Mahakama yamtaka Zitto kueleza sababu za kutofika Mahakamani jana

Uvccm washasema kabisa kuwa ndani ya ccm hakuna aliye msafi
Mwenyewe nimeliona hili,Anapita mulemule alimopita Mbowe. Uzuri wa utawala huu hakuna anayeweza kuwa juu ya serikali.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

In God we trust
 
Mzee hiyo quote statement yako inaniboa sana kila thread ukichangia
lazima unukuu,au ndiyo unakajua hako kuna za mwanafalsafa Magufuri kibao au huna cha kujifunza kwake,
 
Ndugu zangu,

Siku ya jana jumatatu tarehe 10-03-2019 Zitto Kabwe alitakiwa kufika mahakamani kuhudhuria kesi kama alivyoagizwa na mahakama.

Ajizi nyumba ya njaa badala ya kutoa sababu zenye mashiko baada ya Mh.Hakimu kuuliza alipo Zitto wakili wake alimwelekeza shemeji wa Zitto kutoa sababu za kutohudhuria.

Shemeji wa Zitto aliieleza mahakama kwamba ''nimepigiwa simu na dada nije mahakamani kueleza kuwa shemeji Zitto anaumwa ila sijui anaumwa nini?"

Bila shaka Zitto anatamani kunyimwa dhamana ili akaishi rumande pande za Segerea.

Tafiti chache zilizofanyika zimeonesha kitendo cha wanasiasa kukaa lupango hakijawasaidia kupata umaarufu zaidi ya kupuuzwa na wananchi.

Nimalize tu kwa kusema "mtoto akililia wembe apewe".

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja, kuhusu hili la Zitto kukamatwa na kushitakiwa kwa uchochezi, nilishauri siku nyingi, siijui kwanini huyu jamaa yeye huwa hakamatwi.

Je, Mhe. Zitto Akamatwe na Kushtakiwa Kwa Kuidhalilisha Taasisi ya Urais Kwa Kudai Fedha za Leo Sio Gawio ni Maduhuli? - JamiiForums

Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni... - JamiiForums
P
 
Ndugu zangu,

Siku ya jana jumatatu tarehe 10-03-2019 Zitto Kabwe alitakiwa kufika mahakamani kuhudhuria kesi kama alivyoagizwa na mahakama.

Ajizi nyumba ya njaa badala ya kutoa sababu zenye mashiko baada ya Mh.Hakimu kuuliza alipo Zitto wakili wake alimwelekeza shemeji wa Zitto kutoa sababu za kutohudhuria.

Shemeji wa Zitto aliieleza mahakama kwamba ''nimepigiwa simu na dada nije mahakamani kueleza kuwa shemeji Zitto anaumwa ila sijui anaumwa nini?"

Bila shaka Zitto anatamani kunyimwa dhamana ili akaishi rumande pande za Segerea.

Tafiti chache zilizofanyika zimeonesha kitendo cha wanasiasa kukaa lupango hakijawasaidia kupata umaarufu zaidi ya kupuuzwa na wananchi.

Nimalize tu kwa kusema "mtoto akililia wembe apewe".

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu imekuuma zitto kutofika mahakamani boya wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa Lwiche, Buzebazeba,Mwanga na Ujiji...

Kuna Mtu huku analeta fitna,dhidi ya Mh,Zitto Kabwe.

Hawa Vijana wa Lumumba wao ni visasi kama Baba yao,wamejaa roho mbaya .
 
Kuna Hakimu pale Kisutu amelalamika kesi ya watuhumiwa wa uhujumu uchumi inamtesa coz kila siku mawakili wa Serikali wanadai upepelezi haujakamilika ila vielelezo vinaonesha upelelezi ulikamilika mwaka 2017.

Kesi ya maana zinawashinda mnakomaa na wapinzani tu.
KONOIKE washawaliza huko Ng'ambo.
Tuna mawakili wa ajabu sana. kesi wanazojua hawawezi kushinda wanang'ang'ania upelelezi kutokamilika au kuomba washtakiwa wanyimwe dhamana ili wasote.

nchi inaendesha kwa ubabe wakizamani sana aisee.
Ina msumbua nini kwani ameibeba kichwani, si bure huyo anatafuta kiki.Kama upelelezi ulikamilika tangu 2017 kwa nini kesi imerudi nyuma, kwani hakimu ana mamlaka ya kusikiliza makosa ya uhujumu uchumi bila kibali cha DPP, kama DPP hajatoa kibali yeye inamhusu nini?
 
Sina muda wa kukuelewesha mburura kama wewe kamuulize hakimu maana ni maneno yake sio yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Siku ya jana jumatatu tarehe 10-03-2019 Zitto Kabwe alitakiwa kufika mahakamani kuhudhuria kesi kama alivyoagizwa na mahakama.

Ajizi nyumba ya njaa badala ya kutoa sababu zenye mashiko baada ya Mh.Hakimu kuuliza alipo Zitto wakili wake alimwelekeza shemeji wa Zitto kutoa sababu za kutohudhuria.

Shemeji wa Zitto aliieleza mahakama kwamba ''nimepigiwa simu na dada nije mahakamani kueleza kuwa shemeji Zitto anaumwa ila sijui anaumwa nini?"

Bila shaka Zitto anatamani kunyimwa dhamana ili akaishi rumande pande za Segerea.

Tafiti chache zilizofanyika zimeonesha kitendo cha wanasiasa kukaa lupango hakijawasaidia kupata umaarufu zaidi ya kupuuzwa na wananchi.

Nimalize tu kwa kusema "mtoto akililia wembe apewe".

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama mahakama zimegeuka sehemu ya kupotezea watu muda basi hakuna mwenye huo mda mchafu. Waagizeni wale mahakimu wanaotaka ujaji wamfunge.
 
Kuna Hakimu pale Kisutu amelalamika kesi ya watuhumiwa wa uhujumu uchumi inamtesa coz kila siku mawakili wa Serikali wanadai upepelezi haujakamilika ila vielelezo vinaonesha upelelezi ulikamilika mwaka 2017.

Kesi ya maana zinawashinda mnakomaa na wapinzani tu.
KONOIKE washawaliza huko Ng'ambo.
Tuna mawakili wa ajabu sana. kesi wanazojua hawawezi kushinda wanang'ang'ania upelelezi kutokamilika au kuomba washtakiwa wanyimwe dhamana ili wasote.

nchi inaendesha kwa ubabe wakizamani sana aisee.
Wanahangaika na wapinzani hko kwengine wanachezea nakoz

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom