Mahafali ya CHASO Dodoma kufanyika tarehe 23 July 2016

Mahafali ya CHASO Dodoma kufanyika tarehe 23 July 2016

Ule uzushi wote ambao huwa unauweka hapa kuhusu ccm kwani wewe ni Ole Sendeka? Acha watu wakabanane hapohapo, hiyo ndio aina ya siasa za waafrika wote, fitina, hila na husda. Kwa hiyo kaa kimya kwani vyama vingine vikifanya yao sheria zinapindwa lakini ikifanya ccm mnataka watu wote wakae kimya. Ngoja muonyeshwe hila sio jambo zuri ili muwatendee vyama vingine haki ya kukusanyika. Na tutahakikisha vyombo vya habari vya kimataifa vinakuwepo ili kuonyesha dunia tabia mnayofanyia vyama vingine.
Hata vyombo vya habari vya kutoka mbinguni vikiwepo haitawasaidia kitu kwakua mmeshapoteana km swala waliokoswakoswa kukamatwa na simba.
 
Hakuna mihemuko ya aina yoyote ile, wenye mihemuko ni CCM kwa kujiona wao kama wana hati miliki na hivyo kukandamiza haki za Watanzania wengine bila sababu zozote za msingi.

ili tu mjifananishe na CCM punguzeni kufanya mambo kwa mihemko mtachukua nchi! mkutano huu hadi upite mtapata vidonda vya tumbo aisee
 
Hivi nani wako frustrated kati ya Bavicha na CCM? Jana umeona RPC Dodoma katoa magari yote, Polisi wote, pikipiki zote mpaka mbwa wao na kuwazungusha mchana kutwa mitaani eti tuko tayari kwa lolote. Huko ndio kuchanganyikiwa kutokana na kauli ya vijana wa Bavicha. Utadhani wameambiwa majeshi ya Kenya yanakuja kuvmia Dodoma kumbe ni kauli ya kuja kusaidiwa kazi yao ya kuzuia mikutano?
Wewe kakuomba nani msaada mambo ya Polisi waachie wenyewe,mbona hujawahi kwenda front kuwasaidia wakati wakirushiana risasi na majambazi?Kiherehere kingine wala hakuna maana.Unajipendekeza kwa Polisi ili iweje?
 
Hata vyombo vya habari vya kutoka mbinguni vikiwepo haitawasaidia kitu kwakua mmeshapoteana km swala waliokoswakoswa kukamatwa na simba.

Sasa ambao hamjapoteana mbona mnalindwa na polisi kama warembo!!? Au ndio hiyo inayosemwa nyie bila polisi ni wepesi kama tissue paper?
 
Sasa hivi baada ya BAVICHA kudhibitiwa wasizuie mkutano Wa CCM dodoma ku-STEAM out frustration wanakuja humu Jamiiforums na taarifa nyingi za kuzua na kutunga zisizotoka official source.Nimethibitisha kuwa hii taarifa ya mleta maada ni ya uongo ikiwa na ile ingine ya kusema BAVICHA watazunguka nchi nzima kufanya mkutano na ile ya kusema wanafanya mkutano wa dharura Dodoma.

Taarifa za uongo kama hizi zinashusha hadhi ya Jamiiforums.Ndio maana nasema vizuri source za taarifa zote za Chama ZIWE official sio mtu tu aliyekuwa frustrated anajipostia tu humu taarifa ya kichama wakati ni frustration zake tu zimemjaa zinamsumbua akidhani akiziandika labda zitaleta kitu fulani hewa alichokitarajia.

Niwaombe BAVICHA ambao mkofrustrated kwa mikakati yenu koko kutotimia msilitumie jukwaa la Jamii forums kuendeshea uzushi unaohusu CHADEMA si vizuri.Mnachafua CHADEMA na mnaharibu mfumo wa chama wa utoaji habari muhimu za kiofisi
mkuu kwa namna moja bavicha wamefanikiwa, hasa pale polisi ilipo clarify mipaka ya makatazo ya shuli za kisiasa.
 
Wewe kakuomba nani msaada mambo ya Polisi waachie wenyewe,mbona hujawahi kwenda front kuwasaidia wakati wakirushiana risasi na majambazi?Kiherehere kingine wala hakuna maana.Unajipendekeza kwa Polisi ili iweje?

Kwani ccm ni majambazi? Wao wameenda kuwasaidia polisi kupambana na wanasiasa wenzao. Ukipenda ni kutaka kuonyesha taifa kwamba mikutano ya vyama vingine inazuiwa kwa hila na kuminya demokrasia. Na kudhibitisha kwamba jeshi la polisi linatumikia chama kimoja na wala sio kusimamia sheria kama wanavyotaka iaminike.
 
Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa viongozi wa CHASO na BAVICHA Dodoma ni kwamba yale mahafali ya wahitimu wa vyuo vikuu vya Dodoma ambayo yalishindwa kufanyika baada ya kuzuiliwa na polisi, sasa yatafanyika tarehe 23 july.

Mahafali hayo yanafanyika baada ya Polisi kutoa ufafanuzi ya kwamba hawajazuia matukio ya ndani ya kisiasa.

Tulipotaka ufafanuzi juu ya kwanini waliamua kufanya mahafali hayo siku ambayo CCM watakuwa wanafanya mkutano mkuu wao, walidai ya kwamba ni siku ambayo wanachuo wote watakuwa huru baada ya mitihani yao, pia hawaoni tatizo sababu mahafali yao yanafanyika katika ukumbi tofauti na ule wa CCM. Pia walidai ya kwamba tayari wameshapata kibali cha kufanya tukio hilo na wamehakikishiwa ulinzi wa kutosha, hivyo wanawaomba watu wanaopenda kuhudhuria tukio hilo kuwa na amani.

Mgeni rasmi siku hiyo anatarajiwa kuwa mjumbe wa kamati kuu na aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa.
TUMBAKU made in ARUSHA! ni balaaaa bora SHISHAAAAH!
 
Kwa nini Sumaye huyo huyo asiendelee. By the way kwa nini makapi ya CCM ndio mastaa Chadema?
Kwani hilo swali lako la pili lina uhusiano gani na mada?
Au umeuliza swali hilo wakati ubongo bado haujaufanyia activation?
 
Sijawahi toa taarifa hata moja ya CCM kama msemaji.Na siwezi kukiandikia uzushi CCM kama mnavyokiandikia uzushi chama chenu cha CHADEMA.CCM tunajua kuna msemaji wa CCM.
CHADEMA kila mtu anazusha na kujifanya mtoa taarifa za chama.Credibility ya CHADEMA mjue mnaiua kabisa.sababu hivyo vitu mnavyotunga visipofanyika CHADEMA kinaonekana chama cha waongo wakubwa wakati kumbe aliyeanzisha kutoa hiyo taarifa si kiongozi wa CHADEMA ni kibaka fulani mnywa viroba aliyejaa frustration zake tu
Mnazusha mengi tu, na kibaya zaidi hata yasiyo ya CCM...hata ya Chadema mnayazusha.
Halafu, alieleta uzi ameanza kwa kusema "Habari zilizonifikia...", hivi msemaji au yeyote anayeleta taarifa confirmed anaweza kuanza namna hiyo?
 
Utaambiwa hairuhusiwi mikutano miwili ya vyama tofauti kufanyika sehemu moja
Sio sahihi mikutano miwili vya vyama venye itikadi tofauti kufanyika sehemu moja kwa maana ya ukumbi au uwanja mmoja, lakini litakuwa ni jambo la kipuuzi sana kuona si sahihi endapo kama mikutano hiyo itafanyika sehemu tofauti hata kama wanatenganishwa na ukuta tu....

Tunasubiri tuskie tu muda wa mkutano mwisho ni saa.12 jion alafu wale wengine wapitilize hadi saa.2 usiku ni hatua gani zitachukuliwa.
 
Very good timing!! Spot on. Bravo CHASO
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom