Mahakama yaamuru Mbowe akamatwe mara moja

Mahakama yaamuru Mbowe akamatwe mara moja

Wewe unafikiri kufika mahakamani ndiyo kuwa organised unaweza usifike ukawa organised pia na kwa vile unasema viongozi wenzake wamefika yeye hajafika huoni kuwa inawezekana anajua anachokifanya.

Yes kama hajafika na mdhamini wake hajafika wenzake wamefika ambao hawkaufika wamdhamini wao wamefika .what does that mean to you???. kama hajafika kwa makusudi basi mimi ndio siko sahihi kusema hayuko disogranised

Hilo ni fundisho au Mbowe anadhani kishakuwa Rais. acheni kutetea uzembe. Wote tunataka mabadilio lakini wawe makini.

Swala sio uzembe au kutetea uzembe maana naona umehukumu kwa kujua taarifa za upande mmoja
Sasa wewe hapo ndio unapaswa kujiuliza kama Katibu wake alikuwa na uwezo wa kuja mpaka arusha na akamwacha Mwenyekiti wake kuna dharura kubwa sana aliyokuwa nayo Mwenyekiti wake ndio maana ameshindwa kuonekana mahakamani
Na kingine kwa kuwa Dr nae ni mshtakiwa hawezi kutoa sababu za kwa nini mshtakiwa mwenzake hayupo mahakamani aliyepaswa kutoa taarifa ni mdhamini ambaye nae ni mgonjwa
Usikurupuke kulaumu kabla hujajua sababu ni nini

Mkuu mimi sikuruuki kulaumu nadhani na wewe huurupuki kutetea tu .
Najiuliza sababu kwa mwenye dharula tunona kuna mwingine mdhamimi wake alifika. kama mbowe angekuwa organise basi mdhamini wake angefika. kama mdhamini wake naye alikuwa na dharula alitaiwa kujua mapema. To me hapo ameonyesha hakuwa organised.

Ningekuwa mwana CCM nitasema kaidharau mahakama. jamani wote tunataka mabadiliko lakini wakikosea kubalini. Hivi kwa nini watu hawapendi kukosolewa???????

.
Sioni mantiki ya kusema, mahakama yaamuru Mbowe akamatwe;
Hapa kinachotakiwa ni kuandika jina la huyo hakimu kwamba ndie aliyeamuru mbowe akamatwe. Maana ingelikuwa anafanya kazi kiadilifu na sii kufuata matakwa ya bwana zake wanasiasa ndio angistahili kufichwa na kivuli cha mahakama. Mbona hakimu anapochukuwa rushwa haisemwi kuwa 'mahakama yachukua rushwa?' na madala yake wanautupilia mbali uheshimiwa wa hakimu huyo na kumtaja kwa jina? Ili ajulikane na kila mtu na aibebe aibu yake mwenyewe? Na huyu mvueni uheshimiwa wake na mtajeni kwa jina lake aibebe aibu yake mwenyewe ya kuendekeza siasa za maji taka mahakamani.
.

Hivi kuna hakimu au jaji anachukua rushwa akiwa anaendesha kesi ? Akiwa kayavaa yale majoho. Wanasema hakimu kachukua rushwa sababu mara nyingi tukio liatokea nje ya mfumo wa Kiofisi. Tuache ushabiki tu

Hiili jukwa la siasa limekuwa ni ushabiki wa vyama badala ya hoja.

Wakuu wa jamvi pelekeni hii mada kwenye jukwaa la sheria . Hapa naona inakuwa corrupted na watu ambao mawazo yao ni One dimension
 
Pia, ni vyema kujua Mahakama,Bunge, na Serikali yenye( Rais na watendaji wake) ni vyombo vitatu ambavyo kila chombo kina jukumu lake. Mara nyingi tumekosa imani katika utendaji wa vyombo hivyo, na wakati mwingine tumesababisha wenyewe. Sasa tuiacha ushabiki wa kisiasa hakimu aliyetoa arrest warrant kwa Bw. Mbowe anakosa gani?, Ni kweli Mbowe hakuwepo mahakamani hakimu hana taarifa kiutendaji anatakiwa akamatwe aje ajitete. Mimi naamini kwamba wananchi watakuwa na haki ya kuliza (question) mwenendo wa kesi hii na pia kukosa imani na hakimu huyu baada ya kupata sababu zilizo mfanya Bw.Mbowe asiwe mahakamani hali akijua kuwa ni kosa la kuidharau mahakama, mbona tunarusha virungu kabla hatujadhibitisha kama kweli kuna sababu za kimsingi za Mbowe kutofika mahakamani.


Mbowe akikosea hutamtetea, Polisi wakiua wananchi hutawatetea. Utakacho simamia ni Haki na Kweli. Kuna watu wanataka kweli lakini hawatendi haki, na kuna watu wanataka haki wakati si wakweli. Haki na kweli ni vitu viwili ambavyo havitenganishwi. Kwani kazi ya Haki na Kweli ni Amani ambayo ndo tunatafuta kwa nchi yetu.

Umenena Mkuu, hii ni Ilmu tosha kabisa kwa wale ma-coconuts(wanazi)
 
Yes kama hajafika na mdhamini wake hajafika wenzake wamefika ambao hawkaufika wamdhamini wao wamefika .what does it mean.

Hilo ni fundisho au Mbowe anadhani kishakuwa Rais. acheni kutetea uzembe. Wote tunataka mabadilio lakini wawe makini.
Wewe umesema Mbowe hayuko organised nikakueleza inawezekana kutokwenda ndiyo mipango yake sasa haya mengine yanatoka wapi.
 
Wakichoka kutumia mahakama kudhoofisha viongozi wa upinzani watatumia silaha.
 
Ni upuuzi kila siku kwenda mahakamani kusikiliza kuahirishwa kesi ni ujinga pia kwenda mahakamani halafu hakimu anasema haja pata muda wa kupitia faili au wakili anasema alikuwa anatikisa kiberiti ni bora wamkamate tujue moja yuko ndani si ndiyo lengo lao hawana zaidi ya hapo.
 
Wakichoka kutumia mahakama kudhoofisha viongozi wa upinzani watatumia silaha.
Hapana hivi vitu vinaenda sambamba Angalia Arusha,Tarime na Tabora (CUF)....wanaua halafu wana wapelka mahamani wale wote walio salia...
 
Wewe umesema Mbowe hayuko organised nikakueleza inawezekana kutokwenda ndiyo mipango yake sasa haya mengine yanatoka wapi.

OK kamanda
kama Mbowe kutokwenda yeye na hata mdhamni wake kutokwenda ndivyo walivyomaua basi nimekosea kusema hayuko orgnised . If this is so then Mbowe is very organised.

Mimi nasema mbowe hayuko ornagise sababu ni fact hakwenda mahakamani. Wewe unasema inawezekana ulikuwa ni mpango wake. Wewe unaongeala scenario amabayo huna uhakika nayo mimi naongelea Tukio. na namini alichoandika invisible ni kweli

Anyway Hope umeridhika Na mahakama ikipata jibu kama hili kuwa alipanga sijui hukumu ya watu waliokuwa orgnaised kwa kutokutiiii amri ya mahakama kama hivi ni nini ?????
 
OK kamanda
kama Mbowe kutokwenda yeye na hata mdhamni wake kutokwenda ndivyo walivyomaua basi nimekosea kusema hayuko orgnised . If this is so then Mbowe is very organised.

Hope umeridhika Na mahakama ikipata jibu kama hili sijui hukumu ya watu waliokuwa orgnaised kwa kutokutiiii amri ya mahakama kama hivi ni nini ?????
Wewe unafikiri wote wanaokwenda mahakamani wako organised basi wasingekuwa wanafungwa, au Mandela kufungwa kwake hakuwa organised unataka kutuambia angekubaliana na Makaburu ndiyo ungemwona yuko organised we vipi inaonekana hujui maana ya neno organised kifupi maana yake ni strategy.
 
Hawa wanasheria wa Serikali na Mahakimu wasiotambua kuwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni hasa wakati Bunge likikaa katika kamati kujadili bajeti ya mwaka wa fedha ujao, ni mtu muhimu katika mustakabali wa taifa, ni lazima wajivue magamba.

Freeman Mbowe akikamatwa, na CNN ikatangaza "Tanzania Goverment arrests Leader of the Opposition in Parliament" si kumfanya awe maarufu tuu?
 
OK kamanda
kama Mbowe kutokwenda yeye na hata mdhamni wake kutokwenda ndivyo walivyomaua basi nimekosea kusema hayuko orgnised . If this is so then Mbowe is very organised.

Mimi nasema mbowe hayuko ornagise sababu ni fact hakwenda mahakamani. Wewe unasema inawezekana ulikuwa ni mpango wake. Wewe unaongeala scenario amabayo huna uhakika nayo mimi naongelea Tukio. na namini alichoandika invisible ni kweli

Anyway Hope umeridhika Na mahakama ikipata jibu kama hili kuwa alipanga sijui hukumu ya watu waliokuwa orgnaised kwa kutokutiiii amri ya mahakama kama hivi ni nini ?????

Kwenda au kutokwenda mahakamani, siyo alama ya mtu kuwa organised au dis-organised.


Bila kujua any more facts beyond speculation za hapa JF, hivi hatuwezi kufikiri kuwa huo unaweza kuwa mpango wa kuliweka hili suala la Arusha kwenye headlines za ki-taifa na ki-mataifa tena?

Jaribu kufikiri, nini kitaleta muamsho mkubwa wa hili suala la Arusha katika kipindi hiki cha kuelekea Bunge la budget?

Jaribu kufikiri msisimko utakaokuwepo wakionyesha magazetini na TV, Mwenyekiti wa Chadema na Mkuu wa Kambi ya Upinzani akiwa kapigwa pingu na kushushwa kwenye karandinga Arusha?

Jaribu kufikiri nini kitakumbushia 'ahadi' za WM Pinda katika kushughulikia suala la Arusha, na kauli za majibu yake kwa Lema, na jitihada za Spika kuzima hoja hizo?

Jaribu kufikiri namna itakavyokoleza uzito wa suala la CCM/Chitanda Arusha, na kuwaamsha 'mbwa' waliolala?

Wakati mwingine katika nchi nyingi zenye sheria za ki-dhalimu (sisemi kuwa Tanzania ni mojawapo, lakini mwingine akisema sitampinga!), mara nyingi msuguano dhidi ya sheria unakuwa na uzito na muono mkubwa kuliko utii wa sheria hizo.

Angalia mifano ya South Africa, Zimbabwe, Malawi, Tunisia, Libya, Misri, Sudan, India (wakati wa Gandhi), USA (wakati wa MLK), Kenya (wakati wa Nyayo), India, Ireland (wakati wa NRA), Burma, Uganda, na kadhalika.
 
Hapana hivi vitu vinaenda sambamba Angalia Arusha,Tarime na Tabora (CUF)....wanaua halafu wana wapelka mahamani wale wote walio salia...

Wahalifu ndio wanapeta nchi hii, wauwaju wako free, masalia ndani. Ikosiku itageuka.:mod:
 
It show that somehow Mbowe is disorganised. Kama mwenzae amabaye yuko based Dar aliweza kufika. Yeye au mdamini wake kwa nini ashindwe.Au mafisadi sasa wanauwezo wa kuwahonga hata wadhamini.

In bongo every option is possible and equal

Kaaz kwel kwel....!!!!
 
Jaribio lolote la kujaribu kumkamata mwenyekiti wetu hatutakubali,tutapambana hadi kieleweke....vijana tumejipanga.....
 
Kwenda au kutokwenda mahakamani, siyo alama ya mtu kuwa organised au dis-organised.


Bila kujua any more facts beyond speculation za hapa JF, hivi hatuwezi kufikiri kuwa huo unaweza kuwa mpango wa kuliweka hili suala la Arusha kwenye headlines za ki-taifa na ki-mataifa tena?

Jaribu kufikiri, nini kitaleta muamsho mkubwa wa hili suala la Arusha katika kipindi hiki cha kuelekea Bunge la budget?

Jaribu kufikiri msisimko utakaokuwepo wakionyesha magazetini na TV, Mwenyekiti wa Chadema na Mkuu wa Kambi ya Upinzani akiwa kapigwa pingu na kushushwa kwenye karandinga Arusha?

Jaribu kufikiri nini kitakumbushia 'ahadi' za WM Pinda katika kushughulikia suala la Arusha, na kauli za majibu yake kwa Lema, na jitihada za Spika kuzima hoja hizo?

Jaribu kufikiri namna itakavyokoleza uzito wa suala la CCM/Chitanda Arusha, na kuwaamsha 'mbwa' waliolala?

Hii ni weak argument kama ni kuweka headline kitaifa na kimataifa walitakiwa wafanye kichama na wote wasiende. sasa mbowe kutokwenda wenzake kwenda inapunguza maana ya hiyo scenario yako. Cha zaidi inaonekana ni mbowe kadharau mahakam na si uamuzi wa CDM kama chama.

Nashangaa mnasema bilakuwa na fact alafu wakati huo huo nyie mnatoa scenario zenu lakini hamtaki watu wengine watoe tutoe scenario zetu. fact ni kwamba hajaenda mahakamani. kwa nini tutagema kuata majibu ya kisiasa na kujifiya nyuma ya mgongo wa siasa. But ni uzembe



Wakati mwingine katika nchi nyingi zenye sheria za ki-dhalimu (sisemi kuwa Tanzania ni mojawapo, lakini mwingine akisema sitampinga!), mara nyingi msuguano dhidi ya sheria unakuwa na uzito na muono mkubwa kuliko utii wa sheria hizo.

Mimi naendela kusema mbowe au chadema hawako organised kama yote unayoyasema ndio jibu watakalotoa basi hawako organised. Hii ni individual sababu wenzake wamehudhuria. kama ndio mpango wao wangeupa uzito zaidi kwa wote kugoma....


Kaaz kwel kwel....!!!!

yes mkuu mimi siweki ushabiki wa chama najaribu kuweka all possbile scenario mezani. wewe unasemaje.? Hata kama mdhamimi wake kanunuliwa mbowe aonyeshe reposbility ya kukubali kosa kwa kuomba msamaha mahakama.

Hawa wanasheria wa Serikali na Mahakimu wasiotambua kuwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni hasa wakati Bunge likikaa katika kamati kujadili bajeti ya mwaka wa fedha ujao, ni mtu muhimu katika mustakabali wa taifa, ni lazima wajivue magamba.

Freeman Mbowe akikamatwa, na CNN ikatangaza "Tanzania Goverment arrests Leader of the Opposition in Parliament" si kumfanya awe maarufu tuu?

Freeeman Mbowe akikamatwa na CNN ikatangaza. mhhhhhhh. kazi kweli kweli
 
jaribio lolote la kujaribu kumkamata mwenyekiti wetu hatutakubali,tutapambana hadi kieleweke....vijana tumejipanga.....

enhe true nanyaro - watanzania tusichezewe na mafisadi.

Hebu mkamateni mbowe muone nyie nyangau

vijana tupo standby
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom