Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .

Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki

Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki, Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?

View attachment 1825533
Mmmh, kila siku huku kwetu Buguruni vibaka wanauliwa na wananchi wente hasira, hawapewi nafasi ya kusikilizwa. Hata magaidi wa Afghanistan waliuliwa na special forces za Obama passport kupewa haki ya kusikilizwa, ila jana wangepewa nafasi wangeliua zaidi, na huyu angetukana zaidi. Sie tunamsubiri uraiani tuone kama kashika adabu.
 
Tumesema key staff. Wengine wanakuwa hired temporarily as per needs. Hizo ndizo gharama za demokrasia

Mbona tumejaza staff wa TAKUKURU Nchi nzima na wengi wao hawaproduce chochote?
Kama kuhire temporarily si ndo hicho kinachofanyika kwa hao wakurugenzi. Kuhusu Staff waTAKUKURU unasemaje hawaproduce? Unajua majukumu yao? Na polisi na jeshi utasemaje? Nadhani huna hoja kwenye hili, unafuata tu upepo wa wanasiasa.
 
Jiwe alichangia sn mawakili na wanasheria wa serikali kuwa wavivu na Ku practice law kwa maana walibebwa sn na majaji waoga ambao walikuwa wanamwogopa jiwe katika kufanya maamuzi yao

Kipindi cha jiwe kesi nyingi serikali ilishinda kiuzandiki tu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mama afutilie mbali hiyo Feleshi. Sukumagang wahedi kabisa
Eleazar Feleshi ndiye aliyekuwa anaandika Hukumu zote ambazo Mahakimu wa Kisutu akina Thomas Simba na Shahidi walikuwa wanawatwanga CHADEMA.

Mfano ile kesi ya kuuawa Akwilina
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .

Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki

Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki, Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?

View attachment 1825533

Hivi ni​

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Au ni

Mahakama Kuu yatengua hukumu DHIDI ya kuvuliwa Uwakili Fatuma Karume?​

Ni dhidi ya "hukumu ya kutenguliwa uwakili" au ni dhidi ya "Fatma Karume"? Which is which?
Nadhani ungeweza kusema pia kuwa

Mahakama Kuu yatengua hukumu dhidi ya "Fatuma Karume kuvuliwa uwakili"

Hivi ni​

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Au ni

Mahakama Kuu yatengua hukumu DHIDI ya kuvuliwa Uwakili Fatuma Karume?​

Ni dhidi ya "hukumu ya kutenguliwa uwakili" au ni dhidi ya "Fatma Karume"? Which is which?
Kama mada ni uwakili inatosha na imeeleweka
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .

Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki

Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki, Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?

View attachment 1825533
Naona sasa nchi imeanza kurejea kwenye haki baada ya dikteta mkuu aliyekua anaamuru dhuluma kama hizi ziendelee kuondoka duniani. Kesi ya Fatma Karume haikuwa kesi bali ni ushuzy tu uliotekelezwa na wahuni wachache kwa maelekezo ya dikteta mkuu. Mungu anamuona huko aliko.
 
Eleazar Feleshi ndiye aliyekuwa anaandika Hukumu zote ambazo Mahakimu wa Kisutu akina Thomas Simba na Shahidi walikuwa wanawatwanga CHADEMA.

Mfano ile kesi ya kuuawa Akwilina
Yaani hii nchi miaka 5 tulikuwa jehanamu. Yaani Mungu tunaomba unguza lile Jamaa mpaka na majibu yake unguza tena na tena. Mungu ni fundi mzuri sana
 
Hivi kwanini tusingemzika kama Saddam Hussein? Tungetupa kusikojulikana
Ni bahati yake amekufa wakati CCM iko madarakani. Laiti kama angekufa CCM imetoka madarakani, tungemfanyizia kama Samuel Doe wa Liberia.

Mwendazake katupitisha bonde la uvuli wa mauti. Muache a REST IN HELL
 
Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki, Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo
Cheo hiki kiondolewe, ndivyo wasema⁉️
 
Back
Top Bottom