Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

Aliyetaka kugombanisha wakristo na waislam ni JK lakini kwa sasa naona akili imemkaa sawa kwa hili
JK CCM ndiye aliyeweka kadhi kama sera.
Pia hamna ubaya muislam kuichukia CDM au CCM kwa sababu zake za kidini.
Islamists (non religious part of ISLAM i.e islam political guidelines ) hatakiwi ndani ya CDM au CCM given nchii hii ina watu wa dini tofauti.
Wewe kama ISLAMIST nakushauri usije CDM kabisaa
Ritz Pagan, kama CDM ni chama cha Wakristo mtajijua wenyewe..kwangu mimi CDM na CCM ni takataka za chooni nadhani umenipata naona unadandia pipe kwa mbele
 
Waislamu wana matatizo sana siku zote wao ni watu wakuonewa sijui tatizo nini!!!!!!!!!!!!!...............Wataishia kunawa.

manano yenu ni makali sana kiasi kwamba hata yesu wenu hapendi kusikiliza. mpende adui yako
 
Ndugu yangu mimi sio Muislam kwanza ujue mimi ni Pagan hayo maneno kawaeleze Waislam.<br />
Mimi nachoshangaa hawa jamaa niliowajibu pamoja na wewe huwa tunajadiliana mambo ya siasa kila mara humu jamvini wao ni CDM, nawashangaa tena hao hao nawakuta wanawakejeli watu wenye imani tofauti na wao bahati nzuri CDM karibia wote ni Wakiristo.<br />
Ushauri wangu acheni hizo mnazidi kumgombanisha Dr Slaa na Waislam pamoja na sisi Wapagan ni hayo tu mpwa!

wewe ndo unazidi kuwaharibia waislam kwa taarifa yako,jinsi unavyo link vyama vya siasa na imani za dini,kama ndivyo...mkuu jiulize tu,watu wakiamua kupiga kura nchi hii kwa imani za kidini kama unavyotaka ie wakristo (CDM) na waislam (CCM &CUF), ni mgombea wa chama gani atakayeshinda?

Sitaki uweke jibu hapa,nahitaji ufikirie tu,jibu liache huko huko moyon mwako kaka.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
MKUU UNGEKUWA NA ELIMU NA IQ INAYOFANYAKAZI UNGEPOTEZEA,NA DOUBT HATA UTIMAMU WA KICHWA CHAKO...MWEZI MCHANGA NN. We si umeambia potezea mbona unaji......ea. &lt;

Wewe ni nani mpaka uniambie nini cha kufanya? nilijiunga JF kukuoa wewe? au unanilipia broadband? we mwehu nini? Ndio mnajiunga JF kutafuta mabwana? khanithi mkubwa wee
 
Sidhani hata kama kodi unalipa... na kwa taarifa serikali imejitoa.. tutadhamini wenyewe... tafuta lingine

Inaelekea hujui hata kodi ya serikali inakusanywa vipi! ukinywa soda, ukinunua sembe, ukilipa ada ya shule, ukienda u/taifa kuangalia mechi n.k kote huko unalipa kodi au ulifikiri hadi ugongewe hodi mlangoni kudaiwa kodi?
 
Wakuu,

Nimesikia Waislamu wengi wakidai kwamba hawaipendi na hawalitaki Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) kwa kuwa liko chini ya Serikali na pia lilianzishwa na Serikali! Pia nimesikia kwamba Mikutano mingi ya BAKWATA hufadhiliwa na Serikali! Vile vile kuna taasisi kadhaa za kiislamu ambazo hazitaki kuwa chini ya BAKWATA, simply kwa sababu ilianzishwa na Seikali, tena wengine wanaifananisha BAKWATA na BAKITA (yaani Baraza la Kiswahili la Taifa)!

Well, kama ndio hivyo, kwa nini Waislamu hao hao wanataka Mahakama iwe chini ya Serikali na pia kuendeshwa kwa gharama za Serikali?

Mimi kwa mawazo yangu kuna mambo yaliyojificha nyuma ya pazia na ieleweke wazi kuwa Waislamu hata wakipatiwa Mahakama ya Kadhi ikiwa chini ya Serikali hautakuwa mwisho wa Waislamu "kuonewa" bali watakuja na ajenda nyingine na mwisho wa siku tutajishtukia tuko kama Somalia au Nigeria!

Kwa hiyo, tuikatae Mahakama ya Kadhi kuwa chini ya Serikali, maana ni Ibada ya Waislamu, kwa gharama yoyote!

Nawasilisha, kwa mjadala!
Tushirikiane kuwekeza katika kuwapatia Elimu dunia waislam ili kupunguza Visasi vya kidini, kulazimishana kufunga, Milipuko na kuifanya dunia iishi kistaarabu zaidi. Hakuna lisilowezekana.
 
wewe ndo unazidi kuwaharibia waislam kwa taarifa yako,jinsi unavyo link vyama vya siasa na imani za dini,kama ndivyo...mkuu jiulize tu,watu wakiamua kupiga kura nchi hii kwa imani za kidini kama unavyotaka ie wakristo(CDM) na waislam(CCM &CUF),ni mgombea wa chama gani atakayeshinda?

Sitaki uweke jibu hapa,nahitaji ufikirie tu,jibu liache huko huko moyon mwako kaka.

Achana na watu waliomezeshwa mambo. Hawa watu mara nyingi wakizidiwa kwa hoja wanakimbilia kuingiza udini ili watu wasihukumu kwa hoja wahukumu kidini zaidi. Wee kama kikuu cha nchi tuu kinajiingiza kwenye udini unategemea nini?
 
wakuu,

nimesikia waislamu wengi wakidai kwamba hawaipendi na hawalitaki baraza kuu la waislamu (bakwata) kwa kuwa liko chini ya serikali na pia lilianzishwa na serikali! Pia nimesikia kwamba mikutano mingi ya bakwata hufadhiliwa na serikali! Vile vile kuna taasisi kadhaa za kiislamu ambazo hazitaki kuwa chini ya bakwata, simply kwa sababu ilianzishwa na seikali, tena wengine wanaifananisha bakwata na bakita (yaani baraza la kiswahili la taifa)!

Well, kama ndio hivyo, kwa nini waislamu hao hao wanataka mahakama iwe chini ya serikali na pia kuendeshwa kwa gharama za serikali?

Mimi kwa mawazo yangu kuna mambo yaliyojificha nyuma ya pazia na ieleweke wazi kuwa waislamu hata wakipatiwa mahakama ya kadhi ikiwa chini ya serikali hautakuwa mwisho wa waislamu "kuonewa" bali watakuja na ajenda nyingine na mwisho wa siku tutajishtukia tuko kama somalia au nigeria!

Kwa hiyo, tuikatae mahakama ya kadhi kuwa chini ya serikali, maana ni ibada ya waislamu, kwa gharama yoyote!

Nawasilisha, kwa mjadala!

mode funga hii topic kwa maana haina tija kujadili kitu kilishatolewa uhamizi... Na mkuu wa kaya
 
wewe ndo unazidi kuwaharibia waislam kwa taarifa yako,jinsi unavyo link vyama vya siasa na imani za dini,kama ndivyo...mkuu jiulize tu,watu wakiamua kupiga kura nchi hii kwa imani za kidini kama unavyotaka ie wakristo(CDM) na waislam(CCM &amp;CUF),ni mgombea wa chama gani atakayeshinda?
Sitaki uweke jibu hapa,nahitaji ufikirie tu,jibu liache huko huko moyon mwako kaka.
Kama wewe na huu utafiti wako unavyoiharibia CDM, kwanza mimi rais hata akiwa Mkiristo au Muislam, kwangu mimi sawa hakuna cha maana, nadhani wewe mpaka povu linakutoka unapenda rais atoke kwenye dini yako sijui itakusaidia nini, jibu kaanalo tu moyoni mkuu
 
JK alituchana vizuri sana ile siku ya IDD kule Dodoma. Kama mahakama ya kadhi tumepewa ruhusa ya kuanzisha, natuisimamie wenyewe. Je, tunataka serikali itusaidie nini tena? Vile vile kuhusiana na shule tumeambiwa tujenge, hospitali pia tujenge ili na sisi tuombe MoU kama wakristu walivyoomba wakapewa.


Tatizo letu hatuna Hospitali kama wakristu ndiyo maana tunalalamika. Wakistu wanayo Bugando na KCMC hospitali zinazotoa huduma kwa wananchi wote bila ya kubagua. Sasa sisi tuna nini?

Shule tunazo lakini kwa matokeo mabaya ndiyo zinazoongoza. Kwa hilo tunabisha? Tusomeni tuache kubwabwaja. Hakuna anayetuonea. Mimi ni Mwislam lakini sikubaliani na madai yenu. Hayana msingi.
 
Tuache kulalamika. JK ametuambia ukweli. Tunaweza kuanzisha mahakama ya kadhi lakini haitasimamiwa na serikali. Pia kuhusu wakristu kusasidiwa mimi binafsi ninaona ni jambo zuri maana wao wanazo hospitali kubwa tena zinatoa hudma bila ya kubagua. Sisi waislam hatuna hospital. sasa tunacho lalamika ni nini?

Shule tunazo lakini zinashikaga mkia kenye matokeo. Tukaze buti, tusome, tuache kubwabwaja bwabwaja. habari ndiyo hiyo. wakristu ndiyo wanavyosonga mbele, wanapata ajira nzuri.

Sisi tunacheza bao tu na kugongea gahawa na kashata tu. Huo ndio ukweli. Tusome then tutaona mafanikio. Hakuna short cut in life. we have to struggle
 
JK alituchana vizuri sana ile siku ya IDD kule Dodoma. Kama mahakama ya kadhi tumepewa ruhusa ya kuanzisha, natuisimamie wenyewe. Je, tunataka serikali itusaidie nini tena? Vile vile kuhusiana na shule tumeambiwa tujenge, hospitali pia tujenge ili na sisi tuombe MoU kama wakristu walivyoomba wakapewa. Tatizo letu hatuna Hospitali kama wakristu ndiyo maana tunalalamika. Wakistu wanayo Bugando na KCMC hospitali zinazotoa huduma kwa wananchi wote bila ya kubagua. Sasa sisi tuna nini? Shule tunazo lakini kwa matokeo mabaya ndiyo zinazoongoza. Kwa hilo tunabisha? Tusomeni tuache kubwabwaja. Hakuna anayetuonea. Mimi ni Mwislam lakini sikubaliani na madai yenu. Hayana msingi.

Mkuu upo ryt mia mia, mpaka leo waislam tuna chuo kikuu kimoja tu, badala tujenge vingine Bakwata imekalia majungu tu na kuipinga cdm na maandano. Kwa hali hii tutamlaumu nani? Mchawi wa waislam ni waislam wenyewe.

Na hiyo Bakwata sitaki hata kuisikia, tujenge mashule,vyuo,mahospitali tusimamie watoto wasome waelimike angalau huko mbeleni kuwe na uwiano. Ila kulalamika tu hatutafika popote, Islam means salaam is z my way.
 
Wewe ni nani mpaka uniambie nini cha kufanya? nilijiunga JF kukuoa wewe? au unanilipia broadband? we mwehu nini? Ndio mnajiunga JF kutafuta mabwana? khanithi mkubwa wee
Pro-CDM-JF utawatambua tu kwa maneno yao
 
Ni dini ya upanga,ndiyo mana hawana maendeleo,na hata sadaka hawapendi kutoa kisa masheikh watafaidi,shule hawapendi kusoma,wamekalia mihadhara kuwakashifu wakristo wakati hao wakristo wameenda shule na wanamaisha mazuri sana,na wanajenga kila siku mashule,mahospitali,mavyuo.Mbadilike waislam jamani mtaacha lini kuwa na fikra mgando,na siss CCM tutaendelea kuwadanganya mpaka kesho mana nyie ndiyo wapiga kura wetu,wakristo kuwadanya kazi ndiyo mana hawatupendi
Ndugu yangu unamaanisha wakristo wapi? hao mafisadi? Mbona wengi tunao huku mitaani choka mbaya tunapigana mizinga tu? Kuwa mkweli man. waliosoma ni wachache sana na ni mafisadi, ndo maana 50 years ya uhuru wa bendera sisi sote ni masikini wakutupwa.
 
Wakubwa ` mimi ni mgeni ktk uwanja huu lakini ninachokiona kuhusina na mada hii ni kwamba Inahitajika kwanza wanachi waelimishwe nini maana ya kadhi na kwa nini inahitajika na kwanini ipo na inaoperate vipi kwenye nchi zenye watu wengi wasio waislam km vile AMERICA, Uingereza, Uganda, Kenya.

Je serikali hizo zina mchango gani katika mahakama hizo kinachoonekana hapa kwetu ni watu kujadili kitu ambacho hawaelewi bali wanajadili kwa kuogopeshwa, na kuwafanya kujadili kwa kutusi dini na watu wake nadhani haipendezi la hasha serikali inawajibu kuwapa waisalamu nafasi kuelimisha umma ili uelewe.
 
Sidhani hata kama kodi unalipa... na kwa taarifa serikali imejitoa.. tutadhamini wenyewe... tafuta lingine

Kama mna uwezo wa kujidhamini wenyewe kwa nini mnaililia serikali, huu ni unafiki wa mwaka!
 
Wakubwa ` mimi ni mgeni ktk uwanja huu lakini ninachokiona kuhusina na mada hii ni kwamba Inahitajika kwanza wanachi waelimishwe nini maana ya kadhi na kwa nini inahitajika na kwanini ipo na inaoperate vipi kwenye nchi zenye watu wengi wasio waislam km vile AMERICA, uingereza, uganda, kenya je serikali hizo zina mchango gani katika mahakama hizo kinachoonekana hapa kwetu ni watu kujadili kitu ambacho hawaelewi bali wanajadili kwa kuogopeshwa, na kuwafanya kujadili kwa kutusi dini na watu wake nadhani haipendezi la hasha serikali inawajibu kuwapa waisalamu nafasi kuelimisha umma ili uelewe.

Mambo ya waislamu yataamuriwa na waislamu wenyewe, hakuna haja ya kuelimishana katika hili,
kuwepo kwenye nchi zingine kunatokana na aina ya siasa zao, kwa mfano Marekani wamejijengea
maadui katika nchi za Kiislamu ndiyo maana wanawazuga na mahakama ya kadhi.
 
MAHAKAMA YA KADHI: jamii ya watanzania tunahitaji ELIMU YA NGUVU kuhusiana na mahakama hiyo hivyo serikali iwape nafasi waislamu waelimishe jamii yetu ili watoe michngo yao kwa uelewa na siyo kutishana, wala kutukanana si vizuri la hasha!!!!!!!!!!!!!!!! watu wengi wanaonekana wanjadili lakini wanonekana hawaelewi wanachomaanisha mwisho wanishia kutusi uislamu na waislamu kwa ujumla. mimi naona hilo ni jambo la msingi lipewe nafasi wwote ni wabongo!!!!!!!!!!!!!!1
 
Ndugu yangu unamaanisha wakristo wapi? hao mafisadi? Mbona wengi tunao huku mitaani choka mbaya tunapigana mizinga tu? Kuwa mkweli man. waliosoma ni wachache sana na ni mafisadi, ndo maana 50 years ya uhuru wa bendera sisi sote ni masikini wakutupwa.

Unamaanisha kina Idd Simba, Rostam Azziz, Yusuf Manji, Riz1... ni kweli mkuu!
 
Back
Top Bottom