Mahakama yataka Chenge akamatwe, Kikwete ambeba!

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Wakati Mahakama ya Kisutu imetoa arrest warant leo Chenge akamatwe, Kikwete anaingia jimboni kwake Bariadi Magharibi kumnadi kama alivyofanya kwa Mramba na Lowassa.

Mahakama imeona kuwapo kwa JK Bariadi si sababu ya kukosa kwake kufika mahakamani katika kesi yake ya jinai ambapo ana kesi ya kujibu.
 
He mbona makubwa hayo. Huyo hakimu atapigwa transfer aelekee Masasi akaungane na Nape Nnauye!!

Tuöne leo kama mahakama iko huru au hapana na baada ya hapo ndio tupiganie katiba mpya
 
Muda si mrefu tutaambiwa kuwa "issue kuhusu rada ni ndogo tu ataishinda," mpeni "kula," "ni mtu safi!"
 
Muda si mrefu tutaambiwa kuwa "issue kuhusu rada ni ndogo tu ataishinda," mpeni "kula," "ni mtu safi!"

Hiyo issue ya rada hata mahakani haijawahi kufika. Kesi yake ya sasa nafikiri ni ile ya kugonga kibajaji!!
 
Wakati Mahakama ya Kisutu imetoa arrest warant leo Chenge akamatwe, Kikwete anaingia jimboni kwake Bariadi Magharibi kumnadi kama alivyofanya kwa Mramba na Lowassa.

Mahakama imeona kuwapo kwa JK Bariadi si sababu ya kukosa kwake kufika mahakamani katika kesi yake ya jinai ambapo ana kesi ya kujibu.

Mkuu Halisi,

Kwa hiyo CHENGE leo hajatokea mahakamani?
 
Kafanywa kondoo wa kafara Chenge, we subiri uone simnataka akamatwe, na JK yuko mbiyoni kukosa urais lazima ngoma ichezwe kwa kura hapo. Navyohisi mimi Chenge atakamatwa harafu JK sifa juu na kura kwake.

Say no to JK, ukienda kupiga kura angalia jina la Dr Slaa tiki hapo.:shocked:
 
Situmai hii kitu ni for real, mi nadhani iko choreographed ili kutaka kuonesha kuwa mahakama haiingiliwi baada ya Mh. Kikwete kuwapigia debe akina Mramba na Lowassa hadharani huku akionesha kuingilia uhuru wa mahakama.

Kwa hiyo hii wamearrange kuwa, siku anaenda Tabora basi mahakama nayo itoe warranty ya kukamatwa kwa Chenge katika kuelezea kuwepo kwa uhuru wa mahakama na kufifisha kosa la Kikwete kwa akina Mramba.
 
Huyu JK si ndiye " jaji" aliyesema kesi ya Mramba ni ndogo sana na ATASHINDA, sa na leo anaenda kutoa Hukumu ya kesi ya CHENGE utasikia kuwa hiyo arrest warrant ni null and void so Bariadi wamchague CHENGE maana ni "MTU SAFI na MCHAPA KAZI" chamaaa chamaaa kimetukomboa chaaaama! X2 watanzaniiiia, wanamapinduuzii, ni sisiiiiiemuuuu yajengaaa nchi! kaziii kweli kweli!
 
Back
Top Bottom