Mahakama yaamru serikali kumlipa mfanyabiashara Sh15bilioni

Hahaha hasara kaanza kutupa toka zamani...isije kua anamtafuta MOIL alipize kisasi
 
Wakati mwingine ni vizuri kufukua makaburi na kujiridhisha kile kilichozikwa humo Haaaa,haaaa nacheka kwa dharau JF ntaendelea kuioenda milele
 
Duh... kwani tokea amekuwa waziri Magufuli ameshazalisha shs ngapi maana hii hasara wanayoliingizia taifa kwa umbumbumbu wa sheria ni kubwa sana??? ukiachana na biashara ya kuuza nyumba za serikali!

Hiyo pesa ya walipa kodi sababu MAgufuli alikuwa ndo mwakilishi. Nafikiri kuna umuhimu wa mawaziri kupimwa IQ zao vinginevyo watakuja kufilisi taifa kwa maamuzi ya pupa. Tukianzia kwa LOwassa alifuta mkataba wa city water na sasa serikali iko kitanzini

Bwana Mkubwa Magufuli...hatua ile ilikuwa ya kipumbavu kabisa.MOIL walikuwa na kila documents za kuhalalisha kujenga pale lakini wewe ukiwa umelewa madaraka ulidhani una mamlaka ya kuvunja kile moil alikuwa akikijenga kwa jasho lake.sijui ulikuwa unamchukia kwa rangi yake au mafanikio yake ...nobody knows.Wewe ni mtu hatari sana kwa jamii.Kweli inafaa upimwe iq.Nadhani hata JK hatakuvumilia na atakupiga teke sasa hivi.

Nime note vitu vitatu kutoka kwa comments hizi za miaka 10 iliyopita:

1:Hatua ya kipumbavu
2:Kupimwa IQ
3:Umbumbu wa kisheria
4:Chuki kwa rangi yake (kabila lake?)
5:Kuuza nyumba za serikali
6:Hasara kuliko faida

What goes around comes around!
Bado jinamizi litaendelea kutufuata...credit to JF super server!
 
Shujaa wa africa by prof: Safari
 
Duh... kwani tokea amekuwa waziri Magufuli ameshazalisha shs ngapi maana hii hasara wanayoliingizia taifa kwa umbumbumbu wa sheria ni kubwa sana??? ukiachana na biashara ya kuuza nyumba za serikali!
Imekula kwake. hayo maamuzi yatabaki kwenye karatasi tu
 
Back
Top Bottom