Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

Mie leo nimeingia karibia blogs tano nyeti sijaona hata mkono wa maiti mojawapo nikamwambia mke wangu tumedanganywa.
Niliumia sanq
 
Hivi huwa mnafikiri vipi?
Kama hao wametekeleza mauaji huko Kibiti ya watu wengi ila wao tunawaheshimu eti imani ya kidini? Dini ya hao wahalifu inaruhusu kuua ila inakataza maiti zao kuonyeshwa hadharani? SMH
Wao mbona walikuwa wanaacha wazi maiti za waliowaua ?
Jeshi la polisi au JW wao ni chombo kinachoendeshwa kwa maadili flani na kinafuata sheria za kimataifa za kulinda haki na utu wa mtu hata akiwa mateka au maiti. Kwanini ukizitendea vibaya maiti za askari adui unashitakiwa mahakama za kimataifa kama serikali yako imetia saini ile Geneva Convetion? Kwa hivyo mtu jirani yako akijisaidia haja kubwa barazani pako mchana na wewe unaweza kumlipia kisasi unaenda kujisaidia barazani kwake mchana kweupe? To humiliate a corpse(dead body) in order to seek revenge is a barbaric act.
 
How about three much? Ahahahahahahahahhahahahahaha[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] kilikuja na Meli tuvumiliane mkuu
 
Ni vizuri hao maiti wangetambuliwa, wanatokea wapi wanakaa wapi nk.
 
Kwa wanavyopenda sifa mh picha zingejaa mitandaoni mpaka tv na radio mabloger magazeti na chochote kinachoandika na kutangaza habari vingekodishiwa basi kwenda kibiti bado polis wangepiga self na maiti mpaka kero leo wanaongea kilahisi eti walikutana na majambaka wakakimbilia vichakani na kuanza kushambulia ,haingii kichwani mwa mwenye ubongo hai

Habari ni rahisi sana kupenya kwenye ubongo wa nyumbu na si binadamu.
 
Back
Top Bottom