Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Dodoma sio kama Moshi AMA Arusha mpwaZa kiitelijinsia zinasemaje? Isijekuwa kama ya Dodoma.
Kulikua kunafanyika lakini demokrasia ilikuwepoNaona kipindi hiki mmeamua kweli kuhamisha magoli...MBNA SIKU ZA NYUMA MLIKUA HAMFANYI HIVI.....huku ni kutafta HEADLINE tuh mnataka mvunje sheria kupitia haya mashirikisho JESHI LA POLISI lije muonekane mnaonewa.....
Mbna mnakua vigeu geu hivyo...MLIKUA MNA WIMBO WENU ya kuwa ndani ya nchi hii hakuna DEMOKRASIA especially kipindi cha KIKWETE leo hii unasema Demokrasia ilikuwepo...Daaah nyie badoo sana na NCHII HII mtasubiri sana mpka hapo mtakapo kua mnachunga vinywa vyenuKulikua kunafanyika lakini demokrasia ilikuwepo
Wenye hofu ni nyieMbna mnakua vigeu geu hivyo...MLIKUA MNA WIMBO WENU ya kuwa ndani ya nchi hii hakuna DEMOKRASIA especially kipindi cha KIKWETE leo hii unasema Demokrasia ilikuwepo...Daaah nyie badoo sana na NCHII HII mtasubiri sana mpka hapo mtakapo kua mnachunga vinywa vyenu
Andika kiswahili we mchaga.Hivi fugo gani unahofu hapa duniani kama kijani?
Wenye hofu ni sisi au nyiechadema badilikeni kwa mtindo huu mtalaumu jeshi la polic kweli
Pdidy. Kiswahili chako majanga! Itabidi upunzishwe. Hawajambo kurasini!?PAWPAW UNAONAJE UKAMPUMZISHA KIDOGO AWENAHESHIMA
mbona CCM vyuo vikuu Iringa wamefanya mahafali leo kwani CHADEMA nao wakifanya Kuna tatizo gani? Mbona Dar wamefanya leo na na amani ilitamalaki?chadema badilikeni kwa mtindo huu mtalaumu jeshi la polic kweli
Ni sahihi.Naona meamua mikutano yote yakimataifa mfanye kwa kiswahili
Stick on the topic we are discussing here...Acha kuhamisha magoliWenye hofu ni nyie
Tuition za kiingereza zipo hudhurieni,kwa mtindo huu mtatupoteza kabisa kwenye ramani ya kimataifa! Mnaanza kusafiri lini nje ya nchi?Ni sahihi.
Vijana Wa CCP - chuo cha polisi jiandaeni kufanya practical....specimen hizoNapenda kuwaalika kwenye mahafali ya CHASO mkoa wa kilimanjaro (umoja wa wanafunzi wanachadema vyuo vikuu).
Itafanyikia keys ya kiboroloni, moshi mjini, siku ya kesho, jumapili 19/06/2016 kuanzia saa saba kamili mchana. mgeni rasmi ni Salum Mwalimu, naibu katibu mkuu Zanzibar ataongozana na katibu mkuu wa bavicha taifa, katibu wa kanda ya kaskazini amani golugwa pamoja na wabunge wa mkoa wa kilimanjaro.
Karibu sana, naomba sambaza ujumbe huu kwa viongozi na makamanda wote.
Kibona Dickson
(mwenyekiti wa bavicha kilimanjaro)