Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

Kukaa mle ndani hakuwasaidii wapiga kura kwa namna yoyote..kumbuka kuna mambo mengi mazuri huenda angekuwa anafanya jimboni kuliko kuwekwa ndani.Hasira zisitawale katika hili swala
Kuruka taratibu za kimahakama aliwafikiria wapiga kura wake?tatizo kwenu nyinyi serikali ikifuata sheria mnaona mnaonewa. Na kuvunja sheria mshaona ni haki yenu.
 
Endapo mahakama itaona ni vyema inawaachia tu..ata raia wenye makosa ambao tayari wamejutia wakiwa rumande au jela ambayo si mazito sana ikibidi warudi tu uraiani.
Msamaha wa dhamana na msamaha naada ya kupatikana na hatia ni vitu viwili tofauti. Hapa bado hajapatikana na hatia ila aliidharau mahakama. Wakimuacha tena anaweza akalimbilia ulaya.
 
Hii ni hoja ya ubinadamu tu. Mahakama inaweza kuiangalia kwa jicho hilo ikizingatia kuwa fundisho la kuheshimu sheria kwa suala hili limeshaifikia jamii ya Watanzania wote lakini pia ikijua ya kuwa kuna mvutano wa hisia katika nchi ambao unaweza kusababisha au kuendeleza majeraha yatakayokuwa magumu kutibika.
Kwamba kuwaachia mahabusu hao watajwa inaweza kuwa namna mojawapo ya kupunguza hiyo tension.
 
Unajua kuwekwa rumande au kufungwa ni kitu cha kusikitisha sana..
Hapana Bavicha na chadema wengi waliunga mkono kuwekwa ndani kwa viongozi wao kuwa kunawafanya wawe kama Nelson Mandela.Andelee kukaa ndani awe Mandela zaidi.Mbowe na Matiko wasipewe dhamana ili wawe Mandela zaidi
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom