sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 645
Hii habari ndio itakuwa heading kwenye magazeti ya kesho uhuru, habari leo na jambo leo. Maana ni moja ya magazeti ambayo yanaandika upupu.
Mkuu hapo umesababisha nimepaliwa na kinywaji! Tujuze kinachoendea hapo maana hapa hapakaliki!Ngoja tusubiri kumuona kamanda wa anga akiwa amevishwa pingu....
Unayoyaongea yanakufanana mkuu, kwakuwa wewe hujiheshimu unafikiri wote hawajiheshimu.Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas
Acha kumhukumu mtu, unajua sababu za kutokufika kwake mahakamani?mbona kama juha wewe! No research No right to speak, Magamba wewe!Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas
Kwa lipi mkuu, hati ya kumkamata Mbowe imeshatolewa...ila kama umenisoma hapo juu nikiimanisha sababu alizo nazo mdhamini wa Mbowe zina eleweka...kumbuka hati hii ya kuwa kamata ilitolewa kwa washitakiwa wanane Mbowe akiwa mshitakiwa namba moja tangu tarehe 27.5.2011 na zilizo futwa ni za washitakiwa namba 2 mpaka 8...Mkuu hapo umesababisha nimepaliwa na kinywaji! Tujuze kinachoendea hapo maana hapa hapakaliki!
Kwani usomi ndio kujuwa mambo? mbona hao wasomi ndio wameifikisha hii nchi hapa ilipo?Suala la kujadili hapa ni kanuni:
Je, kanuni zimekiukwa? Sheria zimefuatwa? Hoja za Mbowe kutofika zimesikilizwa?
Hata suala la kisheria naona bado wasomi wanalijadili kishabiki tu.
As for Judiciary system, we have no confidence with your move. The truth is that it takes alot of gut to even do the so-called selective justice.
So if you will be able to do a selective justice and do it well, you can as well do a total justice well
kwetu kuna miti ukipekecha kwa mda mrefu moto huwaka....CCM hawajui gharama ya mchezo wanaoucheza.....this tyme through mahakama.....
mbowe sio panzi wa kusakiziwa nyau..nadhani huyo hakimu na ccm yake hawajui hatari wanayokabiliana nayo.....
nchi italipuka hii!!!
Kwani usomi ndio kujuwa mambo? mbona hao wasomi ndio wameifikisha hii nchi hapa ilipo?
Mkuu nimeangalia kidude cha like au Thanks sijakiona.....Bila shaka anayo sababu tosha ya kutofika kwake. Tungoje aseme.
Hata hivyo haya masuala ya mahakama kutoa amri kukamatwa viongozi wa vyama siyo mwanzo kwa Mbowe -- mahakama huchangamkia sana kutoa hati hizo kwa wanasiasa kuliko wengine. Mrema na Mtikila yalishawakuta katika kesi zao, lakini sikumbuki iwapo yeyote alikamatwa kutokana na amri ya mahakama.
Lakini nadhani kwa hii ya Mbowe -- kwa kuwa ni CDM - atakamatwa mara moja kama vile ilivyotaka kuwa kwa Dr Slaa juzi. Lakini tuwasamehe polisi wetu kwa kufanya kazi kisiasa, hayo yote yana mwisho.
Si kweli hata kidogo, unaweza kuwa msomi lakini haujaelimika. CCM imesheheni wasomi wa kila namna sasa kama point ni usomi basi hakuna sababu ya wewe kuwapinga ccm kwa sababu wasomi wapo pale watatufanyia mambo mazuri.Amazing! Msomi ni mchambuzi,khiyo ni shabiki!
Matola, Weka katika equation!
Ben,Amazing! Msomi ni mchambuzi,khiyo ni shabiki!
Matola, Weka katika equation!
CCM hawajui gharama ya mchezo wanaoucheza.....this tyme through mahakama.....
mbowe sio panzi wa kusakiziwa nyau..nadhani huyo hakimu na ccm yake hawajui hatari wanayokabiliana nayo.....
nchi italipuka hii!!!
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas
Ndiyo ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na ni mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA!Ila kuhusu uhuni nadhani wewe utakua mhuni na sisi yeye!Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas