Mahakama yaamuru Mbowe akamatwe mara moja

Hii habari ndio itakuwa heading kwenye magazeti ya kesho uhuru, habari leo na jambo leo. Maana ni moja ya magazeti ambayo yanaandika upupu.
 
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas
Unayoyaongea yanakufanana mkuu, kwakuwa wewe hujiheshimu unafikiri wote hawajiheshimu.
 
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas
Acha kumhukumu mtu, unajua sababu za kutokufika kwake mahakamani?mbona kama juha wewe! No research No right to speak, Magamba wewe!
 
CCM hawajui gharama ya mchezo wanaoucheza.....this tyme through mahakama.....

mbowe sio panzi wa kusakiziwa nyau..nadhani huyo hakimu na ccm yake hawajui hatari wanayokabiliana nayo.....

nchi italipuka hii!!!
 
Suala la kujadili hapa ni kanuni:

Je, kanuni zimekiukwa? Sheria zimefuatwa? Hoja za Mbowe kutofika zimesikilizwa?

Hata suala la kisheria naona bado wasomi wanalijadili kishabiki tu.

As for Judiciary system, we have no confidence with your move. The truth is that it takes alot of gut to even do the so-called selective justice.

So if you will be able to do a selective justice and do it well, you can as well do a total justice well
 
Mkuu hapo umesababisha nimepaliwa na kinywaji! Tujuze kinachoendea hapo maana hapa hapakaliki!
Kwa lipi mkuu, hati ya kumkamata Mbowe imeshatolewa...ila kama umenisoma hapo juu nikiimanisha sababu alizo nazo mdhamini wa Mbowe zina eleweka...kumbuka hati hii ya kuwa kamata ilitolewa kwa washitakiwa wanane Mbowe akiwa mshitakiwa namba moja tangu tarehe 27.5.2011 na zilizo futwa ni za washitakiwa namba 2 mpaka 8...
 
Bila shaka anayo sababu tosha ya kutofika kwake. Tungoje aseme.

Hata hivyo haya masuala ya mahakama kutoa amri kukamatwa viongozi wa vyama siyo mwanzo kwa Mbowe -- mahakama huchangamkia sana kutoa hati hizo kwa wanasiasa kuliko wengine. Mrema na Mtikila yalishawakuta katika kesi zao, lakini sikumbuki iwapo yeyote alikamatwa kutokana na amri ya mahakama.

Lakini nadhani kwa hii ya Mbowe -- kwa kuwa ni CDM - atakamatwa mara moja kama vile ilivyotaka kuwa kwa Dr Slaa juzi. Lakini tuwasamehe polisi wetu kwa kufanya kazi kisiasa, hayo yote yana mwisho.
 
Suala la kujadili hapa ni kanuni:

Je, kanuni zimekiukwa? Sheria zimefuatwa? Hoja za Mbowe kutofika zimesikilizwa?

Hata suala la kisheria naona bado wasomi wanalijadili kishabiki tu.

As for Judiciary system, we have no confidence with your move. The truth is that it takes alot of gut to even do the so-called selective justice.

So if you will be able to do a selective justice and do it well, you can as well do a total justice well
Kwani usomi ndio kujuwa mambo? mbona hao wasomi ndio wameifikisha hii nchi hapa ilipo?
 
CCM hawajui gharama ya mchezo wanaoucheza.....this tyme through mahakama.....

mbowe sio panzi wa kusakiziwa nyau..nadhani huyo hakimu na ccm yake hawajui hatari wanayokabiliana nayo.....

nchi italipuka hii!!!
kwetu kuna miti ukipekecha kwa mda mrefu moto huwaka....
 
Bila shaka anayo sababu tosha ya kutofika kwake. Tungoje aseme.

Hata hivyo haya masuala ya mahakama kutoa amri kukamatwa viongozi wa vyama siyo mwanzo kwa Mbowe -- mahakama huchangamkia sana kutoa hati hizo kwa wanasiasa kuliko wengine. Mrema na Mtikila yalishawakuta katika kesi zao, lakini sikumbuki iwapo yeyote alikamatwa kutokana na amri ya mahakama.

Lakini nadhani kwa hii ya Mbowe -- kwa kuwa ni CDM - atakamatwa mara moja kama vile ilivyotaka kuwa kwa Dr Slaa juzi. Lakini tuwasamehe polisi wetu kwa kufanya kazi kisiasa, hayo yote yana mwisho.
Mkuu nimeangalia kidude cha like au Thanks sijakiona.....
 
Amazing! Msomi ni mchambuzi,khiyo ni shabiki!

Matola, Weka katika equation!
Si kweli hata kidogo, unaweza kuwa msomi lakini haujaelimika. CCM imesheheni wasomi wa kila namna sasa kama point ni usomi basi hakuna sababu ya wewe kuwapinga ccm kwa sababu wasomi wapo pale watatufanyia mambo mazuri.
 
Amazing! Msomi ni mchambuzi,khiyo ni shabiki!

Matola, Weka katika equation!
Ben,

Ni kweli kuna sehemu tunaonyesha ushabiki /upenzi wetu zaid lakini ukweli ni kwamba hata ukifata mambo kisheria utakuta sivyo...anjalia juzi kesi iliahirishwa eti hakimu akapitie faili baaadae anafatwa kuulizwa imekuwaje anasema nilikuwa natikisa kiberiti.....hayo ndiyo maneno ya wasomi wetu...

Angalia kilichomtokea Tindu Lisu kule Tarime ni utumbo mtupu hata kwa mtu ambae hajasoma sheria kama mimi ajua tunaburuzwa tu....Acha tuingize ushabiki ili baadae tuwapopoe mawe....
 
Hii kesi imelenga kuwakomoa kina Slaa, Ndesa, Lema na Mbowe. Lakini hakimu wa kesi hii anapaswa atambue kwamba hao anaowatesa ndio mabosi wake wajao. J

e, 2015 Dk Slaa atakapokuwa rais, hakimu huyu atamueleza nini Slaa? Kwa jinsi ninavyomfahamu Rais wangu Slaa si mtu wa visasi ila hakimu huyu ataishi maisha ya huzuni na upweke hadi anaingia kaburini.

Tunajua anatumiwa na JK ila tunamshauri ajitoe kusikiliza kesi hii.
 
CCM hawajui gharama ya mchezo wanaoucheza.....this tyme through mahakama.....

mbowe sio panzi wa kusakiziwa nyau..nadhani huyo hakimu na ccm yake hawajui hatari wanayokabiliana nayo.....

nchi italipuka hii!!!

Fredrick deKlerk anajua wanachofanya ccm. Alitoka madela. Yes from prison to statehouse, with no revenge.:mod:, Waliotakiwa kushitakiwa ni wauwaji sio masalia ya waliouawa.:smow:
 
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas

Hivi Mkapa na Kikwete si pia hawajaenda mahakamani kwenye kesi ya Mahalu mbona hawakamatwi?
 
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas
Ndiyo ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na ni mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA!Ila kuhusu uhuni nadhani wewe utakua mhuni na sisi yeye!
 
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas

Great thinkers think positive. Uvumilivu utatuonyesha hatimaye kwa nini Mbowe hakufika mahakamani. Ni mapema mno kumuita mtu mhuni. Labda walio karibu na Slaa hapo "A" Town wanaweza kutujuza zaidi kwani inawezekana Slaa anajua Mbowe youko wapi!

Regards
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom