Mahakama ya Kisutu yawaachia huru Masamaki na wenzake watano

Ofisi ya DPP imesema haina nia ya kuendelea na ksei hiyo ambayo walituhumiwa kulitia hasara Taifa kiasi cha TZS 12.7 bilion
Hahaha kwa lugha nyepesi ni kwamba wamekosa ushahidi au kama wameupata basi kuna chain ya vigogo ambao wao na familia zao hawatakiwi kuguswa.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha ha ha
huu ujinga wa masamaki na wenzie unachekesha
ila ngoja nikaangalie ujinga mwingine twitter na facebook wa ugomvi wa wakenya na watanzania kuhusu ujio wa rooney na everton
 
Hapo kuna harufu ya kukamatwa na kushtakiwa tena. Si kirahisi hivyo.

Embu basi mdogo wangu tuandikie uzi wa kuomba tume iwe inachunguza juu ya hizi kesi zinavyoendeshwa kwa haswa upande wa serikali

Hapo nitafurahia kuliko ile ya wanaoteuliwa.

Maana wanatuchanganya akili hadi nasikia kinyaa kusoma habari hii leo
 
huyu masamaki!!situliambiwa alikutwa na ndoo za hela? ziki wemo dollar.sasa hushahidi unakosekana vipi?na bado walisema ana nyumba kijiji sijui pugu?wote huo si hushahidi? au ndo muendelezo riwaya tamu za kifisadi!kumbe basi tusitegeme makubwa sana kwa rugemalila!tusije sononeka tena.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kwa tukio hili kesi nyingi zitaisha kwa serikali kushindwa rabda watamshinda. Malinzi na Aveva
 
Kesi za kukurupuka na za sifa huwezi kushinda kamwe.. Tutabaki tunaitupia lawama mahakama kwamba mahakimu wamekula rushwa, wakati kesi zilizopelekwa ni dhaifu kuliko udhaifu wenyewe..
Muulizeni kama zile nyumba sabini kama bado ni za kwake.

Havome
 
Back
Top Bottom