Mahakama yaamuru mabanda ya Shekilango (dagaa dagaa), yabomolewe

Wavunje tu wamezidi kujaza machangudoa hapo na vibaka!
 
mkuu hebu nieleweshe inamaana hii kona bar ndo hongera bar?
ama ni ile ya pale mwanzoni wanakochomaga manyama kwa moshi wa magari?
 
Nyama inachomwa kwa moshi wa magari? halafu inaliwa na binadamu? Hii mpya!
 
Tushabomolewa wapendwa mpaka nyumba za ndani kabisa huku karibu na Perfect vision nimelipa kodi juzi tu leo asubuh nabomolewa bila kupewa taarifa
 
Dar tutaisoma namba ndio maana wastara kaamua kwenda kuolewa na mCCM
 
Back
Top Bottom