Mahakama yaamuru mabanda ya Shekilango (dagaa dagaa), yabomolewe

Mahakama yaamuru mabanda ya Shekilango (dagaa dagaa), yabomolewe

Hapo wale watu wa mitaa ya kati walikuwa full kujiachia
 
kwani aliyeshinda kezi ni nani? Mwanzoni nilidhani CCM ndio wameshinda kesi!!! ufafanuzi tafadhari
 
Mahakama yaamuru mabanda ya Shekilango ya CCM yabomolewe na muda huu majengo hayo yanaendelea kubomolewa . Sehemu hiyo ni Maarufu kama dagaa dagaa ambapo jioni watu walikua wakikutana kubadilishana mawazo kupata vyakula na vinywaji.
View attachment 321149
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo amesema kuwa hakuna order ya mahakama inatoka leo halafu wewe unabomoa kesho, amesema wao wameshindwa kufanya lolote sababu wao ni chama tawala wakifanya jambo wataonekana wanafanya vurugu.



Wahamie "Corner bar/Ambiance" pia..
 
bulembwe na yeye anaisoma namba pamoja na kupiga,domo kwenye kampeni za makomeo
 
Back
Top Bottom