AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,804
Odinga kashinda
Mzee Kibaki... (R.I.P)Hivi yale maneno ninayosikia kwenye mitandao ya kijamii... Mara, 'dash dash ni mavi ya kuku' ni kweli mzee huwa anatamka kwa kadamnasi? Kama ndivyo! Ashashindwa vibaya! Tukumbushane siku ya hukumu.
Fungua server, acha kelele.Raila kashindwa kupeleka fomu hata moja yenye matokeo tofauti na yaliyotangazwa sasa sijui atashinda namna gani??
The petition is quite frivolous. Everyone who is rational can see that.Do not be overly emphatic