 
KOFI OLOMIDE designe. Ndevu zitatoka nyeupee. Huo ndo utawala wa sheria. unadanganya upo SA unaumwa kumbe upo ubeleji unapiga umbea.
Uvccm mna shida sana, cjui mnalipwa nini kwa kushangilia ujinga, povu linaruhusiwa
 
Muda wa maigizo nadhani sasa utaisha.

Wapinzani wanahitaji sasa wajue nini cha kufanya huyu si yule aliyekuwa anawatuliza na juice.
Mfanya biashara mwanasiasa ni nadra sana kuimalika kisiasa ndani ya uongoz dizain hii vinginevyo usiwe tapeli na mwongo mwongo na mwenye dharau.

Ni muda sasa wa wapinzani kuwapa darasa wananchi wapi tunanyonywa na utawala kwa kifungu kwa kifungu cha katiba na she ria.
Wala haina haja yakutumia nguvu na dharau kwa utawala wananchi wakipata elimu tu hakuna Jeshi litakalo simamisha nguvu ya umma inachotaka.
Tatizo la kiongozi kichaa ukishaona kiongozi anakili kuwa yeye ni kichaa na anaowachagua ni vichaa unajiuliza ndio maana baraza la mawaziri wameshindwa kumshauri jaji mkuu kichaa kuondolewa ikulu mtu wa kawaida mwenye usomi wa level ya phd hawezi kamwe kucheza mchezo wa kitoto namna yaani wewe na watendaji wako mumesababisha resitance na mauaji halafu muliowakosea munawafunga ndani hayo ni maajabu nina uhakika huyu kichaa ameshahisi si mtu wakuishi muda mrefu duniani ndiyo maana anachuki sana
 
Mahakama Imetenda Haki. Acha Longo Longo Dogo.
Mahakama ya magufuli imemtendea haki hakimu ili kumtengenezea ulaji kuna mahakimu wamecompromise kama huyo wa kisitu yeye akiitwa ikulu kwenda kunywa chai ya walipa kodi akitoka haangalii hata morals za kisheria kesi kama hizi wanafunzi wa mwaka wa kwanza wakizisoma wanaona huyo hakimu ni sehemu ya vichaa walio katika system ya Magufuli
 
Nyie ni mahakimuuu? Tafteni hela bana acheni mahakama ifanye kazi zake kwa uhuru. Kuna zero brain wanajaribu kuhusisha hii ishu na ccm, ccm haipo kwenye jengo llt la mahakama tz na anayetoa hukumu anatoa kwa kujibu wa vifungu vyakatiba ya tanzania na sio ya ccm. Stop silly blamish and go to work uingize hela
Well said walahi
 
Wanashinda mitandaoni tu hawa walahi ovyo kabisa
 
Maana wameshindwa kuwa wanatii amri yankufika mahakamani,unajua wakati mwingine viongozi wa upinzani wanafanya mambo ya kitoto sana,umepewa dhamana na mahakama ya kua unafika mahakamani kwa tarehe tajwa au kwa kutia taarifa mahakamani,sasa wao wanashindwa kutii haki za mahakama kama ambavyo wao pia wanataka mahakama iwape haki

Kwani hii ni mara ya kwanza kwa Mbowe kutofika mahakamani? Mbona magereza walipokosa usafiri wa kutofika mahakamani excuse dhaifu kutoka kwa upande wa serikali mahakama hii na jaji huyu huyu aliikubali hii excuse!
 
Mahakama ya magufuli imemtendea haki hakimu ili kumtengenezea ulaji kuna mahakimu wamecompromise kama huyo wa kisitu yeye akiitwa ikulu kwenda kunywa chai ya walipa kodi akitoka haangalii hata morals za kisheria kesi kama hizi wanafunzi wa mwaka wa kwanza wakizisoma wanaona huyo hakimu ni sehemu ya vichaa walio katika system ya Magufuli
Dogo acha Longo longo ...Mahakama imetenda HAKI.
 
Nisamehe, shida una elewa mpaka kupitiliza. shida ya bwana mbowe kutotoa taarifa ya udhuru/kutofika mahakamani siku ya kesi yake ikitajwa. ilo ndo tatizo sasa wewe umewaza ile kesi sio halali (yawezekana uko sahihi)

Huyu bwana alitakiwa afike mahakamani kesi isikilizwe ili tujue ni halali ama haramu. kutofika amefanya makosa mkuu (kaidharau mahakama)

Yaani ni sawa na ww upewe kesi ya wizi ( kwa kusingiziwa) na ikafika mahakamani ukapewa dhamana siku ya kesi kutajwa haufiki alafu nduguzo waseme ni sawa kutofika kwako maana kesi hukuiba (na kwelo hukuiba) ila kesi iko kwa pilato
Nimekuelewa mkuu, ila mie naumia kwanini imeondolewa dhamana ilhali Mh Mbowe alikuwa anaumwa na wadhamini walitoa taarifa kama kanuni inavyotaka? Ni uonevu wa kazi jamani ila tumuachie Mungu aingilie kati.
 
Tatizo la kiongozi kichaa ukishaona kiongozi anakili kuwa yeye ni kichaa na anaowachagua ni vichaa unajiuliza ndio maana baraza la mawaziri wameshindwa kumshauri jaji mkuu kichaa kuondolewa ikulu mtu wa kawaida mwenye usomi wa level ya phd hawezi kamwe kucheza mchezo wa kitoto namna yaani wewe na watendaji wako mumesababisha resitance na mauaji halafu muliowakosea munawafunga ndani hayo ni maajabu nina uhakika huyu kichaa ameshahisi si mtu wakuishi muda mrefu duniani ndiyo maana anachuki sana
Unajua mada iliopo mezani? Au na wewe unajaribu kuanzisha ya kwako?! Hv mbowe kafutiwa dhamana au kahukumiwa?? Kw akili yako unataka mahakama zifanye kz gn??!! Hv kuna wakti huwa mnafkiri kw kutumia makalio.sio bure.
 
Kwa madaraka uliyonayo Mhe tunaomba hao watu uwaachie au uamuru wapelekwe mahakamani. Wajibu mashitaka yanayo wakabili. Wanateseka sana tena sana ni bora wawe wafungwa kuliko kukaa mahabusu mda mrefu.
 
IMG_20181216_230046.JPG

Kwani makosa gani sasa hadi kuwekana ndani asee...

Mr.Presdent you still have a second chance, punguza hasira zisizo kuwa na umuhimu bwana sisi wote watanzania tunapenda ukistaafu tuwe tunakuja kuchota busara zako kilimani

Sioni mpinzani hata mmoja mwenye lengo la kukudhulumu au kukuhujumu

Take them as a plan B and not maadui
 
Back
Top Bottom