Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,233
- 8,779
MZEE WAKO WA KANISA AKIWA NA VIFAA VYAKE
Fitina ya wapemba tuu ! Fitina mlianza siku nyingi tuu kabla hata mapinduzi. Zanzibar ni mali ya Sultanate of Oman, kama kurudi irudishwe huko !Muungano uliwapo kutokana na shinikizo la mabeberu wa magharibi
Fuatilia vizuri siasa za Tanganyika na Zanzibar kabla ya uhuru,uchaguzi wa zanzibar uliompa ushindi mzee shamte,mapinduzi ya kina okelo,kuingia madarakani mzee karume,mauaji ya kimbari yalotokea baada ya mapinduzi na jinsi Kiongozi wa Tanganyika na Zanzibar walivyoafikiana kuziunganisha nchi zao bila ya kuwashirikisha wananchi wa pande zote mbili na yaliyojiri na yanayoendelea kujiri baada ya muungano huo ndio utaelewa kwanini wazanzibari wengi hawaukubali muungano huu kwa jinsi ulivyo hivi sasa.Historia hii haufundishwi mashuleni wala vyuoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlikuwa laki tatu, sasa mpo 1.8 mil. Visiwa havitanuki hivyo na huku bara tupo mil 55 na bado nchi tupu.Mimi kama mzanzibari naona hasara tupu kuanzia identity/utambulisho hadi uchumi .... labda utuekeze hizo faida utujuze mkuu
.....kauliza Brexit kwanini inawatesa wa UK wakati wao wana uhuru zaidi na elimu zaidi !Inatuhusuuu?? waachieni matatizo yao wayamalize wenyewe.. tangu mmiwashikilia miaka kibawwo mpaka leo hii hakuna amani ya kweli. waachieni wawe huru.. mmiwang'ang'ania tuuuuu
huyu ni mfuasi wa sultani seyyid Jamshid aliyepo uhamishoni uingereza, wametumwa, na ni wakuwashughulikiahakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..
Mwisho wa maamuzi yao huwa ni ushauri tu ambao unaweza kuchukuliwa au kupuuzwa, mahakama za Tanzania zinatosha kabisaTaarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.
Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.
Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.
Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar
Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano
View attachment 782025
Hauna PDF yake mkuu?Kuhusu uhalali wa muungano, someni kitabu cha KWAHERI MKOLONI KWA HERI UHURI kilicho andikwa na Dr. ghansari
Sent using Jamii Forums mobile app
The mouth from which River?sawa na mtoto kuhoji ndoa ya wazazi wake, shughuli ipo
hahahaa natania tu ... sipo siriaz
voice of the moon .....voice of the Sun .......dead voice because both have no mouth to utterNimeipenda avatar yako
Mlikuwa laki tatu, sasa mpo 1.8 mil. Visiwa havitanuki hivyo na huku bara tupo mil 55 na bado nchi tupu.
Mjue nje ya muungano huku bara unaweza kunyimwa hata viza. Hapo ndo utajua kwanini UK wanahangaika mpaka sasa na Brexit !
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasemea huku kwa Machogo ati usijenpiga na kasia weye! We have more important issues to discuss as a nation ! Mbona siku hizi machogo hatuji mji mkongwe kuwamalizia mapembe? Sie twaja zetu tu Archipelagos forodhani kula Pweza , ngisi na chaza kama watalii ati! Hili suala tulifunga mjadala wake 1964!
Yakhe mkitaka liendelee ati you guys have ten options to fulfill ati!
Moja: muwafufue waasisi wote waje mbele ya wananchi wote waliokuwepo wakati ule waasisi wao ndo watengue mkataba ati, hamuwezi kutengua kitu ambacho hamkuhusika wakati kilipokubaliwa ati!
Mbili: yakhe mchukue ule mchanga uliochanganywa na muwaite wale wale wachanganyaji muwaite ati tena waje mbele ya mahakama ile ile na mbele ya waasisi wale wale ati wautenganishe ule mchanga
Tatu: yakhe wa. Visiwani wote na koo zao walioko bara warudi haraka kwao kwa mashuwa na makasia ati yakhe!
Nne: kopi 1000 za hati ya Muungano zichanwe ati mbele ya kadamnasi huko Jang'ombe na Kisiwandui na Kiembesamaki na Fuoni na Mfereji wa Wima na Mji Mkongwe na Michenzani ati yakhe!
Tano : Visiwa vilipe fidia 1000 trilioni kwa machogo kwa kila mwaka wa viongozi wao kutawala bara ati!
Sita : visiwa vilipe 1000 trilioni kwa kila mwaka wa ulinzi na usalama waliopewa na machogo wakakamavu tangu mapinduzi ya 1964 hadi leo!
Saba: yakhe visiwa vilipe machogo 1000 trilioni kwa kila mwaka wa kuwasomesha watu wao elimu bora huku kwetu ati!
Nane : visiwa vilipe machogo madeni yote ati, vilipe umeme na gharama zote toka kwa machogo bara tangu 1964 , nilicalculate yakhe ikaja tsh 1000 trilioni, yakhe mlipe cash itapendeza ati!
Tisa : yakhe kuanzia sasa visiwa vijitegemee kila kitu ati kuanzia mashuwa, majahazi, meli, boti, ngalawa , nyavu, maboya, Tanga, vyambo, Ndoano , Makasia na Nanga!
Kumi : You guys are wasting our time , you also disturb our umoja, undugu wa damu na asili, mshikamano, amani na utulivu because this union is iron-clad , simply unbreakable!!! Tena mkumbuke hata mkitengana na machogo labda miaka million moja ijayo mtaendeleza kutengana Unguja na Pemba na hamtakoma mtatengana Unguja wenyewe kwa wenyewe yakhe ati kwanza wale vimbelembele wanafanya uhaini na ni wa kwenda kulima kunde kwa meno na DJ kule tabata!
hebu weka jina lako kamili na halisi na namba ya cm hapa tuanzie hapo!!
hakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..