Magufuli’s post presidency...

hakuna nchi specific inayoitwa beberu na jpm,labda kama unaijua hapa uitaje.
beberu ni mweupe yeyote mnyonyaji.

tunakubaliana katika win win situation,nipe nikupe.unapoanza kuingilia maswala ya ndani kwa kigezo cha kunipa msaada unageuka mbuzi beberu.maana unakuwa umejipa ubwana mkubwa.
Unapomwita beberu naamini wewe unajiweka nafasi ya mbuzi jike.
 
wewe umeifanyia nini tz!!usitafute wa kumpa lawama kwa jambo lililokushinda hata wewe.
Unapomuuliza ameifanyia nini Tanzania ulitarajia afanye nini zaidi ya majukumu yake ya kawaida? Yeye anahoji wale waliokusanya kodi kwa miaka 60 na wamepokea misaada na mikopo kwa miaka 60 toka kwa wahisani (mabeberu?) wamefanya nini. Tuna haki ya kuwauliza waliokaa madarakani kwa miaka 60 kwa nini Tanzania tuna umaskini, ujinga na maradhi wakati tunalipa kodi, tunapata misaada, unakopa na tuna rasilimali za kutosha?
 
nchi zote,kwani unieleze wewe ni nchi gani ya wazungu ina msuguano na tz kiasi cha kuiwekea tz kikwazo cha aina yoyote???

lakini nchi hizo,mtu mmoja mmoja anakuwa na mtizamo wake binafsi na tz ndio maana hata hiyo migogoro huwa haina mwisho mzuri kwa mhusika sio tz,angalia ya mkulima na nchi yake thidi ya tanzania,amsterdam na belgium nk.

mambo ya kidipromasia ni magumu sana ndugu zangu,ndio maana barozi wa UK aliondolewa kisa kutolea tamko aliyohisi yeye ni haki.
Akili zingine kweli ni shida. Kwa hiyo mnaowaita mabeberu ni pamoja na yule mkulima na R. Amsterdam? Mkulima anadai haki yake aliyo/anayodhulumiwa. Ameenda mahakamani, mahakama ikatoa hukumu ya haki. Amsterdam ni wakili. Kazi ya wakili ni kumuwakilisha mteja wake, haijalishi ni mwizi au mhalifu wa aina yoyote. Tukiwekewa vikwazo sio Amsterdam atakua amesababisha, bali ni ukiukwaji wa demokrasia na uvunjifu wa haki za binadamu unaoendelea hapa tz kwa sasa ndio utasababisha- nadhani umewasikia Amnest International na jumiya nyingine za kimataifa. Mambo ya kidiplomsia ni magumu kweli, lakini ni magumu zaidi pale unapokua unatetea waovu mbele ya jumuiya ya kimataifa. Nikumbushe balozi wa UK alieondolewa- aliripoti lini na akaondolewa lini kwa tamko lipi alilotoa dhidi ya jambo gani?
 
Will either be dead before retirement or will be in jail immediately after. And for your information, he is not about to relinquish power just like that
 
To me it’s evident that President Magufuli lacks the requisite statecraft to be the commander in chief.

But right now that’s neither here nor there.

Let’s talk about his post-presidency, for a minute.

It’s well known how much he loves infrastructural projects.

So how about this:

Why don’t we create a new position, starting in 2026, post his presidency and utilize some of his strengths to better our infrastructure.

The Office of the Infrastructural Czar. That would be the overseer of all infrastructural development projects.

I believe Magufuli has already shown and proved that he is very well equipped for such a job.

He knows how to run a tight ship and crack the whip. He knows how to keep folks on their toes.

I think he would do well in that capacity because it is something very specific, not too complicated, and doesn’t require nuanced language to get things done.

I’d rest easy knowing that former President Magufuli got it and that most projects will finish on time provided that he is given all the tools, power, and authority to execute his job effectively.

What do y’all think about my idea? Sounds kooky?

Drop your comments below.

Deuces ✌🏿
It's like you are assigned to carry a 100kg on your head to some far distance. When you reach that destination, exhausted though, you ask for some more miles ahead. As soon as he finishes his term, he should park and leave. Any (even a suggestion of) extra minute for him to stay in office will be a ridiculous to the masses. after all we should uphold our constitution and norms.
 
To me it’s evident that President Magufuli lacks the requisite statecraft to be the commander in chief.

But right now that’s neither here nor there.

Let’s talk about his post-presidency, for a minute.

It’s well known how much he loves infrastructural projects.

So how about this:

Why don’t we create a new position, starting in 2026, post his presidency and utilize some of his strengths to better our infrastructure.

The Office of the Infrastructural Czar. That would be the overseer of all infrastructural development projects.

I believe Magufuli has already shown and proved that he is very well equipped for such a job.

He knows how to run a tight ship and crack the whip. He knows how to keep folks on their toes.

I think he would do well in that capacity because it is something very specific, not too complicated, and doesn’t require nuanced language to get things done.

I’d rest easy knowing that former President Magufuli got it and that most projects will finish on time provided that he is given all the tools, power, and authority to execute his job effectively.

What do y’all think about my idea? Sounds kooky?

Drop your comments below.

Deuces ✌🏿
Hakika ni rais mzuri mno kwa mambo ya kimiundombinu na anaonyesha ni sekta ambayo anaipenda na sana na kwa kweli kabisa miundombinu ya nchi ndicho kitu kigumu kabisa kilichoichukua hata ulaya miaka mingi mno katika kuweka sawa miundombinu ya mabarabara maji umeme wa uhakika na mipango bora ya kila pahala vijijini mpaka mijini kwa kweli ni rais ambaye amekuja kwa kwa wakati wake sahihi kabisa la sivyo baadhi ya vitu vingi huenda tungekuwa tunavichungulia kwa majirani zetu
 
Sasa kwanini Rais anapambana tutoke huko wewe unakuja unalalamika?
Hizi tabia za kike za kupenda kusaidiwa mtaacha lini?
Umekariri kwamba rais anapambana tutoke huko.Weka ushahidi wa hilo hapa. Au ni kwa kumuondoa cag anayehoji upotevu wa fedha za umma? Au ni kwa kununua ndege bila kufuata taratibu za manunuzi? Au ni kwa kujenga chato int. airport? Au ni kwa kununua wapinzani na kutubebesha mzigo wa gharama za chaguzi za marudio?
 
Mimi hoja yangu ni moja tu,ni nchi gani ambayo tunashirikiana nayo lakini raia wake ni mabeberu na hawatakiwi katika nchi yetu?Kwa nini unakwepa hili swali?Taja nchi moja tuichambue kwa sababu awali umesema mabeberu siyo nchi bali ni watu katika nchi fulani,sasa nataka specifically nijue nchi ya namna hiyo.
Mabeberu meaning matajiri ? Kwa sasa hivi Tanzania ina mabeberu wengi katika kusini mwa Africa, inazidiwa tuu na Africa ya Kusini.

omgvoice.com › Kenya
Tanzania Has More Millionaires And Billionaires Than Kenya - Wealth Report - OMGVoice
 
Chief, I see you also have seriously bought the claim that "Magufuli has already shown and proved he is well equipped for ...".

A few years back, I was once puzzled when one of my very professional uncles hailed Magufuli for great performance: "kazi zake tunaziona waziwazi, hatuhitaji kusimuliwa"! I asked, "how?". "On TV of course, what's wrong with you?" came the retort.

I just mused about the intricacies and complexity of construction projects' contracts and processes - as well as the tricks played from the Ministry, to Hazina, all the way to the big white colonial edifice by the seaboard. Then I recalled the theatrics popularly exhibited by the then Minister for Works on TV (Prime time news bulletins) holding massive documents, going through "specific contractual provisions" and threatening to terminate contractors for failure to meet obligations. And watchers, completely ignorant of the inside workings, would gracefully nod in appreciation of this wonderful guy who is making things work in a complacent society! Unfortunately for some of us in that house at the time, the reality was quite different most of the times. Still, I admired how one discovered the particular utility of the media to sell himself well as my Nigerian friends would say: masses generally appreciate the visibly spoken and seen word.

In any case, one should be extremely wary of a government that runs under this level of opacity and where propaganda is the oil easing the cogs in the power politics machinery. What you see and hear is not what exactly happens. I can go along with your idea given the popular sentiment but I am afraid the results might be terribly disappointing. Let's first see how the miradi ya kimkakati fare in the next five years.

Are you sure of your contents ? Probably does not reflect the very reality of Magufulis ways of implementing the projects hence running of his government.
 
To me it’s evident that President Magufuli lacks the requisite statecraft to be the commander in chief.

But right now that’s neither here nor there.

Let’s talk about his post-presidency, for a minute.

It’s well known how much he loves infrastructural projects.

So how about this:

Why don’t we create a new position, starting in 2026, post his presidency and utilize some of his strengths to better our infrastructure.

The Office of the Infrastructural Czar. That would be the overseer of all infrastructural development projects.

I believe Magufuli has already shown and proved that he is very well equipped for such a job.

He knows how to run a tight ship and crack the whip. He knows how to keep folks on their toes.

I think he would do well in that capacity because it is something very specific, not too complicated, and doesn’t require nuanced language to get things done.

I’d rest easy knowing that former President Magufuli got it and that most projects will finish on time provided that he is given all the tools, power, and authority to execute his job effectively.

What do y’all think about my idea? Sounds kooky?

Drop your comments below.

Deuces ✌🏿
He won't be there😱
 
Kama mabeberu ni mtu mmoja mmoja ndani ya nchi fulani kama alivyo Armsterdam na wala siyo nchi,mnaposemaga kuwa hamtaki misaada ya mabeberu kwani misaada huwa inatolewa na individuals au na nchi?

Kwangu mimi kuheshimu na kulinda haki za binadamu ni kitu muhimu sana, na lazima Mkulu kama kuna taabu hilo eneo arekebishe.

Lakini ujinga wa kutaka kuharibu MECCA yetu kwa kuwa tuu watu wamekosa ubunge ujinga huo hautakiwi kuruhusiwa nchi hii. Tunao ajiri na kuendesha maisha ya Watanzania wenzetu tuna juwa kwa kiwango gani ajira zinabadilisha familia, jamii na hata maeneo nchini.
Miaka 20 ijayo hata kuwategemea hao wa nje kwa msaada haito kuwa lazima, labda kushirikiana kibiashara na kukopa kibiashara.

Uchumu mkubwa tupo vizuri sana. Taabu yetu kubwa ni financial front loading ambayo bahati mbaya hatuna infrastructure ya kugawa pesa kwenda kwa wananchi wanaozihitaji zaidi economicaly/ commercially.

We have more millionaires than any other country southern and Eastern Africa except South Africa.

Mpaka akiondoka 2025 idadi inategemewa kuwa 20,000 millionaires.

A recent wealth report by Knight Frank shows the tally ofTanzania's super-rich stood at 5,668 at the end of 2019 compared to Kenya's 2,942. This includes 5,553 who are dollar millionaires - worth Sh100 million and above, another 114 billionaires, worth Sh3 billion and above and one that is worth over Sh100 billion.Mar 8, 2020
1605948311836.png

www.standardmedia.co.ke › article

Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires - The Standard

Unapomuuliza ameifanyia nini Tanzania ulitarajia afanye nini zaidi ya majukumu yake ya kawaida? Yeye anahoji wale waliokusanya kodi kwa miaka 60 na wamepokea misaada na mikopo kwa miaka 60 toka kwa wahisani (mabeberu?) wamefanya nini. Tuna haki ya kuwauliza waliokaa madarakani kwa miaka 60 kwa nini Tanzania tuna umaskini, ujinga na maradhi wakati tunalipa kodi, tunapata misaada, unakopa na tuna rasilimali za kutosha?

anatimiza majukumu yake ya kawaida ta kulalamika au!!!
 
Kama mabeberu ni mtu mmoja mmoja ndani ya nchi fulani na wala siyo nchi,mnaposemaga kuwa hamtaki misaada ya mabeberu kwani misaada huwa inatolewa na individuals au na nchi?

kuna msaada umewahi kutolewa na beberu???
 
Kwa hiyo mnavyojinasibu kuwa hamtaki misaada ya mabeberu huwa mnazungumzia misaada ambayo haiwezi kutolewa?

ndio sababu huwa tz haikosi misaada,maana inagombana na watu ambao hawawezi kuzuia au kutoa misaada.

inagombana na watu amabo kazi yao ni mupiga kelele tu.
 
To me it’s evident that President Magufuli lacks the requisite statecraft to be the commander in chief.

But right now that’s neither here nor there.

Let’s talk about his post-presidency, for a minute.

It’s well known how much he loves infrastructural projects.

So how about this:

Why don’t we create a new position, starting in 2026, post his presidency and utilize some of his strengths to better our infrastructure.

The Office of the Infrastructural Czar. That would be the overseer of all infrastructural development projects.

I believe Magufuli has already shown and proved that he is very well equipped for such a job.

He knows how to run a tight ship and crack the whip. He knows how to keep folks on their toes.

I think he would do well in that capacity because it is something very specific, not too complicated, and doesn’t require nuanced language to get things done.

I’d rest easy knowing that former President Magufuli got it and that most projects will finish on time provided that he is given all the tools, power, and authority to execute his job effectively.

What do y’all think about my idea? Sounds kooky?

Drop your comments below.

Deuces ✌🏿
He would not observe the rule of law and this qualifies him only for a house confinement.
 
Back
Top Bottom