mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,316
Ni nchi ipi hiyo ambayo watu weupe wana msimamo wa kunyonya watu(kama mnavyowaita ni mabeberu) lakini nchi kama nchi haina shida kabisa na wala haina msimamo huo wa kunyonya watu na Magufuli anashirikiana na nchi hiyo vizuri kabisa lakini hao watu weupe katika nchi hiyo(mabeberu) hataki kushirikiana nao kwa sababu ni mabeberu na wanyonyaji?
nchi zote,kwani unieleze wewe ni nchi gani ya wazungu ina msuguano na tz kiasi cha kuiwekea tz kikwazo cha aina yoyote???
lakini nchi hizo,mtu mmoja mmoja anakuwa na mtizamo wake binafsi na tz ndio maana hata hiyo migogoro huwa haina mwisho mzuri kwa mhusika sio tz,angalia ya mkulima na nchi yake thidi ya tanzania,amsterdam na belgium nk.
mambo ya kidipromasia ni magumu sana ndugu zangu,ndio maana barozi wa UK aliondolewa kisa kutolea tamko aliyohisi yeye ni haki.