anaendelea vizuri afya yake imeimarika soon atakudi nyumban
Kumbe wanamsikiliza sana Magufuli anavyomwaga sera zake. Wamemmiss sana
Kwasiku 2. sasa sijaona ripoti ya kampeni ya ndugu Magufuli kwenye vyombo vya habari.amepotelea wapi?
Mkewe ni yupi? Mkewe mwenyewe hataki hata kumsikia, first lady wa aina gani hayupo kwenye campaign ya mumewe? Walimbembeleza akatokea siku moja tuu hehee chezea kuwa na mke kama Mama Regina sio mchezo, yule kama Michelle Obama flani hivi.
Afya yake imeimarika? kwani alikuwa na tatizo gani la kiafya? si alikwenda Italy kikazi kwa mwaliko wa mkuu wa majeshi ya huko Italia? mambo ya afya yanakujaje tena hapa ndugu?
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari kupitia vituo mbalimbali tangu jana tarehe 10/10 nimeona zinarushwa za Edward Lowassa, Samia Suluhu, Maalim Seif, Babu Duni na Dr Shein. Wadau kwa anayejua Magufuli yupo wapi atujuze.........
siyo mbaya kummiss Rais Magufuli,yupo na ni buheri wa afya
I don't knowMay I ask why?
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga
JPM anaendelea na mikutano kama kawaida, tatizo ni mahudhurio hafifu sana katika mikoa hii ya kusini hivyo hakuna haja ya kutangaza maana ni aibu na wapinzani watananga sana
ilikuwa kidogo niweke thread kwa mara ya kwanza kwa swali ulilouliza!
Sisemi ni mgonjwa tunauliza yuko wapi?
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga
Unaumwa wewe. Jana alipumzika leo ndio kaanza Nachingwea asbuh,saa tano alikuwa wilaya ya Ruangwa na kote huko watu wamefurika hakuna pa kukanyaga na mchana huu anaelekea jimbo la Mtama. Acha kuishi kwa uongo. Nimeamini kweli jf ina matapeli na usiamini kila kinachoandikwa na ukawa.
Mkuu, kama wewe hujui nini maana ya Tingatinga basi utakuwa na utindio wa ubongo
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari kupitia vituo mbalimbali tangu jana tarehe 10/10 nimeona zinarushwa za Edward Lowassa, Samia Suluhu, Maalim Seif, Babu Duni na Dr Shein. Wadau kwa anayejua Magufuli yupo wapi atujuze.........
Hahaaaa..huyo mkwere wa maisha bora atatia aibu watu wana hasira na ccm koz of him..labda lodilofa ajaribu bahati yake ila tu acipanik..koz watu wafupi wana matatzo kweli