Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea October 29,2025
By the way, hii ni ya sasa au ile ya zamani?Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC), kupitia Baraza la wanasheria wake, imetangaza kuwa ipo katika hatua za maandalizi ya kuanza uchunguzi nchini Tanzania kwa lengo la kukusanya ushahidi kuhusu matukio muhimu yaliyoripotiwa kutokea kuanzia Oktoba 29, 2025.