Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

Two much is harmful
How about three much? Ahahahahahahahahhahahahahaha[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
da236bcc2e4e4c4b74d8bf4003e97bdc.jpg
 
Polisi wamekudanganya.
Hizo maiti ziko hospitali gani?
Uzi huu usiunganishwe na uzi mwingine
Mkuu aina hii ya nyuzi zitakuondolea heshima..ulitaka polisi wapige selfie na maiti kama wanavyofanya ISIS au AL shabaab?
 
Kama na wewe ni mmoja wao jisalimishe maana ukiendelea kuna siku hatutaona ID yako hapa
 
Huo ni usanii wa Polisi,ndiyo kawaida yao wanataka waonekane wamefanya kazi,hao waliyouwawa watakua wamewachukua kutoka sehemu nyingine kabisa wakajakuwaulia pale,
Kama ni kweli walikua majambazi kuna maswali ya kujiuliza:
1.Majambazi wa kiwango cha kutisha vile wanawezaje kutembea barabarani kikundi chote hicho?.
2.ilikua ni usiku,taarifa inasema walivyoona gari la
Polisi wakakimblia porini,walijuaje ni gari la polisi na ilikua usiku?
3.kama ni kweli walijua ni gari la polisi ilikuaje wakakimbilia sehemu moja (hawakutawanyika) hadi wakapigwa risasi wote wanne?
Hakika narudia kusema huo ni usanii mkubw wa jeshi la polisi
1.Majambazi wa kiwango cha kutisha vile wanawezaje kutembea barabarani kikundi chote hicho?.
Ningependa fahamu ulitegemea wangetembea wangapi..au kwenye hayo matukio unahisi huwa wanatembea wangapi wangap hadi kwenye eneo la tukio.maana tukio walilofanya msikitini kule Mwanza walienda zaidi ya nane kuchinja waumini wa ule msikiti..ungetupa details zaidi coz huenda unavitu unavifahamu

2.ilikua ni usiku,taarifa inasema walivyoona gari la Polisi wakakimblia porini,walijuaje ni gari la polisi na ilikua usiku?
Kwa wanaokaa kibiti au hayo maeneo wanafahamu ni mara ngap wanaona magari yanakatiza usiku kwenye hayo maeneo..na asikuambie mtu defender ni defender tu ata likiwa ubungo mataa ww upo kimara likiwa linakuja utalijua tu
3.kama ni kweli walijua ni gari la polisi ilikuaje wakakimbilia sehemu moja (hawakutawanyika) hadi wakapigwa risasi wote wanne?
Sijafahmu kama taarifa za polisi zianasema kwamba walikimbilia sehemu moja au ilikuaje bado nafuatilia undani..watakutafuta ili uwape undani wa tukio...

Hakika narudia kusema huo ni usanii mkubw wa jeshi la polisi-Ama kwa hakika siku si nyingi utalisaidia jeshi la polisi kujua zaidi undani coz huenda ww ni moja kati ya wale wawili waliotoroka
 
Kuliko kutafuta ushahidi wa kuonyeshwa maiti, si bora mfunge safari mpaka maeneo tajwa kwenye tukio kuulizia, hata ukionyeshwa maiti, itakuahakikishiaje kuwa ndiyo waliuwawa kwenye tukio. Alafu polisi wa patro zidhani kama wanatembea na kamera, na kwa upande wa wananchi, hali ilivyo kule, sidhani kama kuna mtu mwenye akili zake, asikie milio ya risasi alafu akimbilie huko, kwenda kupata habari pamoja na kupiga picha, ukizingatia muda ulikua ni usiku.
 
Wanakwambia Majambazi wote wanne WALIJERUHIWA wamekufa wakiwa njiani kuelekea HOSPITALI.

Wamekutwa na BUNDUKI mbili, maana yake walikuwa wanazitumia kwa KUPOKEZANA....!!

Jamani....naombeni chanzo cha habari mbali na taarifa za humu JF...DMS (Doesn't make sense)
kwani majambazi huwa wanafanya tukio wakiwa wote wamebeba silaha ama sijaelewa swali lako..kwani wale wa kariakoo wa juzi ilikuaje..
 
Huo ni usanii wa Polisi,ndiyo kawaida yao wanataka waonekane wamefanya kazi,hao waliyouwawa watakua wamewachukua kutoka sehemu nyingine kabisa wakajakuwaulia pale,
Kama ni kweli walikua majambazi kuna maswali ya kujiuliza:
1.Majambazi wa kiwango cha kutisha vile wanawezaje kutembea barabarani kikundi chote hicho?.
2.ilikua ni usiku,taarifa inasema walivyoona gari la
Polisi wakakimblia porini,walijuaje ni gari la polisi na ilikua usiku?
3.kama ni kweli walijua ni gari la polisi ilikuaje wakakimbilia sehemu moja (hawakutawanyika) hadi wakapigwa risasi wote wanne?
Hakika narudia kusema huo ni usanii mkubw wa jeshi la polisi
Kila kitu kinavyotolewa taarifa kama MTU yoyote anaamua kupinga kwa sababu zake ambao ni za masahihisho.
majambazi wa kiwango kile- yaani unategemea kweli polisi watoe in deep jinsi namna walivyopokea taarifa,walivyojipanga na kutekeleza mapambano hayo.(ilivyotolewa ni kwa ajili ya dose sahihi ya mwananchi.)
Kwa kifupi hiyo ni taarifa iliyohaririwa ku-cover doubts zote .
 
kwani majambazi huwa wanafanya tukio wakiwa wote wamebeba silaha ama sijaelewa swali lako..kwani wale wa kariakoo wa juzi ilikuaje..
Daresalaam unaongelea Mijizi/Majambazi waporaji.

Hawa wa KIBITI sio Majambazi, ni Wapambanaji/Wauwaji...!!

Kibiti wakapore nini Mkuu...?
Habari za kuambiwa, changanya na za kwako..!
 
Back
Top Bottom