kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,705
we kweli taahira, unaelimu gani kwanza?
Hapa tunaelimishana tu. Mkosoe mtu kwa hoja zenye mashiko!!! Na sio kumuita "Taahira"...!!!
we kweli taahira, unaelimu gani kwanza?
Ila za polisi waliouwawa ilikua lazima zionekane si ndio??Maiti sio lazma zionekane...
Acha utoto wewe!Rafiki yangu angalia usimsababishie matatizo macxence
Unataka aangalie movie ya ccm ??Punguza kuangalia muvi za rambo na vietnam mkuu!
Kama raia mwema na sio mnafiki kama maccm!Maiti hizo zilipigwa picha na nani?? Raia ndo walizipiga picha wakatupia mitandaoni!
Operation ya jana haikuwa na waandishi wala raia!
Wakuonyeshe wewe maiti kama nani??
Unaamini osama amekufa?Maiti ya Osama uliiona?
Hata mkulu ana pihedii lakini pihedii hewa!!we kweli taahira, unaelimu gani kwanza?
unajimu wewe je!we kweli taahira, unaelimu gani kwanza?
Kama Polisi waliweza kuwadhibiti hao wahalifu kwanini hawakuwakamata ili watoe taarifa zaidi¿Alafu wewe tuwe wakweli tu, unaenda muweka Maxence matatizoni kwa huu uzi wako, ingawa unaona poa ila kuna wengine unawaweka matatizoni.
Kama wewe ni wakike umeandika haya sintakulaumu!Alafu wewe tuwe wakweli tu, unaenda muweka Maxence matatizoni kwa huu uzi wako, ingawa unaona poa ila kuna wengine unawaweka matatizoni.
Unataka kwenda kutambua ndugu yako kwenye hizo maiti?
Unataka kwenda kutambua ndugu yako kwenye hizo maiti?
Unaamini majambazi hawajauliwa na polisi jana??Unaamini osama amekufa?