Mahakama kuingia likizo tarehe 15 Disemba 2018 hadi tarehe 31 Januari 2019

Mahakama kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaanza likizo ya kimahakama kuanzia Jumamosi ya tarehe 15 December 2018 hadi tarehe 31 January 2019. Katika kipindi hicho mahakama itashughulikia kesi zile zenye udharula tu. Na kwa upande wa Mahakama ya hakimu mkazi na wilaya itashughulikia kesi za madai zile za dharula tu.

View attachment 963572
ndio maana wakili wa jamhuri alikua anaizungusha na kuichelewesha kesi ili mbowe awe segerea krismass........


jiwe ana roho ya kitutsi sio kitanzania
 
Lengo limetimia(uneless kesi yake itastahii huo udharura),vinginevyo ndio hivyo ila tujue katika mapambano ya kutafuta haki na usawa, ni lazima kuna watu wataumia na kuteseka kwa faida ya walio wengi.

Niwataarifu tu,huu ni mwanzo kwani watakaoendelea kuumia na kuteseka ni wengi ila tukumbuke kila kitu kina mwisho.

Baada ya hapo,sitashangaa wakitamka kuwa hawana nia ya kuendelea na kesi maana watakuwa wametimza lengo lao.

Gharama ya kulipa bado ni kubwa sana huko mbeleni na hii ni sehemu ndogo tu ya gharama ya awali tutakayoilipa huko mbeleni-tujiandae.

Hata hivyo,ni jambo la kushangaza kwa utaratibu huu wa chombo hiki nyeti kwenda mapumziko ya muda wote huo ila hali watumishi wengine wote wa umma hawana mapumziko ya aina hii.
Watumishi wa mahakama wanafanya kazi nchi gani vile?
 
jiwe akimaliza muda wake akikaa akifikiria aliyoyafanya yatamtesa sana kisaikolojia.

labda kama anaroho ya paka.
 
Back
Top Bottom