Bodi hiyo iliomba nini?Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo baada ya kusikiliza pande zote mbili. Hivyo Bodi ya Maalim Seif ni batili na Mtatiro ni batili.
Bodi hiyo iliomba nini?Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo baada ya kusikiliza pande zote mbili. Hivyo Bodi ya Maalim Seif ni batili na Mtatiro ni batili.
Waende court of Appeal wakashindwe pia. Maalim alichemka pale alipochelewa kuijibu barua ya kujiuzuru ya Lipumba.
You are not knowledgeable but informed at least then we can discuss'Kidogo' ni relative term!
Ni kweli mensaah, wanajf naona mnajitoa ufahamu na ninaona kila dalili za kuwa watu humu jamii forum wapo kazini, kwa kila kinachochangiwa hata kama mchangiaji kasema ukweli ukiuhusu serikali kanunuliwa au wa Lumumba. Hivyo hata watu wenye uelewa wanashindwa kuchangia.Nchi hii huwa ina vichekesho sana, yaani maamuzi yakitolewa na mahakama yakipingana na uamuzi wa jaji/ hakimu tena kama case inahusu wapinzani bac utasikia haki hakikutendwa na hufika mbali na kudai maamuzi yametoka juu ila akishinda case mpinzani bac utasikia haki imetendeka.
Sasa huwa najiuliza ni lini upinzani watakuwa na imani na mahakama?, kama hawaziamini ni kwa nn huwa wanapeleka madai yao huko huku wanaamini maamuzi ya majaji/ mahakimu hufuata maelekezo kutoka juu?
Siasa za bongo ndio maana zinanifanyaga nisiwe na imani na wanasiasa
You are not knowledgeable but informed at least then we can discuss
Tuliyajua hayo lakini tukabezwaMahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo baada ya kusikiliza pande zote mbili. Hivyo Bodi ya Maalim Seif ni batili na Mtatiro ni batili.
Kwahiyo virungu alivyokula mdee kipindu cha kupinga katiba ya chenge iliyochakachua maoni ya wananchi ilikuwa kwa maslahi yake binafsi??? Ben saanane je??? Lisu je aliepigwa kipigo cha mbwa mwizi na kutembezwa barabarani kifua wazi kule tarime alikuwa kwa maslahi ya nani??? Kma ni maslahi yenu mbona hakuhoji kwanini wwe na mkeo hamko barabarani??Hakuna cha ku risk Maisha Acha kujidanyanya!
Alafu unagain nni??? Unataka upinzani ufe ili iweje?? Kwani hujui umuhim wa upinzani nchi yoyote ile??Wacha nishangilie ushindi wa Lipumba mie
View attachment 513433
Kwahiyo virungu alivyokula mdee kipindu cha kupinga katiba ya chenge iliyochakachua maoni ya wananchi ilikuwa kwa maslahi yake binafsi??? Ben saanane je??? Lisu je aliepigwa kipigo cha mbwa mwizi na kutembezwa barabarani kifua wazi kule tarime alikuwa kwa maslahi ya nani??? Kma ni maslahi yenu mbona hakuhoji kwanini wwe na mkeo hamko barabarani??
Umesahau kwamba Lema alirudishwa na mahakamavya rufaaa alikuwa amefutwa ubunge? Unajua Lema huyo huyo ametolewa na mahakama ya rufaa lakini ni wazi alikuwa na hatia ya kumtuksna Rais wakati akiwa nje kwa dhamana? Umesahau kwamba Seif Sharif Hamad angenyongwa kwa uhaini kama si mahakama ya rufaa kusema kuwa hakuna uhaini kwa sehemu mojaHigh court... Court of appeal. Hakimu wakazi si ndio walizuia wazi wazi dhamana ya Lema,. Masikini waoga (sio wote)