Magufuli’s post presidency...

Ngumbaru kama huyo akiquote comment yangu wala huwa sina muda wa kumjibu.Jamii forum hawafanyi fair,kuna ngumbaru nimewablock lakini bado wanaziona comment zangu na kuendelea kuziquote!

Unablock watu kwa uoga na kukosa capacity halafu unataka kuishi jamiiforums!!!!

Mkuu huo ni udhaifu,ni afadhali usimjibu mtu kuliko kumblock.
 
unablock watu kwa uoga na kukosa capacity halafu unataka kuishi jamiiforums!!!!

mkuu huo ni udhaifu,ni afadhali usimjibu mtu kuliko kumblock.
Sasa mimi niko hapa kubishana kwa hoja,kwa logic na kwa mantic halafu mtu anakomaa kutukana;kuna jambo gani jema na la kistaarabu zaidi la kufanya zaidi ya kumblock?
 
unablock watu kwa uoga na kukosa capacity halafu unataka kuishi jamiiforums!!!!

mkuu huo ni udhaifu,ni afadhali usimjibu mtu kuliko kumblock.
Halafu sijamalizana na wewe bado,yule mkulima wa south Afrika mnamchukia kwa sababu ya rangi yake au mnamchukia kwa sababu anakomaa kudai haki zake?
 
Halafu sijamalizana na wewe bado,yule mkulima wa south Afrika mnamchukia kwa sababu ya rangi yake au mnamchukia kwa sababu anakomaa kudai haki zake?

Hamna mtu anayemchukia mkuu.

Yeye yuko upande wa kidai haki kama anavyodai,nasisi tuko upande wetu kama wadaiwa tusio ridhika na mdai wetu.
 
Akishamaliza muda wake ni anatakiwa apumzike awe mshauri tu kwa atakayemuachia, kama atakayemuachia ataona kupata ushauri kwake!!
Awe mshauri wa kuteka na kuingiza kura fake kwenye vituo vya uchaguzi ?
 
Mimi hoja yangu ni moja tu,ni nchi gani ambayo tunashirikiana nayo lakini raia wake ni mabeberu na hawatakiwi katika nchi yetu?Kwa nini unakwepa hili swali?Taja nchi moja tuichambue kwa sababu awali umesema mabeberu siyo nchi bali ni watu katika nchi fulani,sasa nataka specifically nijue nchi ya namna hiyo.
Armterdam
 
sijui kama unanielewa.mimi hoja yangu ni nyepesi tu kama ulivyokwisha isema hapo.

tuna ugomvi na mkulima wa SA vipi south africa tuna shida nao yoyote???

tumetifuana na Barick kipindi kirefu sana,kaulize kama tuna shida na nchi wanakotoka.

amsterdam na nchi yake vipi nao??
sawa hawa madalali wote wakienda kwao wanapiga kelele sana,lakini hazizai matunda yoyote.
nimekwambia tokea mwanzo bond yetu na hao wawekezaji iko kibiashara zaidi,akifata biashara hawezi katazwa kuingia.
Kama mabeberu ni mtu mmoja mmoja ndani ya nchi fulani na wala siyo nchi,mnaposemaga kuwa hamtaki misaada ya mabeberu kwani misaada huwa inatolewa na individuals au na nchi?
 
Naona jamaa anakuja kivingine kutaka madaraka yake yaongezewe muda.

Hii nchi hata bila magufuli miundombinu itaenda, kama ajiona huko ni mbobezi apishe hapo ikulu akae mwingine.
 
Ex-president, ni ex tu, hata huko Marekani. Hakuna sitting president anataka ex anampumulia shingoni. Hiyo idea yako wala haitawezekana.

Na hata kama kuna rais atakuwa crazy enough kufanya hiyo kitu, Magu atataka hata kumtumbua rais mwenyewe !! Yaani atazania yeye bado rais. Magu ni shiiida
 
Chief, I see you also have seriously bought the claim that "Magufuli has already shown and proved he is well equipped for ...".

A few years back, I was once puzzled when one of my very professional uncles hailed Magufuli for great performance: "kazi zake tunaziona waziwazi, hatuhitaji kusimuliwa"! I asked, "how?". "On TV of course, what's wrong with you?" came the retort.

I just mused about the intricacies and complexity of construction projects' contracts and processes - as well as the tricks played from the Ministry, to Hazina, all the way to the big white colonial edifice by the seaboard. Then I recalled the theatrics popularly exhibited by the then Minister for Works on TV (Prime time news bulletins) holding massive documents, going through "specific contractual provisions" and threatening to terminate contractors for failure to meet obligations. And watchers, completely ignorant of the inside workings, would gracefully nod in appreciation of this wonderful guy who is making things work in a complacent society! Unfortunately for some of us in that house at the time, the reality was quite different most of the times. Still, I admired how one discovered the particular utility of the media to sell himself well as my Nigerian friends would say: masses generally appreciate the visibly spoken and seen word.

In any case, one should be extremely wary of a government that runs under this level of opacity and where propaganda is the oil easing the cogs in the power politics machinery. What you see and hear is not what exactly happens. I can go along with your idea given the popular sentiment but I am afraid the results might be terribly disappointing. Let's first see how the miradi ya kimkakati fare in the next five years.
 
Akishamaliza muda wake ni anatakiwa apumzike awe mshauri tu kwa atakayemuachia, kama atakayemuachia ataona kupata ushauri kwake!!
Na pengine anaweza kuwa kashapumzika milele...who knows miaka mitano ni mingi sana kwenye maisha ya binadamu!
 
Akishamaliza muda wake ni anatakiwa apumzike awe mshauri tu kwa atakayemuachia, kama atakayemuachia ataona kupata ushauri kwake!!
Hahaha yani Magufuli awe mshauri wa mtu are you kidding me?!

Hawezi na hashauriki yeye, kwake anachojua ni kufoka na kulazimisha anaanzaje kushauri?!
 
Hizo za mwisho nazo Ni personality traits! We Nyani mada gani hizi unatuletea kwa Lugha ya Kibeberu,unatuchanganya?
These are strong President Magufuli personality traits

  • A strong vision for the country's future.
  • President Magufuli encouraged good character to his juniors.
  • Crisis management skills.
  • Character and integrity.
  • Wise appointments.
  • An ability to work with Parliament.
 
These are strong President Magufuli personality traits

  • A strong vision for the country's future.
  • President Magufuli encouraged good character to his juniors.
  • Crisis management skills.
  • Character and integrity.
  • Wise appointments.
  • An ability to work with Parliament.
Meko mwezi Mei 2020: "Mungu ametuponya na Corona, Tanzania hakuna Corona angalia mataifa mengine yanavyohangaika, Lakini leo hii sisi HAKUNA mtu anavaa Mask hapa".

Meko september 2020: Tumepokea Euro Mil. 27 kupambana na Corona.
 
Back
Top Bottom