Magufuli: Tutajenga flyover Salender Bridge

Magufuli: Tutajenga flyover Salender Bridge

mgodi
Jana hujapata skandali ya muheshimiwa aliyesaini mkataba na muwekezaji wa treni ya kisasa kupitia JKNIA pasipo kutumia sheria ya tenda? Haya ndo maajabu ya 9 ya dunia kwa nchi yetu!!.
 
"UPEO WA FIKRA ZA MAENDELEO"
upeo unapokuwa uwezi panga kitu cha kesho na ndiyo maana unakuta jana/leo wanafikilia kupanua barabara ya Dar to Chalinze but matokeo ni miaka 20 ijayo. That's All Renegade.

Lakini ni wasomi hawa, tena wengine wana shahada kibao za kila rangi na nyingine wakiamka wanakuta zimeongezeka tu, wanaokota na kusonga mbele,Halafu Tanzania tunasifika kwa mipango mizuri ya kwenye makaratasi.
 
mgodi
Jana hujapata skandali ya muheshimiwa aliyesaini mkataba na muwekezaji wa treni ya kisasa kupitia JKNIA pasipo kutumia sheria ya tenda? Haya ndo maajabu ya 9 ya dunia kwa nchi yetu!!.

Mkuu, sijapata hiyo scandal.
 
Nipemuda alafu mbaya zaidi aliepewa alikutanana prof USA akampa saa ya Dhahabu ingawa magogoni wamedai ilikuwa zawadi ya SAA ya ukutani sisi tunajiuliza iweje atoezawadi wiki inayofwata anakujakusaini mkatabausio name tends

Nchi haramu kabisa
 
SAA n SAA why watutumie vibaya hivi na ukigoogle kampunilake jamaa Linamaskendo kibao huko USA ya rushwa rushwa
 
COCK COCK ????? tafsiri ya hili neno ni yale mambo yetu au???
Nimeshangaa sana.Siamini kama Magufuli amefanya tathmini ya kutosha kujua kama hili daraja litakuwa na tija.kutoka Aghakan hadi Cockcock beach maana yake ni kwa wale wanaoelekea Masaki,Osterbay kidogo na Msasani kidogo. Sasa kwa kiasi cha mabilioni zaidi ya 100 sioni tija yake.
Lakini kwa kutengenezeka wakorea hilo daraja la km 7 kwao ni kazi ndogo mno.Korea kuna hadi daraja la km 20 na hili daraja limeshikiliwa na nguzo ndefu za kimo cha mita 70.hayo ya km 7,2,4,6 ni kitu cha kawaida sana kwa kuwa kule ni nchi ya vimilima.
 
Utafikiri wanakaribia kwenda mwezini. Is that the only problem that cause traffic in this area?

Siyo kwamba bado kidogo watutangaziye kuwa tunaanza safari za kwenda mwezini!!
 
yaani tangu ameanza kuzitaja hizo flyover sijaona hata moja ambayo imeshaanza kujengwa walau kuchimba msingi tu. au jamani mtuambie, ile ya ubungo aliyosema je, ile ya TAZARA je, ile ya fire je?, ya magomeni je? sasa anasema ya salanda....wanatudanganya au nini, tell us mr magufuli why should we believe what you are telling us?....
 
Mpaka Prof.JK anaondoka Magufuri atakuwa ameongeza ahadi 40 zote hazitekelezeki, labda warudishe za ESCROW
 
Kyumia

Sehemu za ulaji wakirekebisha tazara traffic Yale madaftari watapeleka mawe nyumbani. na sikuhizi zilebank qualityzinasaidia wakipatqkidogo unakutananao wametoka kudeposit hope kwenye account Zhao na so waliowapa vitabu
 
Mpaka Prof.JK anaondoka Magufuri atakuwa ameongeza ahadi 40 zote hazitekelezeki, labda warudishe za ESCROW

Wakimpa za escrow Si anakuwa rais wetu kabisa

Unahisi prime alipenda kutangaza nia loh
 
yaani tangu ameanza kuzitaja hizo flyover sijaona hata moja ambayo imeshaanza kujengwa walau kuchimba msingi tu. au jamani mtuambie, ile ya ubungo aliyosema je, ile ya TAZARA je, ile ya fire je?, ya magomeni je? sasa anasema ya salanda....wanatudanganya au nini, tell us mr magufuli why should we believe what you are telling us?....

Sooooooonn
 
Magufuli.jpg

Magufuli amesema Serikali katika kupambana na foleni Jijini dar es Salaam wameamua Kujenga flyover maeneo ya daraja la salenda. Kasema daraja lililopo halitabomolewa bali daraja jipya litajengwa upande wa baharini.

Kasema mkataba wa awali umeshasainiwa kati ya Serikali ya Tanzania na Korea tayari kwa maandalizi ya Kujenga.

Daraja litakua na urefu wa zaidi ya km7.

Magufuli akiongea na TBC1 alisema;
Mia

.....Ninawaza.....matatizo ya foleni katika mji wa Dar es Salaam hayawezi kutatuliwa kwa kuboreshwa miundo mbinu ya barabara kama wengi wetu tunavyofikiri.....Hatufanyi utafiti wa kutosha...hatuna takwimu za kuaminika.... Tunajua kuna magari mangapi katika jiji letu??... Tunajua ongezeko la magari kila mwaka katika hili jiji??...Tunajua kuna safari ngapi za magari kwa siku??....barabara za jiji zina urefu gani kwa ujumla?? Upana?? Na ongezeko katika ujenzi wetu wa barabara ni kiasi gani kwa mwaka??... Bila ya kuwa na majibu ya maswali haya na mengine mengi tutakuwa hatufanyi kitu kwani tutakuwa tunachukua takwimu za karne ya 19 kutusaidia kutatua matatizo yetu ya karne hii..... Hili si sahihi.
Shughuli za kiserikali na biashara za mji wa Dar es Salaam zimejikusanya katika sehemu moja.... na hii ni hatari kama tukiboresha miundo mbinu yetu kuelekea katikati ya jiji kwani kuna uwezekano mkubwa wa kutokea msongamano katikati ya jiji ambao utakuwa mgumu sana kuutatua.
Kwa maoni yangu mimi bado nadhani uboreshaji wa miuondo mbinu ya barabara bado siyo suluhisho la kupunguza foleni katika jiji hili lililojaa watu wengi wanaofanya shughuli zao sehemu moja. Suluhisho ni kulipunguzia shughuli yaani kuhamisha shughuli zingine ziende mahali kwingine kwenye nafasi.... mfano kuboresha bandari za Tanga na Mtwara ili kupunguza shughuli katika bandari ya Dar es Salaam...... Kuhamishia shughuli za serikali kuu mji wa Dodoma uliopangwa vizuri kukabiliana na hali ya hii.....Pia kujaribu kuzitawanya shughuli za jiji kwa kuanzisha miji mipya kando ya jiji kama ule mpango uliokufa wa mji mpya wa Kibamba...... Tujenge tabia ya kuwatumia wataalam wetu tuliowapa ujuzi kwa pesa zetu ili watusaidie kutatua matatizo yetu kuliko kuendelea kupoteza pesa zetu kwenye miradi ambayo huwa inakwisha muda wake (expired) hata kabla ya kuanza kutumika......ni mawazo yangu tu.......
 
Mkuu, sijapata hiyo scandal.

Asee mkuu hiyo skandal inamuhusu waziri wa uchukuzi, harrison mwakyembe, maana ndiye alikuwepo kwenye utiloanaji.sahihi kwa ujenzi wa rail mpya ya kisasa kupotia JKNIA kwenda pugu ila nlvosema hapo wmawali hakufuata utaratibu muafaka.
 
Kyumia

Sehemu za ulaji wakirekebisha tazara traffic Yale madaftari watapeleka mawe nyumbani. na sikuhizi zilebank qualityzinasaidia wakipatqkidogo unakutananao wametoka kudeposit hope kwenye account Zhao na so waliowapa vitabu

Pdidy nakusoma, ila kumbuka kwa kukuungq mkono comment yako hapo unaweza kujiuliza kwa nn daraja la kigamboni linajengwa kurasini na si pale feri?
 
yaani tangu ameanza kuzitaja hizo flyover sijaona hata moja ambayo imeshaanza kujengwa walau kuchimba msingi tu. au jamani mtuambie, ile ya ubungo aliyosema je, ile ya TAZARA je, ile ya fire je?, ya magomeni je? sasa anasema ya salanda....wanatudanganya au nini, tell us mr magufuli why should we believe what you are telling us?....

Kweli kabisa, ila nilipita maeneo ya tazara nikaona mchakato imeanza hasa kwa kuondoa miuondombinu iliyokuwepo ambayo inaweza kuathirika kama mabomba ya maji, nyaya za stima nk.
 
Ni sawa, ila naona hata barabara juanzia moroko waongeze upana hadi hapo salenda, ila la muhimu ni fly over ya tazara na ubungo, wajenge hizo kwanza, sio salenda, mbona tunaishia kuonyeshwa mapicha tu, tuone na kazi.

HAPA ANAONGEZEA shiidda tu sidhani kama ndio ametatua tatizo. iangalie hiyo picha yake vizuri tu afu piga picha tu hiyo daraja linapoanzia na linapoishia na pia piga picha msururu kutoka ALIHASAN MWINYI RD changanya na msururu unaotokea OCEAN ROAD yote hii ije ikutane ni hilo daraja jipya inamaana ameongezea kipande kingine cha msururu wa foleni ambazo ndio ziatkuja kukutana hapo kwenye makutano na njia ya zamani karibia kwenye mataa ya kuelekea kinondoni. je huoni kuwa hapa kaongeza msongamano mkubwa zaidi??
TUNAPATA HAYA KWA HISANI YA WAHISANI
 
Kweli kabisa, ila nilipita maeneo ya tazara nikaona mchakato imeanza hasa kwa kuondoa miuondombinu iliyokuwepo ambayo inaweza kuathirika kama mabomba ya maji, nyaya za stima nk.

NA TRAFFIC LIGHT wameng'oa pia wameweka mtu pale kati wamemvalisha jezi nyeupe na kapelo lake.
 
Week kadhaa nlkuwa NRB nabnlfkia kwa jamaa yangu aishie maeneo ya Nyao, kuna kitu kilinistua pale.ambapo asububi muda wa kwenda kazini anaacha usafiri wake na kwenda kutumia public transportiert nilipomuuliza kwa nn anaacha usafiri wake (huku kaulamba suite) akanijibu kwanza kuna sheria inayowabana kwa muda huo wa asubuhi pili foleni, tatu garama inakuwa kubwa. Do!! nilijiona kama mwanafunzi kwa kuduwaa mzu mzima na wadhifa wake kuacha gari lake la kifahari na kwenda kupanda matatuu/daradara.
Sasa bongo dar es salaam inawezekana hii…?
 
Back
Top Bottom