Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,856
Kama naye anaujua mchongo?Usinikumbushe kisa cha Shilawadu na Makonde.
Hofu yangu ni RAIA wasiojua hata kushika bunduki wala kuiona wakauwawa na kuwekewa rebo ya "Majambazi" katika mazingira Yale kwa usiku ni Rahisi RAIA kukimbia Polisi akidhani ni Wauawaji na Polisi wakauwa RAIA kwa kuwa wanakimbia wakadhani ni Majambazi
Operations na mazingira na penginepo hata miili ilionwaMaiti ya Osama uliiona?
na kweli maana tukiangalia gizani ujibizane na watu sita afu wasikuguse hata ukuchaHahaaaa muda utaongea
That means kuna presumptions kuwa wakiona watu wanne au watano watakuwa ni wale wale waliosemwa kuwa walifanya uvamizi.Taarifa ya mauaji ya mwisho mashuhuda walisema marehemu walivamiwa na kikundi cha watu kati ya watano na zaidi. Kwa hiyo hao majambazi kuwa idadi iliyotajwa si jambo la kushangaza.
Unafananisha matikiti na vitumbuaUjue ni kosa la jinai kuonesha maiti za matukio kama ajali na mauaji. Kwa akili kama hizi za kurusha picha mtz mwenzako ananyea debe uingereza baada ya kurusha picha za tukio la London.
Waliouawa ni wanne ila polisi waliona wakiwa sita hadi saba. Kwa vile wameuawa wanne kwa hiyo bado wapo waliosalia.That means kuna presumptions kuwa wakiona watu wanne au watano watakuwa ni wale wale waliosemwa kuwa walifanya uvamizi.
Kwa sasa kwa kuwa wameuawa wanne ambao wananchi ndiyo waliowaona tuhesabau kuwa vita inakoma na mauaji yatabakia kuwa historia ?
Mazoea hujenga tabia.Unafananisha matikiti na vitumbua
Hofu yangu ni RAIA wasiojua hata kushika bunduki wala kuiona wakauwawa na kuwekewa rebo ya "Majambazi" katika mazingira Yale kwa usiku ni Rahisi RAIA kukimbia Polisi akidhani ni Wauawaji na Polisi wakauwa RAIA kwa kuwa wanakimbia wakadhani ni Majambazi
Ni kusema kadri ya tuwezavyo Haki iangaliwe kwa watu kuuawa
Na jua na nalaani mauaji ya Viongozi na Polisi lakini bado hilo halijanipofusha kuhusu uwezekano wa RAIA kuwa wahanga wa matatitixo ya Polisi na waitwao Majambazi
Kama walishafanikiwa kumbilia porini kwanini waliwarushia risasi polisi badala ya kukimbia na kutokomea zaidi porini kuepuka kukamatwa?Huo ni usanii wa Polisi,ndiyo kawaida yao wanataka waonekane wamefanya kazi,hao waliyouwawa watakua wamewachukua kutoka sehemu nyingine kabisa wakajakuwaulia pale,
Kama ni kweli walikua majambazi kuna maswali ya kujiuliza:
1.Majambazi wa kiwango cha kutisha vile wanawezaje kutembea barabarani kikundi chote hicho?.
2.ilikua ni usiku,taarifa inasema walivyoona gari la
Polisi wakakimblia porini,walijuaje ni gari la polisi na ilikua usiku?
3.kama ni kweli walijua ni gari la polisi ilikuaje wakakimbilia sehemu moja (hawakutawanyika) hadi wakapigwa risasi wote wanne?
Hakika narudia kusema huo ni usanii mkubw wa jeshi la polisi
bongo movie wanalalamika filamu za nje zinaharibu soko lao wakati filamu za serikali ni hatari kwa ustawi wao kuliko hata hizo za njeAwamu hii ukitaka uonekane unawajibika tengeneza cinema