Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

kama umegunduwa wewe nilikupotezea siku nyingi sana ku replay posts zako .. mzee wa degree tatu! wala usijisumbue kunijibu.. u ain't even my level of thinking & understanding .. yaan we nipotezee tu! nashangaa unajina la kiarabu alafu unalalamika waislam wanapenda waarabu kuliko waafrika

Of coz huezi kwenda toe to toe na mtu aliyekuzidi IQ and elimu pia thats pretty obvious..by the way jina nimepewa and it is purely for identification purposes..like an ID. Ngojea nkukukumbushe.'.njiwa' kikwetu ni mtu anayezibuliwa choo..

Wakatabahu

Dr. Abdulhalim bin Njelenje
 
mawazo yako ni kama ya wale waliochonga lile sanamu la mzungu lililopigiwa misumari & die with helpless death nakuwaambia ati ni mungu ... tumia ubongo kufikiri

Jibu hoja wewe acha kukashifu, tukianza kukashifu utakimbia mwenyewe. Muulize Ally Kombo anampata vizuri Mzito Kabwela. Ok, hebu nipe ilimu hapa, Marehemu Mudi alipata elimu dunia?
 
Kama mawazo ya waislamu ndiyo haya mtaendelea kuwa watumwa wa kina Gaddafi milele.

Acha muslims wasaidiwe. Hata sisi wazungu walitusaidia ktk kufikia hatua tuliyo nayo. Nnachoshangaa ni ninyi wasomi kutmika kuligawa taifa ktk misingi ya udini. Ni kweli tz kuna udini na utatughalimu.
 
na ninyi mtaishia kutoa macho... nyerere kafa ... waislam wameamka...

Mwl. Nyerere anakukosesha usingizi. Ukiupata ni wa mang'amung'amu. Matokeo ni kukurupuka.

Sina uhakika kama umeamka
 
Kudos to JK kwa ku-speak the obvious. Hakuna 'dini' yenye haki ya kuidai serikali itimize ibada yake. At least serikali ktk hili ipo ktk uelekeo sahihi.
Yes,! nchi hii si yawaisliamu pekee, hata animists wapo hapa tanzania.inakuwaje waislamu tu ndio waone wao wanahaki zaidi ya wengine? mahakama hiyo anzisheni kwa fedha zenu,au tafuteni wafadhili kutoka nchi za kiarabu.
 
Mahakama ya kadhi haiwezi kuwa chini ya serikali alah wao anaroho mbaya sana ,atakata mikono watu!kwanza hata wakipewa kutakuwa hamna wateja utaskia hukumu mtu anachapwa viboko 80 pale posta!
Huyu ni kiongozi wa CDM ndio anataka wapewe nchi angalia maneno yake dhidi ya Imani ingine ngoja umkute anavyoisifia CDM utashangaa jinsi povu linavyomtoka, siku mkichukuwa nchi sisi wapagan si mtatupiga risasi
 
On my dead body siwezi kuruhusu kodi yangu ikanunue panga la kukata watu mikono.
Ni vigumu sana kutofautisha CDM na Kanisa, Huyu nae ni kiongozi mkubwa wa CDM sijui kwa nini CDM wanakuwa na chuki na imani zingine wasiwasi wangu sisi wapagan si mtatunyoga mkipewa nchi
 
Kama mawazo ya waislamu ndiyo haya mtaendelea kuwa watumwa wa kina Gaddafi milele.
Ukiambiwa CDM ni chama cha Wakisto na mawazo yenu wote mnataka Padre Slaa, awe rais mnabisha. Teh teh teh
 
Of coz huezi kwenda toe to toe na mtu aliyekuzidi IQ and elimu pia thats pretty obvious..by the way jina nimepewa and it is purely for identification purposes..like an ID. Ngojea nkukukumbushe.'.njiwa' kikwetu ni mtu anayezibuliwa choo..
Wakatabahu
Dr. Abdulhalim bin Njelenje

MKUU UNGEKUWA NA ELIMU NA IQ INAYOFANYAKAZI UNGEPOTEZEA,NA DOUBT HATA UTIMAMU WA KICHWA CHAKO...MWEZI MCHANGA NN. We si umeambia potezea mbona unaji......ea.
 
Ni vigumu sana kutofautisha CDM na Kanisa, Huyu nae ni kiongozi mkubwa wa CDM sijui kwa nini CDM wanakuwa na chuki na imani zingine wasiwasi wangu sisi wapagan si mtatunyoga mkipewa nchi

waislam mnadanganywa kirahisi kwamba Mkuu wa nchi akiwa muislam basi matakwa ya waislam yatatekelezwa hata kwa kuivunja katiba.......
muislam ndugu yake muislam na yapaswa amsaidie muislam kwa gharama yeyote sasa JK amewasaidia sana kwa kufafanua na kuzielewesha bongo zenu kwamba mahakama ya kadhi kwa kodi zetu haitawezekana
 
Hii dini ina matatizo kama aliyokuwa nayo Mtume Muddy........Manake alikuwa hajui kusoma wala kuandika.
Jamani nyie CDM mbona mnazidi kuichoganisha CDM na Waislam hivi hamtaki Waislam wajiunge na CDM jamani!
 
Jibu hoja wewe acha kukashifu, tukianza kukashifu utakimbia mwenyewe. Muulize Ally Kombaanampata vizuri Mzito Kabwela. Ok, hebu nipe ilimu hapa, Marehemu Mudi alipata elimu dunia?

ILI UJIBIWE HAPA,EBU TUAMBIE WHEN WAS THE LAST TIME ULIENDA KUPIGA MAGOTI KWA BINADAM MWENZIO NA KUTUBU DHAMBI ZAKO, NA AKAKWAMBIA UMESAMEHEWA. Tujue unafata mkumbo au unajua unachoshabikia.
 
waislam mnadanganywa kirahisi kwamba Mkuu wa nchi akiwa muislam basi matakwa ya waislam yatatekelezwa hata kwa kuivunja katiba.......
muislam ndugu yake muislam na yapaswa amsaidie muislam kwa gharama yeyote sasa JK amewasaidia sana kwa kufafanua na kuzielewesha bongo zenu kwamba mahakama ya kadhi kwa kodi zetu haitawezekana
Ndugu yangu mimi sio Muislam kwanza ujue mimi ni Pagan hayo maneno kawaeleze Waislam.
Mimi nachoshangaa hawa jamaa niliowajibu pamoja na wewe huwa tunajadiliana mambo ya siasa kila mara humu jamvini wao ni CDM, nawashangaa tena hao hao nawakuta wanawakejeli watu wenye imani tofauti na wao bahati nzuri CDM karibia wote ni Wakiristo.
Ushauri wangu acheni hizo mnazidi kumgombanisha Dr Slaa na Waislam pamoja na sisi Wapagan ni hayo tu mpwa!
 
Jibu hoja wewe acha kukashifu, tukianza kukashifu utakimbia mwenyewe. Muulize Ally Kombaanampata vizuri Mzito Kabwela. Ok, hebu nipe ilimu hapa, Marehemu Mudi alipata elimu dunia?

ILI UJIBIWE HAPA,EBU TUAMBIE WHEN WAS THE LAST TIME ULIENDA KUPIGA MAGOTI KWA BINADAM MWENZIO NA KUTUBU DHAMBI ZAKO, NA AKAKWAMBIA UMESAMEHEWA. Tujue unafata mkumbo au unajua unachoshabikia.
 
Ndugu yangu mimi sio Muislam kwanza ujue mimi ni Pagan hayo maneno kawaeleze Waislam.
Mimi nachoshangaa hawa jamaa niliowajibu pamoja na wewe huwa tunajadiliana mambo ya siasa kila mara humu jamvini wao ni CDM, nawashangaa tena hao hao nawakuta wanawakejeli watu wenye imani tofauti na wao bahati nzuri CDM karibia wote ni Wakiristo.
Ushauri wangu acheni hizo mnazidi kumgombanisha Dr Slaa na Waislam pamoja na sisi Wapagan ni hayo tu mpwa!

Nadhani una tatizo kubwa sana ama huelewi au unajifnya hivyo! Anayeanza mambo ya CCM na CDM na kulete udini Kait ya Wakristo na Waislamu ni wewe na nadhani ndio maana wengi wamekugundua na kukupotezea maana unataka kuput watu off ili wasijadili mada husika...... You cant.
 
Ndugu yangu mimi sio Muislam kwanza ujue mimi ni Pagan hayo maneno kawaeleze Waislam.
Mimi nachoshangaa hawa jamaa niliowajibu pamoja na wewe huwa tunajadiliana mambo ya siasa kila mara humu jamvini wao ni CDM, nawashangaa tena hao hao nawakuta wanawakejeli watu wenye imani tofauti na wao bahati nzuri CDM karibia wote ni Wakiristo.
Ushauri wangu acheni hizo mnazidi kumgombanisha Dr Slaa na Waislam pamoja na sisi Wapagan ni hayo tu mpwa!
Aliyetaka kugombanisha wakristo na waislam ni JK lakini kwa sasa naona akili imemkaa sawa kwa hili
JK CCM ndiye aliyeweka kadhi kama sera.
Pia hamna ubaya muislam kuichukia CDM au CCM kwa sababu zake za kidini.
Islamists (non religious part of ISLAM i.e islam political guidelines ) hatakiwi ndani ya CDM au CCM given nchii hii ina watu wa dini tofauti.
Wewe kama ISLAMIST nakushauri usije CDM kabisaa
 
Back
Top Bottom