Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,102
- 32,128
Kama wauwaji hawana dini sasa wale waliohukumiwa kunyongwa kwa makosa ya kuuwa kwa kukusudia wanapata huduma ya priest wa dini au masheikh/imam au padre kwanini? Na wakisha nyongwa wanazikwa kwa heshima za dini zao kwanini? Think beyond the curtain!!Sheikh...sisi tunaongelea wauaji wewe unaongelea waheshimiwe sijui dini and whatsoever....Muuaji hana dini