Mahaba na lugha zetu

Kuna utumwa na utumwa;
Utumwa wa kutumwa;
Na utumwa wa kujituma.
Mradi kuna utumwa na utumwa, Jadili ukunasibisha na kisa cha Nyani Ngabu.
 
Haloo una tatizo la kupenda sana kiingereza

Mimi ninavutiwa na maneno ya kiswahili kuliko ya kiingereza kwa mfano kuniita mpenzi kuliko sweetheart

Kiswahili ni lugha romantic sana especially vile nyinyi watu wa pwani na wa TZ munavyoongea! Maneno ya

mapenzi kwa lugha zetu asili ni mazito sana surely huwezi hata uka compare with English!
 
Maneno ya Kingereza yanaleta hisia zaidi kuliko ya kiswahili
Wote nyie ni walewale mnaopenda sana kiingereza yaani ni utumwa tu kifikra hakuna kingine. Nendeni pwani huko muone jinsi mapenz yalivyo matamu kwa kiswahili.. Mambo kama laaziz, barafu wa moyo wangu hivi kwa kiingereza yanasemwaje haya ..acheni ushamba bwana alah!
 
Back
Top Bottom