Mahafali ya CHASO Dodoma kufanyika tarehe 23 July 2016

M

MahedeMkorofi

Member
Joined
Jul 12, 2016
Messages
74
Likes
123
Points
40
M

MahedeMkorofi

Member
Joined Jul 12, 2016
74 123 40
Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa viongozi wa CHASO na BAVICHA Dodoma ni kwamba yale mahafali ya wahitimu wa vyuo vikuu vya Dodoma ambayo yalishindwa kufanyika baada ya kuzuiliwa na polisi, sasa yatafanyika tarehe 23 july.

Mahafali hayo yanafanyika baada ya Polisi kutoa ufafanuzi ya kwamba hawajazuia matukio ya ndani ya kisiasa.

Tulipotaka ufafanuzi juu ya kwanini waliamua kufanya mahafali hayo siku ambayo CCM watakuwa wanafanya mkutano mkuu wao, walidai ya kwamba ni siku ambayo wanachuo wote watakuwa huru baada ya mitihani yao, pia hawaoni tatizo sababu mahafali yao yanafanyika katika ukumbi tofauti na ule wa CCM. Pia walidai ya kwamba tayari wameshapata kibali cha kufanya tukio hilo na wamehakikishiwa ulinzi wa kutosha, hivyo wanawaomba watu wanaopenda kuhudhuria tukio hilo kuwa na amani.

Mgeni rasmi siku hiyo anatarajiwa kuwa mjumbe wa kamati kuu na aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa.
 
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Messages
9,346
Likes
2,310
Points
280
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2014
9,346 2,310 280
Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa viongozi wa Chaso na Bavicha Dodoma ni kwamba yale mahafali ya wahitimu wa vyuo vikuu vya Dodoma ambayo yalishindwa kufanyika baada ya kuzuiliwa na polisi, sasa yatafanyika tarehe 23 july.

Mahafali hayo yanafanyika baada ya Polisi kutoa ufafanuzi ya kwamba hawajazuia matukio ya ndani ya kisiasa.

Tulipotaka ufafanuzi juu ya kwanini waliamua kufanya mahafali hayo siku ambayo CCM watakuwa wanafanya mkutano mkuu wao, walidai ya kwamba ni siku ambayo wanachuo wote watakuwa huru baada ya mitihani yao, pia hawaoni tatizo sababu mahafali yao yanafanyika katika ukumbi tofauti na ule wa CCM. Pia walidai ya kwamba tayari wameshapata kibali cha kufanya tukio hilo na wamehakikishiwa ulinzi wa kutosha, hivyo wanawaomba watu wanaopenda kuhudhuria tukio hilo kuwa na amani.

Mgeni rasmi siku hiyo anatarajiwa kuwa mjumbe wa kamati kuu na aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Ukawa, mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa.
Hawa CHASO wana matatizo
 
1

1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
5,321
Likes
2,957
Points
280
1

1954

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
5,321 2,957 280

Yetu nimacho na masikio...
 
Mystery

Mystery

JF Gold Member
Joined
Mar 8, 2012
Messages
10,586
Likes
13,138
Points
280
Mystery

Mystery

JF Gold Member
Joined Mar 8, 2012
10,586 13,138 280
Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa viongozi wa Chaso na Bavicha Dodoma ni kwamba yale mahafali ya wahitimu wa vyuo vikuu vya Dodoma ambayo yalishindwa kufanyika baada ya kuzuiliwa na polisi, sasa yatafanyika tarehe 23 july.

Mahafali hayo yanafanyika baada ya Polisi kutoa ufafanuzi ya kwamba hawajazuia matukio ya ndani ya kisiasa.

Tulipotaka ufafanuzi juu ya kwanini waliamua kufanya mahafali hayo siku ambayo CCM watakuwa wanafanya mkutano mkuu wao, walidai ya kwamba ni siku ambayo wanachuo wote watakuwa huru baada ya mitihani yao, pia hawaoni tatizo sababu mahafali yao yanafanyika katika ukumbi tofauti na ule wa CCM. Pia walidai ya kwamba tayari wameshapata kibali cha kufanya tukio hilo na wamehakikishiwa ulinzi wa kutosha, hivyo wanawaomba watu wanaopenda kuhudhuria tukio hilo kuwa na amani.

Mgeni rasmi siku hiyo anatarajiwa kuwa mjumbe wa kamati kuu na aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Ukawa, mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa.
Sasa kumekucha..... Jogoo amewika Dodoma.....
 
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
6,860
Likes
5,160
Points
280
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified Member
Joined Sep 13, 2014
6,860 5,160 280
ili tu mjifananishe na CCM punguzeni kufanya mambo kwa mihemko mtachukua nchi! mkutano huu hadi upite mtapata vidonda vya tumbo aisee
 
K

kamaka rashidy

Member
Joined
Aug 15, 2015
Messages
19
Likes
1
Points
5
K

kamaka rashidy

Member
Joined Aug 15, 2015
19 1 5
Mmh yangu macho akili yakuambiwa changanya na yako
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,487
Likes
13,120
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,487 13,120 280
Niwakati wa huyo Jizi lenu
Kupewa kirungu nayeye
 
kivyako

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
12,512
Likes
8,292
Points
280
kivyako

kivyako

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
12,512 8,292 280
Ngoja tuisikie intelijensia itasemaje
 
M

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
5,753
Likes
1,585
Points
280
M

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
5,753 1,585 280
Hii yote ni kwa sababu ya upendeleo dhidi ya vyama vingine vya siasa.
Uwanja wa mchezo lazima uwe sawa kwa timu zote

Na mara nyingine refa akiwa anapendelea mechi huku uswahilini pasipo na kanuni refa anakula buti na vichwa!
 
I

IkuluKwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2016
Messages
539
Likes
389
Points
80
I

IkuluKwetu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2016
539 389 80
Kwa nini Sumaye huyo huyo asiendelee. By the way kwa nini makapi ya CCM ndio mastaa Chadema?
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
14,074
Likes
13,775
Points
280
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
14,074 13,775 280
WASEMAJI WA CHAMA WAPO KATIKA NGAZI TOFAUTI KUANZIA TAIFA MPAKA MSINGI................so usikariri wala usipanic
Sasa hivi baada ya BAVICHA kudhibitiwa wasizuie mkutano Wa CCM dodoma ku-STEAM out frustration wanakuja humu Jamiiforums na taarifa nyingi za kuzua na kutunga zisizotoka official source.Nimethibitisha kuwa hii taarifa ya mleta maada ni ya uongo ikiwa na ile ingine ya kusema BAVICHA watazunguka nchi nzima kufanya mkutano na ile ya kusema wanafanya mkutano wa dharura Dodoma.

Taarifa za uongo kama hizi zinashusha hadhi ya Jamiiforums.Ndio maana nasema vizuri source za taarifa zote za Chama ZIWE official sio mtu tu aliyekuwa frustrated anajipostia tu humu taarifa ya kichama wakati ni frustration zake tu zimemjaa zinamsumbua akidhani akiziandika labda zitaleta kitu fulani hewa alichokitarajia.

Niwaombe BAVICHA ambao mkofrustrated kwa mikakati yenu koko kutotimia msilitumie jukwaa la Jamii forums kuendeshea uzushi unaohusu CHADEMA si vizuri.Mnachafua CHADEMA na mnaharibu mfumo wa chama wa utoaji habari muhimu za kiofisi
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
14,485
Likes
17,734
Points
280
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
14,485 17,734 280
Moderators CHADEMA kina wasemaji wake ambao ni official.Tunaomba anza kuzifuta post zote za CHADEMA ambazo zinaongelea vitu vinavyoonekana kama official ambavyo havitoki official source tafadhali.Itendee haki Jamii forums credibilty yake iendelee.Hapa watu wa CHADEMA kila mtu amekuwa anatoa taarifa zake akiota tu anaandika.

Itendee haki CHADEMA na itendee haki Jamii forums.Taarifa zote za vyama za aina yoyote hakikisha muhusika anaweka credible source
Ule uzushi wote ambao huwa unauweka hapa kuhusu ccm kwani wewe ni Ole Sendeka? Acha watu wakabanane hapohapo, hiyo ndio aina ya siasa za waafrika wote, fitina, hila na husda. Kwa hiyo kaa kimya kwani vyama vingine vikifanya yao sheria zinapindwa lakini ikifanya ccm mnataka watu wote wakae kimya. Ngoja muonyeshwe hila sio jambo zuri ili muwatendee vyama vingine haki ya kukusanyika. Na tutahakikisha vyombo vya habari vya kimataifa vinakuwepo ili kuonyesha dunia tabia mnayofanyia vyama vingine.
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
14,074
Likes
13,775
Points
280
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
14,074 13,775 280
Ule uzushi wote ambao huwa unauweka hapa kuhusu ccm kwani wewe ni Ole Sendeka?
Sijawahi toa taarifa hata moja ya CCM kama msemaji.Na siwezi kukiandikia uzushi CCM kama mnavyokiandikia uzushi chama chenu cha CHADEMA.CCM tunajua kuna msemaji wa CCM.
CHADEMA kila mtu anazusha na kujifanya mtoa taarifa za chama.Credibility ya CHADEMA mjue mnaiua kabisa.sababu hivyo vitu mnavyotunga visipofanyika CHADEMA kinaonekana chama cha waongo wakubwa wakati kumbe aliyeanzisha kutoa hiyo taarifa si kiongozi wa CHADEMA ni kibaka fulani mnywa viroba aliyejaa frustration zake tu
 
Forum statistics

Threads 1,236,587
Members 475,219
Posts 29,263,074