Mahakama yaamuru mabanda ya Shekilango (dagaa dagaa), yabomolewe

Mahakama yaamuru mabanda ya Shekilango (dagaa dagaa), yabomolewe

Mabadiliko ya kweli ni lazima yawe na uchungu.

Tushirikiane kwa pamoja kuifanya Tanzania kuwa nchi bora zaidi.
 
...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo amesema kuwa hakuna order ya mahakama inatoka leo halafu wewe unabomoa kesho, amesema wao wameshindwa kufanya lolote sababu wao ni chama tawala wakifanya jambo wataonekana wanafanya vurugu.
Sheria ni msumeno bwana kampeni meneja
 
Mwenye taarifa
 
Attachments

  • IMG-20160204-WA0002.jpg
    IMG-20160204-WA0002.jpg
    99.9 KB · Views: 41
Yaap inavunjwa polisi kibao ni gari lao la maji ya kuwasha.watu ni kilio tu maduka pia wenye bidhaa wanahangaika kuziweka salama.
 
Yaap inavunjwa polisi kibao ni gari lao la maji ya kuwasha.watu ni kilio tu maduka pia wenye bidhaa wanahangaika kuziweka salama.
kwan hii kona baa ndio iko maeneo yepi??
naiskiaga tuu ila siijui ilipo
 
Hahahahhahhhahha mi nimeona kibao
Hapo pembeni kinasema "Magufuli hapa Kazi tu "

I guess ndio maana panavunjwa .
 
Back
Top Bottom