Mahafali ya CHASO Dodoma kufanyika tarehe 23 July 2016

Siku hizi kuna member wapya humu kama sio umri kusogea mbele wallahi naweza bata ushungu mingi sana

Ni kweli mkuu jukwaa lina member wapya wengi, kuna changamoto kadhaa zinazojitokeza ktk uwekaji wa taarifa jukwaani wakati huu kulinganisha na miaka 10 iliyopita, sasa hivi kijana hata akisikia kitu salon anaikimbiza jukwaani.
 
Back
Top Bottom