Mahafali ya CHASO Dodoma kufanyika tarehe 23 July 2016

Sasa hivi baada ya BAVICHA kudhibitiwa wasizuie mkutano Wa CCM dodoma ku-STEAM out frustration wanakuja humu Jamiiforums na taarifa nyingi za kuzua na kutunga zisizotoka official source.Nimethibitisha kuwa hii taarifa ya mleta maada ni ya uongo ikiwa na ile ingine ya kusema BAVICHA watazunguka nchi nzima kufanya mkutano na ile ya kusema wanafanya mkutano wa dharura Dodoma.

Taarifa za uongo kama hizi zinashusha hadhi ya Jamiiforums.Ndio maana nasema vizuri source za taarifa zote za Chama ZIWE official sio mtu tu aliyekuwa frustrated anajipostia tu humu taarifa ya kichama wakati ni frustration zake tu zimemjaa zinamsumbua akidhani akiziandika labda zitaleta kitu fulani hewa alichokitarajia.

Niwaombe BAVICHA ambao mkofrustrated kwa mikakati yenu koko kutotimia msilitumie jukwaa la Jamii forums kuendeshea uzushi unaohusu CHADEMA si vizuri.Mnachafua CHADEMA na mnaharibu mfumo wa chama wa utoaji habari muhimu za kiofisi

Hivi nani wako frustrated kati ya Bavicha na CCM? Jana umeona RPC Dodoma katoa magari yote, Polisi wote, pikipiki zote mpaka mbwa wao na kuwazungusha mchana kutwa mitaani eti tuko tayari kwa lolote. Huko ndio kuchanganyikiwa kutokana na kauli ya vijana wa Bavicha. Utadhani wameambiwa majeshi ya Kenya yanakuja kuvmia Dodoma kumbe ni kauli ya kuja kusaidiwa kazi yao ya kuzuia mikutano?
 
Jana umeona RPC Dodoma katoa magari yote, Polisi wote, pikipiki zote mpaka mbwa wao na kuwazungusha mchana kutwa mitaani eti tuko tayari kwa lolote. Huko ndio kuchanganyikiwa kutokana na kauli ya vijana wa Bavicha. Utadhani wameambiwa majeshi ya Kenya yanakuja kuvmia Dodoma kumbe ni kauli ya kuja kusaidiwa kazi yao ya kuzuia mikutano?

Ha ha ha Polisi wapanic????? Huko kuzunguka ni zoezi la kawaida.Walikuwa wanazunguka kuonyeshana mitaa na barabara mbali mbali ambazo wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM watazitumia.Si unajua magari ya polisi wa ESCORT hutangulia mbele lazima wazijue njia zote na maeneo ya malindo watakayopangiana .Yaani wako wanaonyeshana njia tu na maeneo watakayokaa kiulinzi unasema walikuwa wanawatisha!!!
Si uliona hata mwendo wa magari ulikuwa wa taratibu sana sio ule mbio wa vurugu mwendo unaojulikana kijeshi kama mwendo wa faru kajeruhiwa.Pale walikuwa wakionyeshana njia tu kazi yenyewe bado.
 
Baada ya tarehe 23/7 ukipiga simu Polisi kuwa kuna majambazi wanarusha risasi majibu ni " hatuna gari kwa sasa na lililopo halina mafuta subirini mtapata msaada asubuhi"
 
hawa jamaa wamedhihirisha wazi kabisa kua apart from politics hawana shughuli nyingine ya kufanya. Magu endelea kuwabana hivyo hivyo mpaka mapori yaliyotapakaa nchi nzima yapate wamiliki.
 
Tafadhali CHASO mleteni Lowassa Dodoma maana hajawahi kabisa kupokelewa upinzani. Kabla ya mahafali CHASO wenzangu tukutane Nyerere square pale.
 
Sasa hivi baada ya BAVICHA kudhibitiwa wasizuie mkutano Wa CCM dodoma ku-STEAM out frustration wanakuja humu Jamiiforums na taarifa nyingi za kuzua na kutunga zisizotoka official source.Nimethibitisha kuwa hii taarifa ya mleta maada ni ya uongo ikiwa na ile ingine ya kusema BAVICHA watazunguka nchi nzima kufanya mkutano na ile ya kusema wanafanya mkutano wa dharura Dodoma.

Taarifa za uongo kama hizi zinashusha hadhi ya Jamiiforums.Ndio maana nasema vizuri source za taarifa zote za Chama ZIWE official sio mtu tu aliyekuwa frustrated anajipostia tu humu taarifa ya kichama wakati ni frustration zake tu zimemjaa zinamsumbua akidhani akiziandika labda zitaleta kitu fulani hewa alichokitarajia.

Niwaombe BAVICHA ambao mkofrustrated kwa mikakati yenu koko kutotimia msilitumie jukwaa la Jamii forums kuendeshea uzushi unaohusu CHADEMA si vizuri.Mnachafua CHADEMA na mnaharibu mfumo wa chama wa utoaji habari muhimu za kiofisi
Wewe utakuwà ni poliseccm sasa mnaangaika tu antenna zenu zinanasa zikifika zinakuta hewa sasa aikili zimechemka na kuchanganyikiwa . msicheze na akili kubwq aisee mtachemkaa.
 
Hahaaa UKAWA wana akili sana..Polisi wameingia kingi,kama watawazuia basi wazuie na nkutano wa CCM. Big up UKAWA
Hivi ubafananisha bavicha na ccm wewe ubaakili kweli nadhani wafananishe na taasisi nyingine ya wanafunzi wa ccm ninavyoona graduation hiyo iahirishea mpaka baada ya mkutano mkuu
 
Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa viongozi wa CHASO na BAVICHA Dodoma ni kwamba yale mahafali ya wahitimu wa vyuo vikuu vya Dodoma ambayo yalishindwa kufanyika baada ya kuzuiliwa na polisi, sasa yatafanyika tarehe 23 july.

Mahafali hayo yanafanyika baada ya Polisi kutoa ufafanuzi ya kwamba hawajazuia matukio ya ndani ya kisiasa.

Tulipotaka ufafanuzi juu ya kwanini waliamua kufanya mahafali hayo siku ambayo CCM watakuwa wanafanya mkutano mkuu wao, walidai ya kwamba ni siku ambayo wanachuo wote watakuwa huru baada ya mitihani yao, pia hawaoni tatizo sababu mahafali yao yanafanyika katika ukumbi tofauti na ule wa CCM. Pia walidai ya kwamba tayari wameshapata kibali cha kufanya tukio hilo na wamehakikishiwa ulinzi wa kutosha, hivyo wanawaomba watu wanaopenda kuhudhuria tukio hilo kuwa na amani.

Mgeni rasmi siku hiyo anatarajiwa kuwa mjumbe wa kamati kuu na aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa.
Vipi, ule ugonjwa wa ajabu ushakwisha?
 
Watatokea kweli wahitimu? Maana kama sikosei wengi wao watakuwa kwenye mitihani although siku hiyo ni weekend lakini tension ya UE huwa inakuwa kubwa sana
 
Kabisa macho na masikio ni vya kwako mkuu hachukui wa kuazima mtu.

Ni kweli sisi wengine tutahakikisha masikio yetu hayazidi kichwa, ila kama baadhi yenu mtakakuwa mnayavuta masikio yenu ili yazidi kichwa hapo ndipo itakuwa shughuli pevu....
 
Hivi ubafananisha bavicha na ccm wewe ubaakili kweli nadhani wafananishe na taasisi nyingine ya wanafunzi wa ccm ninavyoona graduation hiyo iahirishea mpaka baada ya mkutano mkuu
Kwani kuna shida gani hapo?? Acheni kutokwa mapovu. Chaso watakua na mkutano wao na nyie mtakua na mkutano wenu. Au siku mnayofanya mkutano hamtaki wengine wafanye mikutano yao??
 
Back
Top Bottom