Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

Maiti hizo zilipigwa picha na nani?? Raia ndo walizipiga picha wakatupia mitandaoni!
Operation ya jana haikuwa na waandishi wala raia!
Wakuonyeshe wewe maiti kama nani??
Wamenitangazia mimi kama nani?
Ukipata jibu hilo basi jihu lako utakuwa umeshapata pia walitakiwa kunionesha maiti mimi kama nani
 
Maiti za trafiki tuliziona,maiti ya mwenyekiti nayo ilionekana,sasa majambawazi maiti zao ziko wapi????
Mara ya pili wana kawaida ya kuzificha maiti za majambazi wakati za RAIA zina onyeshwa
 
Kama Polisi waliweza kuwadhibiti hao wahalifu kwanini hawakuwakamata ili watoe taarifa zaidi¿
Tunahitaji sana taarifa zao kwa hivyo kwa namna yoyote Polisi Wasingeweza kuwaua
Thats very dumb of you!
Unaambiwa baada ya kuwaona polisi walikimbia wakaanza fyatua risasi, ulitaka wawakataje?? Hovyo kabisa!!
 
Siasa za kipumbavu kushabikia majambazi yanayoua raia wasio na hatia, angekuwa ndugu yako hata mmoja ameuawa Kibiti sidhani kama ungepost upumbavu huu.
 
Huo ni usanii wa Polisi,ndiyo kawaida yao wanataka waonekane wamefanya kazi,hao waliyouwawa watakua wamewachukua kutoka sehemu nyingine kabisa wakajakuwaulia pale,
Kama ni kweli walikua majambazi kuna maswali ya kujiuliza:
1.Majambazi wa kiwango cha kutisha vile wanawezaje kutembea barabarani kikundi chote hicho?.
2.ilikua ni usiku,taarifa inasema walivyoona gari la
Polisi wakakimblia porini,walijuaje ni gari la polisi na ilikua usiku?
3.kama ni kweli walijua ni gari la polisi ilikuaje wakakimbilia sehemu moja (hawakutawanyika) hadi wakapigwa risasi wote wanne?
Hakika narudia kusema huo ni usanii mkubw wa jeshi la polisi
Waongo nakumbuka siro kabla hajapewa igp alisema wale Wa kibiti wamefika dar
 
Wamenitangazia mimi kama nani?
Ukipata jibu hilo basi jihu lako utakuwa umeshapata pia walitakiwa kunionesha maiti mimi kama nani
Kama hawakukuonyesha ujue wewe ni useless tu kama wengine!
Afadhari ungejitambua kama useless kuliko kujifanya sio, labda ulitaka wakufahamishe ukaangalie kama ndugu yako ni mmoja wa waliofikwa na mauti.
 
Wengine watatu wakwapi waisaidie polisi.
 
Thats very dumb of you!
Unaambiwa baada ya kuwaona polisi walikimbia wakaanza fyatua risasi, ulitaka wawakataje?? Hovyo kabisa!!
Wewe ndiye unaakili mbovu!

Mbona polisi wavyo kufa tuliona picha...kwanini za majambazi hazionyeshwi??

Au ni movie ya ccm mmetengeneza??
 
Kama hawakukuonyesha ujue wewe ni useless tu kama wengine!
Afadhari ungejitambua kama useless kuliko kujifanya sio, labda ulitaka wakufahamishe ukaangalie kama ndugu yako ni mmoja wa waliofikwa na mauti.
Fungua akili wewe useless barafu..
Kama wameua basi hawawezi onesha maiti kwa sababu hata maelezo yao hao si majambaz ila wanahofiwa au kusadikiwa so wanaweza onesha maiti stori ikaja kuwa kama yule mwanafunzi muislamu wa udsm aliyeuliwa kumbe ni raia wa kawaida wamewaua nakuwapa stori ya kuwa ma silaha..
Huwezi niaminisha wale majambazi walikuwa wanatumia smg kupiga wale askar mbali..
Hiyo bongo muvie mnachezewa watu useless kama ww tu na ndo nyie mnafanya taifa letu kuwa hapa miaka 50+ tangu uhuru..
 
Wewe ndiye unaakili mbovu!

Mbona polisi wavyo kufa tuliona picha...kwanini za majambazi hazionyeshwi??

Au ni movie ya ccm mmetengeneza??
Polisi walivyouliwa, baadhi ya raia walifika eneo la tukio na kupiga picha! Sio polisi waliopiga picha, hivi anakuwaje memba mwenzako alafu unaanika picha zake hovyo?? Hujawahi fikiria kuwa polisi hawawezi weka picha za wenzao wakiwa na mauti?? Hata jeshini ilo hivyo!
 
Polisi wamekudanganya.
Hizo maiti ziko hospitali gani?
Uzi huu usiunganishwe na uzi mwingine

Tuache vyombo vya usalama vifanye kazi yake , kuona maiti siyo ushahidi Wa tukio, na itakuwa vyema wakiwa wanasaka kimya kimya kuliko kuutangazia umma, wawaue tu kimya kimya ili usalama Wa wananchi na Mali zao utengemae.
 
Siasa za kipumbavu kushabikia majambazi yanayoua raia wasio na hatia, angekuwa ndugu yako hata mmoja ameuawa Kibiti sidhani kama ungepost upumbavu huu.
Kuwa na hasira na serikalo yako inayojaribu kificha ikweli kwa raia wakat hali ikiendelea kuwa worse..
Wanabaki kiigiza kwenye maisha ya watu..
Waoneshe maiti ili tuwasaidie kuwaambia ndugu zao mtandao uwe traced sio kutuletea maigizo...
Au kama wameua taia bahati mbaya nayo pia wa admit maisha yasonge tusaidiane kujua tatzo linatatuliwaje
 
Walipigwa na RPG kwa hiyo inakua ngumu kupata maiti zao labda tunaweza kupata baadh ya viungo kama vidole
 
Back
Top Bottom