You R.I.P jose!!!!!Nani huyo aliyetunza gazeti tangia 2007 aje akupe muendelezo?
OkayYou R.I.P jose!!!!!
mimi hapaNani huyo aliyetunza gazeti tangia 2007 aje akupe muendelezo?
Shukrani mkuu nimekusoma umenikumbusha mbali sana aise japo kuwa nilikua Dogo kimtindo kila week ilikuwa inanitoka 200 ya kukununua gazetmimi hapa
jamaa aliendaga kufanya kazi kanda ya ziwa akitokea tanga akapata mke akaoa kumbe ni mtoto wa moja wa magwiji wa kichawi akatakiwa kutolewa kafara...
Hongera kwa muendelezomimi hapa
jamaa aliendaga kufanya kazi kanda ya ziwa akitokea tanga akapata mke akaoa kumbe ni mtoto wa moja wa magwiji wa kichawi akatakiwa kutolewa kafara...
Hii story naikumbuka yote… ngoja Nita andika Kama ilivyo nikipata mudaNakumbuka 2007 kwenye gazeti la udaku la MAISHA nilikuwa nafuatilia sana ila sikuimalizia hadi mwisho.
Anaweza Ku share nasi jamani
Gazeti lilikuwa linatoka j5 kila week kama sikosei