bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,815
Jamaa kuwabambikizia wenzio kesi ndio zaoKazi sana kuwaamini manjagu
Jamaa kuwabambikizia wenzio kesi ndio zaoKazi sana kuwaamini manjagu
Uko sawa kabisa barafuMaiti hizo zilipigwa picha na nani?? Raia ndo walizipiga picha wakatupia mitandaoni!
Operation ya jana haikuwa na waandishi wala raia!
Wakuonyeshe wewe maiti kama nani??
Usifananishe osama na vitu vya kijinga dingi,halafu hata sababu ya kwanini maiti ya Osama isionyeshwe picha ilikuwa na mantiki kuliko huu ubongo movie wa SimonMaiti ya Osama uliiona?
sirro anaelekea kufeli na mwigulu wakeHuo ni usanii wa Polisi,ndiyo kawaida yao wanataka waonekane wamefanya kazi,hao waliyouwawa watakua wamewachukua kutoka sehemu nyingine kabisa wakajakuwaulia pale,
Kama ni kweli walikua majambazi kuna maswali ya kujiuliza:
1.Majambazi wa kiwango cha kutisha vile wanawezaje kutembea barabarani kikundi chote hicho?.
2.ilikua ni usiku,taarifa inasema walivyoona gari la
Polisi wakakimblia porini,walijuaje ni gari la polisi na ilikua usiku?
3.kama ni kweli walijua ni gari la polisi ilikuaje wakakimbilia sehemu moja (hawakutawanyika) hadi wakapigwa risasi wote wanne?
Hakika narudia kusema huo ni usanii mkubw wa jeshi la polisi
Siyo mimi bali andiko lako ndilo linalokushuhudia.Wewe wasema
Ili kuthibitisha ile habari ya mapambano makali zaidi ya nususaaUkioneshwa maiti utataka kuona maganda ya Risasi.
Alafu wewe tuwe wakweli tu, unaenda muweka Maxence matatizoni kwa huu uzi wako, ingawa unaona poa ila kuna wengine unawaweka matatizoni.
Hayo mengine sijui ila ninachojua mjahideen walikuwa sita au saba, wanne wamelala tayar. Hao waliosalia pia siku zao zinahesabika.Usifananishe osama na vitu vya kijinga dingi,halafu hata sababu ya kwanini maiti ya Osama isionyeshwe picha ilikuwa na mantiki kuliko huu ubongo movie wa Simon
Huo ni usanii wa Polisi,ndiyo kawaida yao wanataka waonekane wamefanya kazi,hao waliyouwawa watakua wamewachukua kutoka sehemu nyingine kabisa wakajakuwaulia pale,
Kama ni kweli walikua majambazi kuna maswali ya kujiuliza:
1.Majambazi wa kiwango cha kutisha vile wanawezaje kutembea barabarani kikundi chote hicho?.
2.ilikua ni usiku,taarifa inasema walivyoona gari la
Polisi wakakimblia porini,walijuaje ni gari la polisi na ilikua usiku?
3.kama ni kweli walijua ni gari la polisi ilikuaje wakakimbilia sehemu moja (hawakutawanyika) hadi wakapigwa risasi wote wanne?
Hakika narudia kusema huo ni usanii mkubw wa jeshi la polisi
Zile za wale trafik haikuwa jinai??na mlizirushe wenyewe njaguUjue ni kosa la jinai kuonesha maiti za matukio kama ajali na mauaji. Kwa akili kama hizi za kurusha picha mtz mwenzako ananyea debe uingereza baada ya kurusha picha za tukio la London.
Hata sakata la vikindu tuliaminishwa hivyo lakini ilikuwa vice versaHayo mengine sijui ila ninachojua mjahideen walikuwa sita au saba, wanne wamelala tayar. Hao waliosalia pia siku zao zinahesabika.
Uongo wa wakubwa ni tishioUtatekwa ndugu! Acha kukanusha uongo wa wakubwa.
Siwezi muamini mtu wa ccm!!Ukioneshwa maiti utataka kuona maganda ya Risasi.
Ndio ujue hii nchi ina usanii mwingiMaiti za trafiki tuliziona,maiti ya mwenyekiti nayo ilionekana,sasa majambawazi maiti zao ziko wapi????
Kama magufuli na waziri wake wanavyoleta siasa za kipuuzi kwenye maisha ya wana kibiti!Endeleeni kufanya mizaha kwenye maisha ya watu..