nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,577
- 2,147
Hii chuki inayopandikizwa Zenji sijui mwisho wake ni nini, unaweza kutimia ule msemo wa " the war we all lost", tuendelee kuomba Mungu!!
Hujanielewa please. Court of appeal is perfect at least for now! Najua labda zidi ya unavyojua kinachoendelea kwenye judiciary!Umesahau kwamba Lema alirudishwa na mahakamavya rufaaa alikuwa amefutwa ubunge? Unajua Lema huyo huyo ametolewa na mahakama ya rufaa lakini ni wazi alikuwa na hatia ya kumtuksna Rais wakati akiwa nje kwa dhamana? Umesahau kwamba Seif Sharif Hamad angenyongwa kwa uhaini kama si mahakama ya rufaa kusema kuwa hakuna uhaini kwa sehemu moja
Hujanielewa please. Court of appeal is perfect at least for now! Najua labda zidi ya unavyojua kinachoendelea kwenye judiciary!
Mahakama haiwezi ku Report ki Bashite kama hiviMahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo baada ya kusikiliza pande zote mbili. Hivyo Bodi ya Maalim Seif ni batili na Mtatiro ni batili.
mind, mimi siyo Lumumba wa ndiyooooooooo kama wewe, nafikiri sielekezwi cha kufikiri. Kwaheri huwa sijibizani na buku 7Acha kujikweza,
inawezekana unajua sana lakin sio kiwango cha kujua Kiwango cha Ufahamu wa Mwenzio, Kujikweza sio Tabia ya Kiume achana nayo!
mind, mimi siyo Lumumba wa ndiyooooooooo kama wewe, nafikiri sielekezwi cha kufikiri. Kwaheri huwa sijibizani na buku 7
Hardly do I post frequently on this forum and I am not destined for lecturingAcha kujikweza, u Genious wa Mtu hauhitaji kujitangaza, ulipaswa kuwa unatema point za uhakika na Jukwaa Zima tungekutambua tu kwa Pekee wako
Hardly do I post frequently on this forum and I am not destined for lecturing
Mkuu sorry mm sio mtaalamu wa mambo ya sheria na ila nilichoshuhudia kwa miaka ya karibuni kesi nyingi za vyama vya upinzani wakishinda utasikia haki imetendeka ila wakishindwa ama kuambiwa wamekosea kuandaa dhamana bac utasikia haki haikutendeka ama wanasiasa wameingilia maamuzi ya mahakamaMensah, Kuna obvious cases ambazo hata a certificate student in law anaweza akazitolea uamuzi sahihi. Ukiona unapata contrary to what is obvious, ndiyo hapo....
Mfano, Court of appeal ililaani kunyimwa dhamana Lema kwa ujinga wa Hakimu na (Judge????). Mahakimu ni shida sana (sio wote please) ndiyo maana nchi hii inakwenda kwenye a Nation of failed Justice kama hawa ndio watakuwa new Judges!
Kama unajielewa/msomi nenda kwenye kesi za high court enzi za Lugakingira, Kalegeya, Mlay, Oriyo, Kyando, Mwalusanya , Rutakangwa, Lubuva etc usome hukumu zao walipokuwa high court judges ulinganishe na reasoning ya majaji wa sasa (sio wote please). Angalia hata lugha waliyokuwa wanatumia hao niliowataja linganisha na wa sasa (sio wote tena). The catastrophe is coming!
You have to make an all inclusive analysis of the issues, not in isolation. Unadhani kuna sababu gani Jaji Mkuu hajachaguliwa mpaka leo? Unadhani huyo Acting anaweza kuwa na maamuzi thabiti wakati akihofia kumuudhi atakayemconfirm! Sembuse hawa mahakimu! Maamuzi yoyote ya mahakama kwa sasa lazima yawe scrutinised kuona kama haki imetendeka. Mahakama ya rufaa huko kuna haki maana hana cha kubembeleza. Kuna sheria nzuri inawalinda katika maslahi hata baada ya kustaafu. HivyoJaji wa Rufaa anaweza akaamua kutenda haki.Mkuu sorry mm sio mtaalamu wa mambo ya sheria na ila nilichoshuhudia kwa miaka ya karibuni kesi nyingi za vyama vya upinzani wakishinda utasikia haki imetendeka ila wakishindwa ama kuambiwa wamekosea kuandaa dhamana bac utasikia haki haikutendeka ama wanasiasa wameingilia maamuzi ya mahakama
Sasa hapo ndio huwa napata wasiwasi ina maana baadhi ya kesi huwa zinaingiliwa na zingine haziingiliwi?
Japo si mwanachama wa chama chochote napenda kuona waafrika kuwa na utaratibu wa kutii na kuheshimu maamuzi ya mahakama sio kila uamuzi ukitolewa kwa anayeshindwa kesi bac utasikia haki haikutendeka na anayeshinda ndio haki imetendeka
Heeemasikini hakimu anatafuta ujaji! na terror ya acting CJ , itawaogofya wengi
Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo baada ya kusikiliza pande zote mbili. Hivyo Bodi ya Maalim Seif ni batili na Mtatiro ni batili.
BaaaMahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo baada ya kusikiliza pande zote mbili. Hivyo Bodi ya Maalim Seif ni batili na Mtatiro ni batili.
Unaijua katiba ya CUF lakini?Kuna kesi obvious sana mkuu..... sasa kwa alichofanya lipumba kipo very direct unategemea watu wasilalamike????
Wakimaliza kupigwa Virungu wanaenda kutafuna Ruzuku Nani angeshindwa ku take that ghost risk?
Ukimuona Lissu Mahakamani kwny kesi za Chadema unajua ni uzalendo?
Wenzio wakirudi ofisni ni Mwendo wa Invoice na Cheque Wewe unakazania eti wame take risk!
Mkuu unasemaje kuhusu rais kusema amejitoa sadaka kwa wananchi huku analipwa mshahara na huduma zote bure?
MapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiMahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo baada ya kusikiliza pande zote mbili. Hivyo Bodi ya Maalim Seif ni batili na Mtatiro ni batili.
Na hata kwa mtatiloLipumba ni akili kubwa kwa seifu