Wakristu wanataka mahakama ya kadhi iwepo ila tu iendeshwe na waislam wenyewe. kuna tatizo hapo mkuu wangu?serikali ianzishe hiyo mahakama watu wakatwe mikono bana.. Uhalifu mwingi utapungua aisee...kwa nn wakristo hawaitaki hii mahakama? Hii ni pilipili isiyoila sasa inawawashia nini?
tatizo lipo tena kubwa..kwani hiyo pesa ya serikali wakristo ndio wanachangia hio kodi wenyewe? This is distribution of nation cake....tatizo liko wapo? Kwani mahakimu wa hio mahakama watatoka uarabuni? Nope ..watakuwa ni watanzania wenzetu tena....kuna tatizo hapo?....au hujawahi kwenda kwenye migodi ya madini na makampuni makubwa ukaona jinsi wageni wanavyotumbua pesa yetu kwa kupewa mishahara mikubwa?Wakristu wanataka mahakama ya kadhi iwepo <b>ila tu</b> iendeshwe na waislam wenyewe. kuna tatizo hapo mkuu wangu?
Mkuu wangu ....uamuzi mbona umeshatolewa! Mtaiendesha mahakama ya kadhi kwa hela zenu wenyewe. hakuna jinsi!tatizo lipo tena kubwa..kwani hiyo pesa ya serikali wakristo ndio wanachangia hio kodi wenyewe? This is distribution of nation cake....tatizo liko wapo? Kwani mahakimu wa hio mahakama watatoka uarabuni? Nope ..watakuwa ni watanzania wenzetu tena....kuna tatizo hapo?....au hujawahi kwenda kwenye migodi ya madini na makampuni makubwa ukaona jinsi wageni wanavyotumbua pesa yetu kwa kupewa mishahara mikubwa?
wanajadiliana nini? Si alishawaambia kwamba waanzishe mahakama yao wenyewe?
Na hiyo kamati itagharamiwa na nani?
kama tumepinga mbona kikwete amekaa na mashehe na wamekubaliana kuunda kamati haraka ili kufanikisha mahakama ya kadhi? au wanataka kuunda mahakama ya kitu gani?? kaka , mbona mna tabia ya kulalamika sana? mimi sijawahi kuona watu wanadai kitu halafu wakipewa wanaanza tena kulalamika. Ninyi ni watu wa aina ya pekee kabisa hapa duniani.wakristo kuipinga mahakama ya kadhi ni kueneza udini...
ahaa! Hapo mkuu umeteleza. Serikali haina dini na tena serikali siyo charity organization. Tuiache ifanye mambo yake tusiipe majukumu ambayo siyo yake. Tuiache itupe miundo mbinu na mambo ya namna hiyotatizo lipo tena kubwa..kwani hiyo pesa ya serikali wakristo ndio wanachangia hio kodi wenyewe? This is distribution of nation cake....tatizo liko wapo? Kwani mahakimu wa hio mahakama watatoka uarabuni? Nope ..watakuwa ni watanzania wenzetu tena....kuna tatizo hapo?....au hujawahi kwenda kwenye migodi ya madini na makampuni makubwa ukaona jinsi wageni wanavyotumbua pesa yetu kwa kupewa mishahara mikubwa?
kama haina dini kwa nini -Katoliki wanapewa fungu na serikali? Kwa nini kama wanatoa huduma za jamii wasitoe tu kama kanisa? Kwa nini wameingia gentlemen mkataba na serikali ambayo haina dini? Serikali na maaskofu hapa wameteleza kuwanyima waislamu mahakama ya kadhi kama walivyotaka na huu udini wakristo ndio wanauanzisha wenyeweahaa! Hapo mkuu umeteleza. Serikali haina dini na tena serikali siyo charity organization. Tuiache ifanye mambo yake tusiipe majukumu ambayo siyo yake. Tuiache itupe miundo mbinu na mambo ya namna hiyo
wakristo kuipinga mahakama ya kadhi ni kueneza udini...
unajua kuwa serikali inalipa kanisa fungu kila mwaka? Huu sio udini?Mkubwa... Sorry if I'll be offending you... But I think and believe the opposite is true... Kutumia pesa za Serikali kuanzisha na kuendesha Taasisi za kidini ndiyo UDINI!!!
kama haina dini kwa nini -Katoliki wanapewa fungu na serikali? Kwa nini kama wanatoa huduma za jamii wasitoe tu kama kanisa? Kwa nini wameingia gentlemen mkataba na serikali ambayo haina dini? Serikali na maaskofu hapa wameteleza kuwanyima waislamu mahakama ya kadhi kama walivyotaka na huu udini wakristo ndio wanauanzisha wenyewe
Hivi wewe wakristo wanakunyima usingizi? Jitahidi uwabadilishe wawe waislam. Ukishindwa ungana nao.wakristo kuipinga mahakama ya kadhi ni kueneza udini...