Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

Fungua akili wewe useless barafu..
Kama wameua basi hawawezi onesha maiti kwa sababu hata maelezo yao hao si majambaz ila wanahofiwa au kusadikiwa so wanaweza onesha maiti stori ikaja kuwa kama yule mwanafunzi muislamu wa udsm aliyeuliwa kumbe ni raia wa kawaida wamewaua nakuwapa stori ya kuwa ma silaha..
Huwezi niaminisha wale majambazi walikuwa wanatumia smg kupiga wale askar mbali..
Hiyo bongo muvie mnachezewa watu useless kama ww tu na ndo nyie mnafanya taifa letu kuwa hapa miaka 50+ tangu uhuru..
Wee jamaa kumbe mweupe, neno wanahofiwa au kusadikika yasikuchanganye! Hawakufikishwa mahakamani, hivyo neno sahihi ni wanadhaniwa au neno linalofanana na hili hata kama wana uhakika ni wao!
Waulize wanasheria wakupe somo kidogo hapo la terminologies!
 
wale jamaa wa kulenga chogo ..dah...nawapongeza sana polisi wetu kwamba hata mmoja hajajeruhiwa..manake wale jamaa walikuwa na shabaha sana
 
Kwa mfano kama waliouwawa ni waislam tena kama wale wenye imani kali zikioneshwa maiti zao italeta mzozo kwani imani yao hairuhusu kuonesha maiti ndio maana huwa hawaagi kwa kuonesha sura au miili yao bila kusitiriwa wakati wa mazishi.

hahahhhahahahha....hauko serious aiseee...yale ni mapambano dhidi ya wahalifu sio dhidi ya waislam....
 
hahahhhahahahha....hauko serious aiseee...yale ni mapambano dhidi ya wahalifu sio dhidi ya waislam....
Kwani wahalifu hawawezi kuwa waislam? Kama ni waislam hawastahili maiti zao kuheshimiwa na kusitiriwa kwakuwa walikuwa wanatuhumiwa? Hata wakiwa wakristo unaona ni haki maiti zao kuanikwa hadharani kama trophy? Au kama umeua simba anaeshambulia watu na mifugo yao?
 
Huo ni usanii wa Polisi,ndiyo kawaida yao wanataka waonekane wamefanya kazi,hao waliyouwawa watakua wamewachukua kutoka sehemu nyingine kabisa wakajakuwaulia pale,
Kama ni kweli walikua majambazi kuna maswali ya kujiuliza:
1.Majambazi wa kiwango cha kutisha vile wanawezaje kutembea barabarani kikundi chote hicho?.
2.ilikua ni usiku,taarifa inasema walivyoona gari la
Polisi wakakimblia porini,walijuaje ni gari la polisi na ilikua usiku?
3.kama ni kweli walijua ni gari la polisi ilikuaje wakakimbilia sehemu moja (hawakutawanyika) hadi wakapigwa risasi wote wanne?
Hakika narudia kusema huo ni usanii mkubw wa jeshi la polisi
Na picha eneo la tukio ni mchana.hapa inatia shaka kwa kweli
 
Mimi nilipata doubt pale Sirro aliposema kuwa anawapongeza wananchi waliotoa taarifa kwa jeshi na kupelekea magaidi 4 kuuliwa alafu at the same time akasema ile million 10 bado ipo anashangaa kwanini wananchi hawaleti taarifa ya hawa magaidi ili wapate hii million 10 kwa taatifa waliyotoa.
 
Kwani wahalifu hawawezi kuwa waislam? Kama ni waislam hawastahili maiti zao kuheshimiwa na kusitiriwa kwakuwa walikuwa wanatuhumiwa? Hata wakiwa wakristo unaona ni haki maiti zao kuanikwa hadharani kama trophy? Au kama umeua simba anaeshambulia watu na mifugo yao?

Sheikh...sisi tunaongelea wauaji wewe unaongelea waheshimiwe sijui dini and whatsoever....Muuaji hana dini
 
Back
Top Bottom