Magwiji mmu na multi-id's

Hilo nimelikumbuka.Kabla ya ku-join JF (nikiwa guest) na baada ya kuingia nikahisi kuna kitu kama hicho..by the way "nina uelwa kiasi wa kusoma katikati ya mistari"(namshukuru trainer wangu).Nilimuuliza mmoja wa member wa zamani ambaye amestaafu ku-post akaniambia ni kweli wapo wengi wenye mult IDS namalengo yanatofautiana: kuna ya kimkakati na ya kijinga..nitaeleza ya kijinga;

a/ili uonekane unapata wachangiaji wengi wa thread zako (kutafuta umaarufu wa kijinga).

b/ID moja kwa ajiili ya mambo ya msingi au yenye story zinazoeleweka na nyingine kwa ajili ya ku-comment kwa matusi thread za
mtu mwingine,kumchokoza mtu ambaye pengine unamfahamu na ku-post jambo la kijinga.

c/Ili uonekane umetoa mawazo yenye maana kwa sababu una wachangiaji wengi (kwa mtazamo wa mwenye mult IDS).

d/uoga wa kutoa mawazo yako kwa ID inayojulikana kwa sababu unahisi utakejeliwa au kutukanwa au kuonekana mjinga (kwa mtu mwoga/asiejiamini).

c/Kuona wenzako kama threat kwako unatumia IDS nyingine kuonyesha kwamba aliendika hajui lolote.

d/Kwa wanawake Hofu ya kuibiana mabwana hasa kama couple wako wote JF (anahisi awe na ID nyingi ili kumtisha kwa njia yeyote ile anayehisi ni threat kwa mahusiano yake -hatuwezi kudharau hili, wanawake wa nchi hii baadhi wanasifika hata nchi jirani kwa wizi wa waume/wapenzi za watu) ni hofu ya kijinga lakini ina logic kidogo.

Kwa la kuwa na ID nyingi kwa malengo ya kimkakati linatumiwa zaidi na wanasiasa na wapambe wao na maafisa wa usalama..naweza kuelezea siku nyingine.
Dah, umemaliza kila kitu.
Hii watakuwa wanajifanya kama hawaioni, mana umetandika.

ID yako nyingine ni ipi?
 
Though hiyo 'magwiji' siinunui nadhani ni kweli wapo watu wana ID za kuandika thread za maana na za kupost vituko na pumba. . haswa kule chiti chati.

Sababu. . .labda ili
i) wasiwaangushe/wasiwashangaze/wasihukumiwe na wanaowafahamu.

ii) Wanakua na bifu na watu wengine ila hawathubutu kuwatukana kwa ID zao zinazojulikana kwahiyo wanajificha gizani ndio warushe makombora.

iii) Wanataka kuona wale wanaomkubali watamchukulia/wangemchukulia vipi kama angekua kama ambavyo ataAct/amua kufunguka na hiyo ID mpya.

Kumbe humu sio kuficha jina tu hata tabia lol
 
Dah, umemaliza kila kitu.
Hii watakuwa wanajifanya kama hawaioni, mana umetandika.

ID yako nyingine ni ipi?

Sina ID nyingine na wala sina mpango wa kuwa na nyingine.Sikuingia humu kwa sababu kuna nafasi but for the positive purpose
 
wakati nakua
mashindano ya ngoma za asili
yaliamliwa kwa mwenye watu wengi hadi muda ngoma inaisha ndio mshindi

ikikaribia muda wa kuisha ngoma
ndo ulikuwa muda wa viroja
maana kila mmoja anata kukusanya watu
wapo walovua hadaharani
wapo walodi...na hadharani

ndo yamekuwa hivi.
Daa..kweli Kongosho wewe ni Msukuma haswa, tena yule chapa ng'ombe...Mambo ya Manju kuibuka dakika za mwisho wa ngoma akiwa amemdandia fisi mgongoni..he he he!.
 
Ni kweli mitishamba muda mwingi nilikuwa silent reader, kupost nina shida ya uvivu wa kuandika, muda wangu mchache, simu nitumiayo saivi ni user friendly kuandika andika may be this year ntaonekana zaidi, laptop kuunganisha mara moderm mara kuwasha naona kazi ya ziada! But dont think iam so much lazy lol. .
 
Ni kweli mitishamba muda mwingi nilikuwa silent reader, kupost nina shida ya uvivu wa kuandika, muda wangu mchache, simu nitumiayo saivi ni user friendly kuandika andika may be this year ntaonekana zaidi, laptop kuunganisha mara moderm mara kuwasha naona kazi ya ziada! But dont think iam so much lazy lol. .
mbona hata sim nayo inahitaji kuiwasha ili uandike!
 
Back
Top Bottom